Babu Seya kuachiwa huru na Kikwete?

Babu Seya kuachiwa huru na Kikwete?

Mkuu, kuna watu wengi ambao wako magerezani kwa makosa ya kusingiziwa na kuna watu wapo uraiani kimakosa----wamtenda maovu ya kubaka, kulawiti, kudhulumu,nk....lakini tu kwa kuwa wapo kwenye system ya chama tawala au wana fedha chafu, wanaendelea kupeta mitaani bila kukamatwa!!!!!

View attachment 166751

View attachment 166751

hivi huyo alo kumbatiwa ni dada au ni mwanaume?
 
Wameshazaa Kama Siyo Kujifungua Na Namkumbuka Mmoja Wao Alikuwa Anaishi Karibu Na Kwa Marehemu Mama Yangu Mdogo Pale Sinza Jirani Kabisa Na Maeda Sijui Meeda Bar Jina Lake Nalihifadhi Kimaadili Ila Mimi Binafsi Nilimfanyia Mahojiano Ya Kiaina na Alikuwa Ananiheshimu Mno Na Alinizoea Pia Na Alichoniambia Ni Kwamba Si Yeye Wala Wale Wenzie ILA Kilichotokea tu Ni Kwamba Suala Lote Lilitengenezwa Na Wazazi Wao Walipewa Chochote Kitu Pamoja Na Vitisho Juu Na Hata Hadi Sasa Wanafuatiliwa Na Wanachungwa Mno. Alichoniambia Ni Kuwa Zile Alama Nyekundu ktk Vyupi Zao Wala Hazikuwa Damu za Kuingiliwa Bali Ilikuwa Ni Mchanganyiko wa Tomato Source na Kemikali Nyingine Kwa Maadili Ya Kijasusi Siwezi Nikaitaja Hapa. Habari Ndiyo Hiyo ILA Hili Suala Limekaa KISIRI na KIHATARI Sana Kushinda Hata Ile Ajali Ya Jana Pale Lugalo ( Supa ). Ushauri tu au Ombi Haswa Kwa Wanaume Wenzangu Hebu TUACHE BIFU ZA KISHAMBA, KIJINGA na Za KITOTO ZA KUMKOMOA MWANAUME MWENZAKO KISA TU " AMEKUKANYAGIA " AMA DEMU WAKO tu au MKEO. INASIKITISHA na INAUMA Sana. Mademu au Wanawake Wenyewe Wa Kibongo Hawana Dhamana.

Nani aliyechukuliwa mkewe, then awaingize mpaka mahakimu, polisi, wazazi wa watoto na wengine chungu nzima katika ugomvi wake na huyu babu seya na familia yake??? Hivi hawa watu wanafaidika na nini kwa ugomvi huu mpaka waamue kuiangamiza familia ya babu seya kiasi hicho bila huruma??? Hivi inawezekana kweli watu hawa wooote wanamnyanyasa babu seya sababu eti kamchukulia mke mtu huyo!!! Watu hawa makatili kiasi gani jamani?

Hebu jiulizeni hayo maswali kabla hamjasema babu seya kaonewa sbb alimchukua mke wa mtu. Hebu kuweni na tafakuri ya kina! Msipende kuwapaka watu matope ilhali ukweli hamuujui. Mleta mada una bias. Unaamini babu seya alionewa sbb alimchukua mke wa mtu. Si vema kuwa na dhana mbaya juu ya watu bila kuwa na ushahidi. Acha DHANA ni DHAMBI
 
Hebu tumegeeni huo ukweli unaoujua wewe basi!
 
Mimi Nilidhani Ukishamaliza Kutokwa Na Mapovu Basi Utatuambia Nani Kamfunga Babu Seya Na Mwanae AU Nini Kimetokea Kumbe Huna Lolote Zaidi Ya Full TITO na GIGO................ LAFA Weye!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ingekuwa hukumu zinatolewa kwa kupiga kura Babu Seya na Papii kocha wangekuwa huru zamaniiiii. Itoshe kusema ni wafungwa ambao the majority wanapenda waachiwe huru.

kwasababu wengi tunajua kaonewa..
kuna watu wana roho nzito na ngumu sana,hawana hata chembe ya huruma..
 
