Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,634
- 39,698
Wameshazaa Kama Siyo
Kujifungua Na Namkumbuka Mmoja Wao Alikuwa Anaishi Karibu Na Kwa
Marehemu Mama Yangu Mdogo Pale Sinza Jirani Kabisa Na Maeda Sijui Meeda
Bar Jina Lake Nalihifadhi Kimaadili Ila Mimi Binafsi Nilimfanyia
Mahojiano Ya Kiaina na Alikuwa Ananiheshimu Mno Na Alinizoea Pia Na
Alichoniambia Ni Kwamba Si Yeye Wala Wale Wenzie ILA Kilichotokea tu Ni
Kwamba Suala Lote Lilitengenezwa Na Wazazi Wao Walipewa Chochote Kitu
Pamoja Na Vitisho Juu Na Hata Hadi Sasa Wanafuatiliwa Na Wanachungwa
Mno. Alichoniambia Ni Kuwa Zile Alama Nyekundu ktk Vyupi Zao Wala
Hazikuwa Damu za Kuingiliwa Bali Ilikuwa Ni Mchanganyiko wa Tomato
Source na Kemikali Nyingine Kwa Maadili Ya Kijasusi Siwezi Nikaitaja
Hapa. Habari Ndiyo Hiyo ILA Hili Suala Limekaa KISIRI na KIHATARI Sana
Kushinda Hata Ile Ajali Ya Jana Pale Lugalo ( Supa ). Ushauri tu au Ombi
Haswa Kwa Wanaume Wenzangu Hebu TUACHE BIFU ZA KISHAMBA, KIJINGA na Za
KITOTO ZA KUMKOMOA MWANAUME MWENZAKO KISA TU " AMEKUKANYAGIA " AMA DEMU
WAKO tu au MKEO. INASIKITISHA na INAUMA Sana. Mademu au Wanawake Wenyewe
Wa Kibongo Hawana Dhamana.
sina la kusema tena hapa wala sitazungumzia tena hili suala kwenye social media au popote pale.