KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Fedhea kwa serikali ya JK na viongozi wake vimeo karibia wote walikimbilia kwa babu kunywa kikombe.ni kweli amekuwa janga la kitaifa. Aibu na fedheha kwa taifa letu.
Hata serikali yetu ni kichwa cha mwendawazimu haiwezekani kuruhusu watu watumie hiyo dawa pasipokuhakikisha na wakatuhada wanafanya uchunguzi kwakuchukua sample ya watu 200 na majibu yenyewe imekuwa kama kumsubiri Yesu. Na hili suala la babu limegarimu maisha ya waTZ wengi waliopuuza masharti ya hapo awali. Wenzetu kenya baada ya wanchi wao kwenda na hawakupona waliripoti ktk vyombo vya habari nakumkandia babu sana kitendo ambacho kilifanya wakenya kuamini hiyo dawa si sahihi na kuacha kwenda sijui viongozi wetu waliolewa madaraka walifanya nini
Umesahau Serikali ilikataza halafu ika-withdraw? Umati ule ulikuwa unasikia la mtu? Nilimuambia mtu si ungoje mvua zipungue uende kwa raha zako, kidogo anirarue kwenye simu. Utafiti ulifanyika ndugu, matokeo ya maabara na ripoti ilishatoka. Mmea una medicinal characteristics lakini dose establishment haikuwa na scientific evidence (inaitwa statistical significance of dose effectiveness). Tembelea fikra pevu hapo juu
wagonjwest! Tuliwaonya watu lakini hawakusikia....wakavuna walichopanda.Kama babu alikuwa mgonjwa wa akili na wale waliokwenda kwake kupata kikombe je?
Mkuu sijui unaongelea serikali ipi! Mkuu wa serikali alikuwa miongoni mwa watanzania wa kwanza kabisa kupata kikombe, akifuatiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa baraza lake la mawaziri na wote kwa visingizio tofauti.King'asti, tatizo watu wanalalamika tu bila kufuatilia ukweli, au walitaka serikali iende na FFU ndo wajue kwamba hawakubaliani na ule utaratibu wa babu. Halafu kitu kingine lile suala lilikaa kiimani zaidi hivyo serikali haikutaka kuingilia uhuru wa mtu wa kuabudu. Kiufupii ule mmea hauna matatizo ila utaratibu wa dozi ndio haukuwa mzuri ndio maana serikali ikawatahadharisha wananchi kwamba wasiache dawa za hospitalini.
Mkuu sijui unaongelea serikali ipi! Mkuu wa serikali alikuwa miongoni mwa watanzania wa kwanza kabisa kupata kikombe, akifuatiwa na zaidi ya nusu ya wajumbe wa baraza lake la mawaziri na wote kwa visingizio tofauti.
kumbukumbu zinaonyesha wengi wa waliojitokeza hadharani kuipinga ile tiba ya babu walikua ni waislam japo walizomewa kila walipojaribu kufanya hivyo hadharani na watu watu dini nyingine wakionekana walikua wakisumbuliwa na wivu sababu babu sio sheikh na wala sio athuman,ally au mohamed...lakini hapa kila mtu anajifanya alikua anaipinga tuache uongo wengi tuliiamini wengine tulikosa tu nafasi ya kwenda loliondo lakini tulikua tunasononeka kwa kuikosa nafasi ile