Sina hakika sana LAKINI ile sheria ya makosa ya kujamiiana SOSPA inakifungua kinachomzuia Rais au mtu yeyote kutoa msamaha kwa mfungwa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya kubaka. Itabidi sheria irudishwe bungeni kurekebishwa ili wapate hiyo haki.

nipoooo
 
Yani watanzania ni watu wa ajabu sana,mmekalia kulalama tu hawa watu walionewa lakini mkiambiwa mtoe ushahidi hakuna anaejitokeza kudhibitisha hilo.acheni mambo ya ajabu na kujidai wenye huruma sana,kama ni hukumu ya maisha wapo watu wengi sana huko magerezani waliohukumiwa na wametulia tu.hawa wanajaribu kuficha aibu za unyama wao kwa kutafuta huruma kutoka kwenye jamii isiyojua sheria..kwanza mahakama haikutenda haki,hawa jamaa walitakiwa wanyongwe mpaka kufa kabisa kwa ushenzi waliowafanyia wale watoto..
 
Mjepo rekebisha lugha yako lasivyo na wewe utaenda huko jela... Hakuna kiswahili kisemacho "ulaiyani" sema uraiani.. Au keyboard yako aina R!!

Sent from my iPhone using JamiiForums

na wewe nimetuma vijana waje wakukamate hapo kwenye red... Haina na si aina
 
Yani watanzania ni watu wa ajabu sana,mmekalia kulalama tu hawa watu walionewa lakini mkiambiwa mtoe ushahidi hakuna anaejitokeza kudhibitisha hilo.acheni mambo ya ajabu na kujidai wenye huruma sana,kama ni hukumu ya maisha wapo watu wengi sana huko magerezani waliohukumiwa na wametulia tu.hawa wanajaribu kuficha aibu za unyama wao kwa kutafuta huruma kutoka kwenye jamii isiyojua sheria..kwanza mahakama haikutenda haki,hawa jamaa walitakiwa wanyongwe mpaka kufa kabisa kwa ushenzi waliowafanyia wale watoto..

wewe ushahidi unao au nawe unabwabwaja tu!
 
Mimi Nilidhani Ukishamaliza Kutokwa Na Mapovu Basi Utatuambia Nani Kamfunga Babu Seya Na Mwanae AU Nini Kimetokea Kumbe Huna Lolote Zaidi Ya Full TITO na GIGO................ LAFA Weye!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sikujua kama nawe Gentamycine una matusi! Sasa hapo umenitukana kwa sababu gani! Mimi nimetoa mtizamo wangu kwa mtu mwenye kufikiria kwa yakini, lakini wewe unanimwagia matusi! Laa, sawa kama uwezo wako ndiyo ulipofikia sikulaumu.
 
Hebu tumegeeni huo ukweli unaoujua wewe basi!

Ukweli ndiyo huo ambao jopo la mahakimu waliuona. Hao ndiyo waliosikiliza mashauri, ushahidi wa pande zote na wakajua ukweli wa yaliyopo ktk sakata hilo na wakaridhika pasina kuacha shaka juu ya hilo, ndiyo maana wakaja na hukumu hiyo. Kwa yakini, ingekuwa alionewa, hizi rufaa zilizokatwa mara kadhaa, lazima angetoka. Haiwezekani kamwe watu wote wakakubaliana na ujinga wa mtu mmoja kugombana na mwenzake kisa mwanamke halafu wote hawa wakaamua kuungana kumnyanyasa huyu bila huruma tena na wanawe. Mimi nalikataa hili. Hao walifanya hilo ndo maana rufaa zilishindikana. Kilichopo kwa mtazamo wangu, waonewe huruma tu lakini siyo kwamba hawakufanya
 
Sikujua kama nawe Gentamycine una matusi! Sasa hapo umenitukana kwa sababu gani! Mimi nimetoa mtizamo wangu kwa mtu mwenye kufikiria kwa yakini, lakini wewe unanimwagia matusi! Laa, sawa kama uwezo wako ndiyo ulipofikia sikulaumu.

Nimekusamehe Kwa Kuwa Umeweka Picha Ya Kiungo Maestro Na Nahadha Wangu Wa You Will Never Walk Alone 1892 Liverpool FC Steven Gerrard. Usijali Kijana Tupo Pamoko.
 
Back
Top Bottom