Kuna mtangazaji mmoja pale mweusi mfupi huwa anachomekea masuala ya imani ya kikristo ila sijaona kulaumiwa hilo,watu wajifunze kuvumiliana tu maana hapo clouds kukuta imewekwa video ya wimbo wa gospel ni kawaida tu hata kama sio kipindi cha dini.Angehubiri ukiristo, ungesemaje? Acha udini Mzee
Aha kumbe wapo nduguzeHauna haja kumaliza wino kumuandikia.Jamaa zake watamuhadithia uso kwa macho wakionana.
360 ni kipindi kipo Asubuhi, najiuliza mzee baba huna kazi hadi uwepo kijiweni na masela kuangalia hicho kipindi.Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
You people must understand! Tatizo siyo uislamu.Anapaswa aombe kipindi maalumu afungue "Madrasa"! Kipindi maalumu.Weka kichwani hivi;Kipindi maalumu cha dini ya Kiislamu!Siku ya jumapili mbona sisi hatusemi, waache kuhubiri
Sio jumapili tu hata siku za kawaida huwa wanapiga gospel.Siku ya jumapili mbona sisi hatusemi, waache kuhubiri
Emoji yako inajieleza360 ni kipindi kipo Asubuhi, najiuliza mzee baba huna kazi hadi uwepo kijiweni na masela kuangalia hicho kipindi.
Halafu kingine kuuchukia uislam hakulipi kabisa
Uislamu huu uliokuja miaka ya 600AD?Kwani uislamu una ubaya gani?!!.......acha ujinga kijana!
Sasa si utakonda bure kwa chuki Mkuu.maana sidhan kama ataachaYeye ndo aache maana si kipindi cha dini kile
Mzee kijiwe cha breakfast nzitoHiki kipindi huwa kinarushwa asubuh sasa mkuu wew asubuhi tu upo vijiwen kaz unafanya saa ngapi mzee
Mwonee huruma tuuUislamu huu uliokuja miaka ya 600AD?
Kwani wewe ndio Ruge?Vinalipiwa mkuu na ni vipindi maalumu kama vile vipindi vya dini ya kiislamu TBC, ITV na Channel 10 siku za ijumaa, hivyo havina shida kabisa maana ni maalumu kwaajili hiyo, 360 sio kipindi cha dini
Ulitaka achomekee nini, physics au chemistry? Yeye kaona reference ya dini ndio iko vzr.Sijazungumzia kipindi cha dini cha jpili hicho nakijua,ila huyo jamaa huwa anachomokea masuala ya dini kama anavyofanya Baby kabaye.
Sina tatizo naye juu ya hilo ila ndio nashangaa Baby kabaye naye akifanya kama hivyo kwa imani yake kuna watu wanaona shida.Ulitaka achomekee nini, physics au chemistry? Yeye kaona reference ya dini ndio iko vzr.
Popote ulipo wewe tumia reference za biblia
Uislamu hauwez kuuzid kitu UkristoMbona wewe ni mkubwa lakini unazidiwa akili na mdogo wako
Sasa kwanini unaumia moyo wakati unajua hizi dini zote ni fix tu.Uislamu hauwez kuuzid kitu Ukristo
Uislamu umeanzishwa na ukatolik ili kusambaza Dogma zake
Sio zote ni fixSasa kwanini unaumia moyo wakati unajua hizi dini zote ni fix tu.