Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,879
- 105,243
Umesikia hapo ni msikitini au muhadhara?Acha ushabiki wa kipuuzi au muombeni Mfalme wa Morocco awajengee msikiti pembeni ya studio mkafundishane.Kila kitu kiwe na mpangilio.Siku za mafundisho ya dini zinajulikana sasa kwa nini mtu atoke na kiheremswede chake huko geto ajidai muhubiri?Kwani kutangaza dini siyo habari?......... Acha kukariri dogo!
Sijui kwanini huwa mnatetemeka na kuhara!? Na Uislamu wala hauna shida na nyinyi
Vinalipiwa mkuu na ni vipindi maalumu kama vile vipindi vya dini ya kiislamu TBC, ITV na Channel 10 siku za ijumaa, hivyo havina shida kabisa maana ni maalumu kwaajili hiyo, 360 sio kipindi cha diniCLOUDS hupiga kwaya siku nzima ya JUMAPILI.. waislam hawakuwahi kulalamika! Nadhani mbasumguliwa mnasumbuliwa na SUPERIORITY complex! Hamjaanza leo!
CLOUDS hupiga kwaya siku nzima ya JUMAPILI.. waislam hawakuwahi kulalamika! Nadhani mbasumguliwa mnasumbuliwa na SUPERIORITY complex! Hamjaanza leo!
Acha uongo..KWAYA hazilipiwi!Vinalipiwa mkuu na ni vipindi maalumu kama vile vipindi vya dini ya kiislamu TBC, ITV na Channel 10 siku za ijumaa, hivyo havina shida kabisa maana ni maalumu kwaajili hiyo, 360 sio kipindi cha dini
Mbona mchungaji Masanja mkandamizaji jumatatu alikuwa kwenye kipindi hicho hicho akihubiri Injili au haujamuona!!......acha kuwapangia bhana.Anamanisha kuwa pale sio mahali pake kwani wote sio waislam no sio wote wanaoupenda kama wewe
Tulia kaka hakuna mwenye nia mbaya na uislam tujikite kwenye hoja ya mtoa maadaCLOUDS hupiga kwaya siku nzima ya JUMAPILI.. waislam hawakuwahi kulalamika! Nadhani mbasumguliwa mnasumbuliwa na SUPERIORITY complex! Hamjaanza leo!
Wapi nimesema kwaya zinalipiwa?Acha uongo..KWAYA hazilipiwi!
Sorry.Mara nyingine usimjibu hivyo,umeharibu.Uwe unampa ukweli tu.Usimtukane.Mlete mama yako geto uone
Hakuna shida kwenye dini yoyote.......sasa anakereka nini? Neno la Mungu huubiriwa pote pote humu Ulimwenguni usisahau hilo!Ukisoma vizuri alichoandika utamwelewa tu
Hakuna shida kabisa kwenye uislamu
Hebu rudia kusoma tena
Hapo umenena mkuu maana kwa wanaofuatilia Jumatatu mpaka ijumaa yeye ni uislamu uko hivi mara uko vile mara sisi tunaamini hivi yani kero tu' Unakutana na mtu kwa mara ya kwanza haufahamu imani yake lakini salamu unamsalimia ya dini yako, ama unafahamu fika imani yake lakini wewe kwa kukariri ama ukorofi tu unaanza kumsalimia kwa salamu unayoitumia kwenye dini yako!! je ! yeye akikusalimia ama akakakujibu kwa dini yake utafurahiama utajibu. Tujifunze ustaarabu wa kuishi na imani nyingine bila kuwakera. Tanzania ndio nchi yenye baraka ambayo wengi tumezaliwa tukajikuta tunaishi pamoja imani tofauti kwa kushirikiana. Nadhani kuna watu wamezaliwa sehemu ambayo imani ya dini yake imekuwa ni sehemu ya mila na desturi zao kutokana na hilo salamu za kidini zimekuwa ni salamu rasmi kwa kila sehemu, lakini unapotoka nje ya eneo hilo ama unapopata mgeni usiyejua imani yake, usimkwaze kwa salamu yako jitahidi umsalimie kwa salamu ya kiswahili baada yakujua imani yake waweza kuendelea na salamu za kiimani. Kama ni siku ya ijumaa kafanya hivyo huyo mtangazaji ni sahihi na sii mbaya kwa sababu tunajua siku ya ijumaa kuna vipindi maalumu vya dini hiyo na ni siku yao na wala haina shida yoyote kama ilivyo jumapili kwa upande mwingine. Lakini kama anafanya hivyo kila siku basi atafutwe na watu wake wa karibu aelimishwe.
Kwani Clouds ni TV ya wauslamu peke yao?Kwani uislamu una ubaya gani?!!.......acha ujinga kijana!
Vyovyote vile lakini huyo anakera sana ujue.Ni kabaya au kabaye.
Ijumaa saa kumi na moja asubuhi mbona pia kuna kipindi cha uislamu...mleta mada yupo sawa kipindi kinatazamwa na watu mbalimbali na wengine hata dini hawana,so ni vizuri kuepusha kuzungumzia dini..Shika maandiko wakat wa ujana wako. Kila jumapili Clouds fm kuna kipnd cha Nyimbo za Dini.
Wengine kazi tunaingia usiku usikariri, ratiba hazilingani. Kama sisi wazee wa Port Operation ni 24 Hrz. So usishangae mwenzio kwenda kubadilishana mawazo na wana saa nne baada ya kupiga mzigo usiku kucha.Dhu! Mkuu unamka sasa 12 asubuhi unaenda kijiweni mpaka saa 4 kuangalia 360??, nilijua unaangalia kwako, kama ndo hivi hali ni mbaya sana,
Jumatatu mchungaji wa Kilokole Masanja mkandamizaji alikuwa hapo hapo Clouds 360 akihubiri Injili mbona hukutoa povu?......Msikitini ni kwa ajili ya ibada usikariri!Umesikia hapo ni msikitini au muhadhara?Acha ushabiki wa kipuuzi au muombeni Mfalme wa Morocco awajengee msikiti pembeni ya studio mkafundishane.Kila kitu kiwe na mpangilio.Siku za mafundisho ya dini zinajulikana sasa kwa nini mtu atoke na kiheremswede chake huko geto ajidai muhubiri?