Kwa hiyo sayansi haina jibu. Asante kwa hilo!
Sayansi haina majibu yote, na ingawa ina majibu mengi ya kweli kuliko dini, ina staha na humility za kutosha kukubali pale inapokuwa haina majibu.
Dini haina majibu mengi ya kweli kuliko sayansi (ukiondoa kwa maswali ya saikolojia na placebo effect) lakini inakuwa na arrogance ya kudai ina majibu ya maswali yote.
Sayansi ni kama mtu mwenye akili na maarifa sana, lakini ukimuuliza anajionaje kuhusu ujuzi wake anakwambia hafikiri kwamba anajua mengi sana (Unavyozidi kujua ndivyo unavyozidi kujua kwamba hujui mengi). Ndiyo maana hata huyo Newton alivyoulizwa unajionaje watu wanavyokusema kwamba wewe ni mwanasayansi maarufu umegundua vitu vingi? Akajibu mimi najiona kama mtoto aliyesimama ufukweni, huku kashika kijiwe kimoja wakati bahari nzima ya ukweli iko mbele yangu, sijaifahamu. Huyo ni mtu mjuzi, kwa ujuzi wake kajua kwamba kuna ukweli mkubwa sana hajaujua bado. Hii ndiyo attitude ya sayansi.
Upande mwingine tuna dini. Dini haina majibu mengi kama sayansi, certainly haina majibu ya kila kitu kwa hiyo haiwezi kujisema kama ni bora kuliko sayansi kwa kuwa ina majibu ya kila kitu. Ukiuliza katika dini mungu katoka wapi, au kaanzaje, hupati jibu. Kwa hiyo tusitake kusema dini ina majibu ya kila swali. Halafu hata hayo maswali ambayo inajaribu kuyajibu inayajibu ki authoritarian. Kwa kifupi dini inaendekeza udikteta, ukishaambiwa mungu ndiye mkuu huna haki ya kuhoji, ukihoji unaambiwa unakufuru. Ukitaka proof unaambiwa haya ni mambo ya imani.
Imani, na hapo ndipo ninakuja kwenye swali lako la imani na ujuzi. Imani inakuja tu pale ambapo hakuna ujuzi. Nikisema naamini Chapakazi yuko kwake, ina maana sina uhakika. Nikienda nyumbani kwake na kumuona Chapakazi kakaa kwenye kochi anakunywa chai siwezi kusema naamini Chapakazi yupo nyumbani kwake, maana namuona, najua, siamini tu, nina zaidi ya imani, nina ujuzi.
Sasa sayansi haitaki kuamini, sayansi inataka kujua. Ndiyo maana watu wanafanya experiments ku verify vitu. Ndiyo maana mwanasayansi wa kweli hawezi kuamini mungu, kwa sababu sayansi kwanza haiendani na imani, inaendana na ujuzi. Kwa hiyo mwanasayansi wa kweli atataka kujua kama kuna mungu au hakuna, siyo kuamini. Na kujua inabidi watu wafanye verifiable and peer reviewed experiments, bila verifiable and peer reviewed experiments hujafanya sayansi bado. Na kwa sababu mungu hawezi kuwa verified experimentally, mungu hayupo kwa mujibu wa wanasayansi. Mungu anakuwa ni myth tu sawa na popobawa, The Loch Ness Monster, Santa Claus etc.
Imani ni lack of knowledge, hata biblia imesema The Biblical Definition Of Faith
"Now faith is the substance of things hoped for, the evidence of things not seen (Hebrews 11:1, KJV)"
Did you get that? Things hoped for... kwa hiyo unaweza kukaa hapa na kutumai kwamba utashinda bahati nasibu ya mabilioni, tayari una imani, lakini hiyo haimaanishi kwamba imani yako ni kweli, hujui kwamba utashinda lotto, unaamini tu.
It is absurd that this supposedly book of god is bullshytting people that faith is "the evidence of things not seen", how can you have evidence of things not seen? That to me is wishful thinking, because for one to have evidence you need to see things. I mean even the unseen things (like atoms) can be demonstrated experimentally that they are there, now once you demonstrate the presence of atoms by their effect, you no longer have faith, you have knowledge. Once you have evidence you cannot have faith, you have knowledge, and before you have evidence you cannot have knowledge, you have faith. So this business of "evidence of things not seen" is total bs to me, designed to fool some medieval people but it is not going to work on a modern mind that could deconstruct the inconsistence of a sentence in a logical truth table.
Tofauti ya kutaka kujua na kutaka kuamini ni nini?
Nimeongelea hapo juu kuhusu tofauti ya knowledge na faith.
Wewe unafanya imani kuwa ni kitu kisicho na thamani yeyote! vitu vingapi wewe unaambiwa kwenye sayansi na unaamini?
Nimesema hapo juu sayansi imejengwa katika ujuzi, na si imani.
Unaweza ku-prove vingapi wewe binafsi?
Vingi sana, wewe unakusudia kipi specifically ?
hata 1 + 1 = 2 unaweza kui-prove?
Number theory took care of this ages ago, and in base ten 1 + 1 = 2. Sasa ukianza kubishana kuhusu 1 + 1 = 2 ntakuona umeishiwa, kwani unaelekea kubisha hata uwepo wako sasa, tunaweza kubishia kila kitu. Hata wewe uwepo wako unaweza kubishiwa. Unajuaje kama wewe si wazo tu kichwani mwa computer fulani? Au kwenu nyie mnaoamini kwamba mungu yupo, unajuaje kwamba wewe si wazo tu katika kichwa cha mungu?
Au do you take it as a given?
I don't
the distance to the moon?
The notion of "the distance to the moon" is a fallacy. There is no such thing as "the distance to the moon". You need to define your question much finer for it to make sense.
have u been there au do you take it as a given?
Because of my above response, this question is now rendered irrelevant.
sasa imani yako kwenye hivi vitu ina tofauti gani na imani yangu kwa Mungu?
Mara nyingine mna assume nina imani wakati hata maswali yenu sijawajibu, unauliza swali, hujapewa jibu, usha assume jibu langu litakuwa hivi, ushaform critique kwenye jibu ambalo hata si langu. Kwenye chess wewe unapigwa checkmate kirahisi sanaa tu.
Ukiuliza swali angalau ngoja nijibu kabla ya kurukia jibu ambalo unafikiri litakuwa langu.
bearing in mind kuwa wewe ulisema imani = lack of knowledge! which is absolutely absurd!!
Imani ni lack of knowledge, you can't believe and know the same thing at the same time, if you know you have surpassed belief and saying you believe is absurd, if you believe you can't possibly know because believing carries within itself the condition of not knowing.
So do you know that there is a god, or do you believe that there is a god ?