Babu wa Loliondo "avuliwa nguo" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mediaman, Mar 25, 2011.

 1. mediaman

  mediaman Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.

  Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.


  Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."

  Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna upinzani mkubwa sana na Propaganda nyingi sana zitafanyika sasa hivi maana kuna watu biashara za watu nyingi zinaharibika.

  Ukimsikilza hapa, utagundua kuwa Babu anatumia neno MUNGU na si YESU. Hii ina maana kuwa milango iko wazi kwa wote.

  Ndiyo maana watu wa dini wote wanahaha maana wanafikiri Babu anataka kuwabadilisha watu kuwa Wakristo/Lutheran.

  Babu yeye hasemi Yesu wala kanisa au Msikiti wala Hekalu.........

  Wakenya wameenda na kufanya Film nzuri sana na kuhoji Ma-Dr kadhaa na utajaza mwenyewe mwishoni.

  Sijui jibu ni lipi maana hapa OPINION nzipo mbili........ Amua mwenyewe ipi ni kweli.....

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Hogwash, the whole religiosity drama and it's rituals are nothing but a silly attempt of man to adopt a grandiose psychology towards life, and avoid the fact that we are a chance happenning in an unimportant corner of a vast godless universe.

  There is nothing supernatural, and even that which appears so, appears so due to the poverty of our minds.
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  it make a lot of sense ...wait and will see more ...more to the extent to awaken the sleepy mind of the mass!!
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Why people die....?

  The answer to this question 'll lead to another question(if u go down to cell ,DNA....)..which is again "why"but this time no answer yet.

  The law of physics says ,there is no infinity chain of force...it must be force which is source all force,also there is no infinity chain of events.....

  There is a source of universe name it whatever you wanna name .
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unaenda kumuuliza dreva taxi kama muda wa ku-operate mabasi uongezwe? unategemea jibu gani? Mimi sitaki kusikia huyu kasema ivi au yule kasema vile. Watoe evidence hapa. Mtu asimame aseme aonyeshe the before and after effect. Kama vipi...wampeleke babu mahakamani ili tupate evidence. Lakini hatuwezi kuburuzwa kama makondoo. Hii ishu ina interests kibao na hivyo ni ngumu kuweza kupata jibu kamili.
   
 7. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  i find such statements to be seriously weak. Can science even explain what 'life' is in its simplicity and yet complex structure? Can science create 'life' out nothing or basic elements. All they do is understand the material build up of life, but not life itself.
   
 8. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  niliwahi kusema na nitaendelea kusema kwamba babu ni mgonjwa wa akili na anahitaji tiba.tusubiri tutajionea mengi.
   
 9. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Babu's placebo effect at work
   
 10. m

  mams JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Enyi watu wa mataifa, hii ni moja ya shuhuda kwamba mungu yu hai na watu wamepona na wanaendelea kupona. Mungu ataendelea kuonysha miujiza na kamwe hakuna linaloshindikwana kwake yeye, msitake kushindana naye Kwani mwajua nini kitawatokea!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mbona unateseka sana kumpinga babu .... sijui una bifu gani na huyu mzee ..... toa matibabu na wewe watu wakufuate

  jealous kills
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  To the contrary, your argument (if at all you can exhibit the shameless audacity to call it that) is the one that comes across as exceedingly weak.

  Science does not pretend to have all the answers. In fact, the basis of science is rooted in finding out answers by observation and experimentation. So the fact that science cannot explain what life is is rather immaterial in my dispute over religiosity. In fact, your inference that I am pro-science is totally misguided. I could be anti-religious and anti-science at the same time. This need not be an either science or religion question, only a narrowness of one's framework would rail the issue as such.

  Unachosema hapa ni kama mtu kakwambia "njia yako hiyo si ya kweli, na haiwezi kukufikisha unakotaka kwenda, kwani unaenda kusini unavuka mto Ruvuma kuelekea Msumbiji wakati unataka kwenda Nairobi" halafu na wewe unajibu kwa kusema " Njia yako ya kaskazini inaweza kunipeleka Eastleigh Nairobi ?"

