kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Tatizo ni kwamba ndg zetu wakristo, huwa hawataki kusikia jambo lolote lenye Chembe ya uislam, lkn wao huchomekea mambo Mengi ktk jamii kwa kuinukuu biblia. waisilamu si wepesi wa kumaindi vitu vidogo vidogo. tunaomba wakristo muwe na uvumilivu Kama ambavyo waisilamu wanavyowavumilia.Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
Sawa nimekuelewa, AMANI IWE JUU YAKO MKUUNi kama mimi nikikusalimia kwa kilugha changu ambacho wewe hukijui si nitakuwa punguani?
"Asalaam aleykum" (Amani iwe juu yako) ni zaidi ya salamu mkuu (ni dua pia).Ni kutawaliwa kifikra tu mkuu, wala tusiwalaumu wanaotumia hiyo salaam coz waafrika tumetawaliwa kuanzia akili hadi makalio.
Mtu anaona uzito kusema "habari ya asubuhi", ambacho ni kiswahili kizuri ila kwake kutumia kiarabu kusalimia ni fahari sana.
Ni sawa na mwingine kusema "good morning", zote ni matokeo ya kutawaliwa kuanzia ubongo hadi makalio.
🙄....??waafrika tumetawaliwa kuanzia akili hadi makalio.
Una yako ya kufanya ukiona hvy [emoji23][emoji23]Nikajua ni mimi tu.
Nliachaga kusikiliza Clouds because of her
Qudadek tbc 1 hamtaki kuangalia na clouds nayo mnaitema ndio maana wameamua kuzitoa kwenye visumbuziNikajua ni mimi tu.
Nliachaga kusikiliza Clouds because of her
Hujui..??Kwani uislamu una ubaya gani?!!
Dini ya majinuni..[emoji48][emoji48]Kwani kutangaza dini siyo habari?......... Acha kukariri dogo!
Babie kabae ni mtu ambae anajitahid sana kuwa neutral linapokuja suala la imani jafika kipind chake,kwann hujawah kumshangaa na kumdiss anapozipromote pasaka na christmass kwny clouds 360???mm ni Christian lakin huyu dada umemuonea,labda kama unamwonea wivu maana wanawake kw wanawake hampendaniHuyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
Hebu jisumbue kidogo kutafuta maana ya hyo salamu unayoilalamikia kwa kiswahili halafu urudi hapa, wakristo mna matatizo sana.' Unakutana na mtu kwa mara ya kwanza haufahamu imani yake lakini salamu unamsalimia ya dini yako, ama unafahamu fika imani yake lakini wewe kwa kukariri ama ukorofi tu unaanza kumsalimia kwa salamu unayoitumia kwenye dini yako!! je ! yeye akikusalimia ama akakakujibu kwa dini yake utafurahiama utajibu. Tujifunze ustaarabu wa kuishi na imani nyingine bila kuwakera. Tanzania ndio nchi yenye baraka ambayo wengi tumezaliwa tukajikuta tunaishi pamoja imani tofauti kwa kushirikiana. Nadhani kuna watu wamezaliwa sehemu ambayo imani ya dini yake imekuwa ni sehemu ya mila na desturi zao kutokana na hilo salamu za kidini zimekuwa ni salamu rasmi kwa kila sehemu, lakini unapotoka nje ya eneo hilo ama unapopata mgeni usiyejua imani yake, usimkwaze kwa salamu yako jitahidi umsalimie kwa salamu ya kiswahili baada yakujua imani yake waweza kuendelea na salamu za kiimani. Kama ni siku ya ijumaa kafanya hivyo huyo mtangazaji ni sahihi na sii mbaya kwa sababu tunajua siku ya ijumaa kuna vipindi maalumu vya dini hiyo na ni siku yao na wala haina shida yoyote kama ilivyo jumapili kwa upande mwingine. Lakini kama anafanya hivyo kila siku basi atafutwe na watu wake wa karibu aelimishwe.
KabaeNi kabaya au kabaye.
Jina hilo hapoNi kabaya au kabaye.
Hata sisi huku mtaani kumeibuka vikanisa mithili ya vibanda vya chips na havina siku maalum ya kuabudu vimeandikwa msaada wa maombezi wala hatujalalamika kelele zao wala anayewapa hati za ardhi kujenga hvyo vibanda, vp mtaani kwenu hujaviona?Hapo umenena mkuu maana kwa wanaofuatilia Jumatatu mpaka ijumaa yeye ni uislamu uko hivi mara uko vile mara sisi tunaamini hivi yani kero tu
Kwani clouds hakuna muongoza vipindi? halafu mabosi wote wakristo hawajatoa povu ila nyie ndio mnawashwawashwaStop being defensive. Hakuna aliposema kwamba Uislam ni mbaya au vinginevyo. Amesema/ameshauri kwamba kwenye kipindi cha clouds siyo sehemu sahihi, maana watangazaji ni wengi na wana imani tofauti...... Kama vipi atafute platform nzuri/sahihi ya kuliongelea hilo la Uislam. Sasa wapi alipokosea??
Jifunze kuwa positive siyo kila kitu unakiangalia kwa negativity!
Huyu si Mganda au?Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.