mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,929
- 757
Babu kasaidia wengi sana, watu wengi wamepona. Ule mmea/plant ni kiboko.
Mungu amjalie uzima BABU aendelee kutoa huduma, Halafu nilisikia watu
wanasema eti wengi waliokunywa kikombe cha BABU wamekufa, na kuna mtu
alisema eti karibu kijiji kizima kiliteketetea baada ya kunywa kikombe cha BABU.
YAANI haya yote ni uzushi.Ktk maeneo niishiyo bado watu wanaenda kwa BABU
na walioenda mpaka sasa wanadunda na wengi wao wamepona kabisa. Tatizo
BABU alitibua dili za watu