kibassaNyiboto
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 309
- 165
Kilicho niskitisha niwasanii wenzake pindi walpokutana na mueshimiwa raisi walishindwa kabsa kumuomba raisi awa samehe nakwabusara za raisi laiti wangemwambia angetoa jibu LA ufasaha
Kumbe anakula Bata jela! Na watoto aliyewaharibu alipowapumulia kisogoni watapona lini kisaikolojia na kimwili ili nao wale walau ndege shorwe! Akatwe tu.View attachment 166432Babu Seya na Papii wakitumbuiza kwenye bendi ya Magereza,siku ya Magereza,hapo ni gereza la Ukonga,picha kwa hisani ya gazeti la MWANANCHI
Kumbe anakula Bata jela! Na watoto aliyewaharibu alipowapumulia kisogoni watapona lini kisaikolojia na kimwili ili nao wale walau ndege shorwe! Akatwe tu.
mkuu, kwa CCM kila kitu kinawezekana. imagine wameweza kumkunja twiga na urefu wake ule akaingia kwenye ndege....watashindwa kumtoa babu seya? sidhani.
Unaukumbuka ule mwimbo wa Papi Kocha SALMA?
Tuangalie ubora wa viongozi wetu pia ubora wa majaji wetu. Tangu mwanzo kulikuwa na dalili za utata. Leo hii Nguza anapoachiwa, ilistahili tuelezwe nini hasa kilitokea. Je huu ni wema wa Rais tu, au ni ufahamu wake juu ya yale yaliyotokea wakati ule kwa uongozi uliopita?Wameshazaa Kama Siyo Kujifungua Na Namkumbuka Mmoja Wao Alikuwa Anaishi Karibu Na Kwa Marehemu Mama Yangu Mdogo Pale Sinza Jirani Kabisa Na Maeda Sijui Meeda Bar Jina Lake Nalihifadhi Kimaadili Ila Mimi Binafsi Nilimfanyia Mahojiano Ya Kiaina na Alikuwa Ananiheshimu Mno Na Alinizoea Pia Na Alichoniambia Ni Kwamba Si Yeye Wala Wale Wenzie ILA Kilichotokea tu Ni Kwamba Suala Lote Lilitengenezwa Na Wazazi Wao Walipewa Chochote Kitu Pamoja Na Vitisho Juu Na Hata Hadi Sasa Wanafuatiliwa Na Wanachungwa Mno. Alichoniambia Ni Kuwa Zile Alama Nyekundu ktk Vyupi Zao Wala Hazikuwa Damu za Kuingiliwa Bali Ilikuwa Ni Mchanganyiko wa Tomato Source na Kemikali Nyingine Kwa Maadili Ya Kijasusi Siwezi Nikaitaja Hapa. Habari Ndiyo Hiyo ILA Hili Suala Limekaa KISIRI na KIHATARI Sana Kushinda Hata Ile Ajali Ya Jana Pale Lugalo ( Supa ). Ushauri tu au Ombi Haswa Kwa Wanaume Wenzangu Hebu TUACHE BIFU ZA KISHAMBA, KIJINGA na Za KITOTO ZA KUMKOMOA MWANAUME MWENZAKO KISA TU " AMEKUKANYAGIA " AMA DEMU WAKO tu au MKEO. INASIKITISHA na INAUMA Sana. Mademu au Wanawake Wenyewe Wa Kibongo Hawana Dhamana.