Babe unaweza kuniletea popcorn

Dah noumer sana,refer my signature mtoa mada!
 

Kitabia umefanana kabisa na mpenzi wangu,,kumbe wa hii mko wengi mi nilijua ni yeye tu,, maana kabla yake sikuwahi kumpata wa hivyo.

Ni kweli mwanaume usipokuwa na tabia ya kumpiga mizinga una muweka katika hali fulani ambayo inamfanya akuone unathamani..

Isijekuwa nakuquote kumbe we ndo mpenzi wangu,,maana hizi id fake zinatustili,,,LOL
 
Last edited by a moderator:

mi babe wangu kanambia eti ameanza kusoma chuo kule dodoma---nkamuuliza, 'udom?', akajibu, 'ndio'. nilipomuuliza kozi anayosoma jibu alonipa kidogo nizimie---eti akanijibu kwamba BADO HAJAPANGIWA kozi! kaazi kweli kweli! nna wacwac huyu atakuwa ameenda kupiga u-harlot kwa wabunge wa BMK!
 

Ukiona manyoyaaaaaa .........
 
Sasa akishaviringisha hiyo alfu yake anachokorolea maskio ama? Afu umenikumbusha, hivi sikudai mtoko mmoja?
I waz asking maisef!
Hiyo alfu anaweza kuitumia kwa qaaaz nying
Hata kujikumbusha maumbo ya hisabati darasa la V.
 

Nakuchoraga tu endelea, umeshanianika mengi humu kwa post zako nakuchuniaga
tu. Nitakwambia kitu hapa utazimia baba yoyoo.
Phlagiey
 
Last edited by a moderator:
Hiv Lakin hebu niwaulize dot.com
Siku hiz mapenzi mnayanogesha na nini?
 
Ha ha ha, hawajui mapenzi kwa kizungu ni matamu zaidi?

Ni kama nikiagiza 'lemon Ice tea', ni tamu kuliko kusema chai ya baridi ya ndimu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…