Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

Unajua kua JPM alimtaka Mwinyi awe makamo wake ? ..ila kwakua Zanzibar hawakuitaj waongozwe na Ke na kuzingatia Hakubariki kwao , ikaamuliwa Aendelee kua makamo wake ??..na mwinyi aende zanzibar .
Kwakuwa halikuwekwa wazi (hatulijui) basi hatuwezi kulizungumza maana hatuna ushahidi nao!
 
Hivi huu upuuzi uliupata darasani au ni kipaji chako?

Yaani unaona fahari kuongozwa na mwanamke badala ya kuona fahari kwa utendaji kazi wake(kama anaongoza vizuri)?

Kwa akili hizi, duhhhh....!!!

Madelu Piga tozo 200% halafu kazi iendelee,
 
Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.

Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??

Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.

NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".

SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
Wafuasi wa dikteta hameni Nchi Kama vipi
 
historia ya Rais wa Zanzibar unaijua??! Ukiacha kuwa waziri,je alikuwa na Siasa za matukio!?
Hata Samia ana historia nzuri tu, hila kwakuwa wewe Ni msukule wa dikteta huwezi kujua kitu,

Aliyekuambia uongozi Ni historia Nani!?? Magufuli alikuwa na histolia nzuri kwenye uwaziri, kwenye nafasi ya Urais akaboronga na kupendelea kwao kanda ya ziwa na kuua democracy na uhuru wa kujieleza, na matukio mengi ya hovyo
 
Kuna kiongozi aliyetenda mambo makubwa nchi hii yasowezekana yakawezekana ??

Ukiachilia mbali nyereere, kuna kiongozi atakuja kupata mamilion ya watu km alivyopata JPM

JPM Sikumkubali kwenye kudeal na wapinzani na wanaomkosoa

Ila mengine yalobaki, HATOTOKEA .. Wee ulishaona wapi Rais anafanya mambo kwa miaka mitano, mambo yalowashinda watangulizi wake wa miaka 20??? Ulioma wapi.

NATURE YA MWANADAM NI UWAPELEKESHE LKN WAONE KWELI MAMBO YANAFANYIKA

NAHII NDIO SABABU UNAONA XI JIPING, PUTIN WANABAKI KUA MARAIS WANAOPENDWA SANA NCHINI KWAO, LICHA YA KUMINYA UPINZANI

Dunia ya sasa ni ya UTAIFA..kila Rais anasimama kwa Masilahi ya Taifa, nandicho alichofanya JPM.

KUHUSU HISTORIA YA ZANZIBAR, NIRUDIE KUSEMA...SAMIA HAJAWAHI KUFAA POPOTE PALE KUA RAIS WA NCHI HATA YA ZANZIBAR TU, HAJAWAH KUTOSHA
 
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,

nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,

#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Hili Ni kosa kubwa Sana baada ya kuchagua viongozi wenye vision na mission tunachagua watu wapumbavu kwa sababu tu ya umaarufu mwisho wa siku uwezo wake wa kufikiria na kujenga hoja ndo umefikia hapo.
 
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,

nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,

#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Huenda isijetokea tena kabisa.
 
Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,

nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,

#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Nani anatembea na hela? Wakati miamala ya mpesa ipo
 
Back
Top Bottom