  Ingawa sayansi haina majibu ya hakika kabisa (majibu ya hakika kabisa - hata kama hayapimiki- ni eneo la dini) lakini sayansi inatupa picha nzuri zaidi kuliko dini. Ili kujua njia gani kati ya sayansi na dini ni sahihi, sihitaji kujua jibu exact. Naweza nisijue square root ya 9, lakini nitajua kwamba haiwezi kuwa kubwa kuliko 9 (nishapata point ya kwanza ya ku converge hapo) then nikajua kwamba 4 squared ni 16, kwa hiyo square root ya 9 probably ni less than 4, halafu nikajua kwamba 2 squared ni 4, kwa hiyo nikajua square root ya 9 ipo kati ya 2 na 4, nina converge kwenda kwenye the right answer comfortably. Hata kama sina the right answer najua it is just a matter of time. Ndiyo sayansi inavyofanya kazi. It is a self correcting discipline through the efforts of observation, experimentation, peer review etc.

  Sio kama dini inayokuambia kila kitu ni kazi ya mungu, bila kukupa kitu chochote chenye ushahidi concrete kwamba mungu yupo.

  Unaweza kunipa ushahidi wowote concrete kwamba mungu yupo ? Na usinipe maandiko ya misahafu matupu, maana hata Shakespeare alimuandika Romeo, na huyo alikuwa fictional character tu.

  Hizi habari za kutegemea-tegemea mungu na supernatural powers ndizo zinatufanya waafrika tunakuwa maskini kila siku tunajazana makanisani, misikitini na kwa waganga (it is all the same to me) wakati wenzetu wanaongeza effort katika scientific research.

  Tutakula mi placebo sana tu kwa mtaji huu. Kwanza kila kitu chetu placebo, kuanzia uongozi mpaka bajeti, sasa cha kushangaa kwa huyu babu hata sikioni.
   
 13. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Kiranga nenda Loliondo kapate kikombe. mwambie na mwenzio Blue ray. huyu alipotelea wapi?
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  What you fail to realize is that an infinity need not be open-ended. That you can have a closed infinity. Pi, 22/7 cannot be calculated precisely and therefore has an infinite value, but this value never reaches 3.15

  Also, the fact that we don't know so much, does not guarantee that these questions will be endless. How do you know that somewhere down there we don't have a "Grand Unified Theory" ?

  In addition, even if the questions are endless, indeed, if the questions are endless, this does not mean that god is validated. You can have a universe with endless questions -most probably a looping phenomena- and one that does not necessarily need a god.

  Can you show me tangible proof that god exists?
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Most probably nikipata kikombe nitaambukizwa ngwengwe tu na midomo yote iliyokipitia, chances are hata basic hygiene haiwi observed huko.

  The Blu one is deep in concentration, training his telescope on some distant galaxy.
   
 16. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapa umesema kabisa, hii "placebo effect", the fact kuwa mtu umefika nyumbani kwa babu na kupata kikombe, tayari psychologically unajiona umepona, kumbe hakuna kitu ni placebo tu hahahhhhhh
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,328
  Trophy Points: 280
  u
  Kiranga tiba ya Babu ni mambo ya "Willpower" on oparative at it best. Kinachoponyesha au kuleta nafuu sio kikombe bali ni the faith behind Babu inayo open up the powers from within na kukupa nafuu.

  Tiba hiyo ni "Faith Healing" huwezi kuileta kwenye vipimo vya kisayansi. Haya ni mambo ya PSI (ParapSychology Inspiration) science haioni ndani, its beyond that.
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana nikaongelea "placebo". You can cure a head cold with that no doubt.

  Try to cure HIV with placebo and see what happens. Ndiyo maana unaanza kusikia stories za watu 'walioponywa" na babu wanaanza kuumwa tena.
   
 19. h

  hizakemi Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Good point! I hope we could always think outside the box. Keep it up
   
 20. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli ambao baadhi ya WATANZANIA hawataki kuusikia, na ukisemwa wanatamani kupasuka kwa ghadhabu.
  Nitaendelea kusimama upande nilioko, na ni heri niwe mjinga kusubiri kuliko kuwa mjanja wa kujiwahishia matatizo. Ni heri kuchelewa katika giza kuliko kuwahi katika mwanga uliotokeza ghafla! (maana yaweza kuwa radi)
  Nimechangia na kuanzisha mada kadhaa, nikiwaambia ndugu zangu WATANZANIA, Tuache KWENDA NA FUNUNU! Kwa maana sasa kila FUNUNU inayokuja TUNAIKIMBILIA... Hakuna anaetazama matokeo ya mwisho ya fununu hizo. Ndipo nikasema TUNAUMWA MAFUNUNU!
   
Loading...