Babe unaweza kuniletea popcorn

Kwahiyo ukiwa na mpenzi wako utamchukulia kama work mate au? Hata kama ubahiri siyo huo bana.
Mpelekee mrembo popcorn acheck movie amalizie long weekend hii.

Vitu vidogo vidogo kama hivyo vinataka mtu ambae teyali ameshajikwamua kimaisha na sio yule ambae anatafuta njia ya kujikwamua! Mtu mwenye malengo razima atajitoa ktk mahusiano taraatibu, kuna faida gani ya kula popcorn,ice cream, kuchek movie alafu mkimaliza mnapanga foleni kugombania dala dala! So sio kama hatupendi ila sio muda mwafaka
 
Shost kabla ya kumpiga mzinga vp kwa ile Aud kakupa?

Dear You know that my Mu-sir can't let me down. Tayari nabadili gia tu.

But si unajua tena hierarchy of needs...
 
Last edited by a moderator:
team kulalamika at work lol. Kama wamuona wanini wenzio wanasema ntampata lini
 
Dear You know that my Mu-sir can't let me down. Tayari nabadili gia tu.

But si unajua tena hierarchy of needs...

Sweetheart I like your sweet voice when you tell me what you want that is why I never resist just to see your smilling sweet face everyday my TATIANA
 
Last edited by a moderator:
waambie hao
 
Dear You know that my Mu-sir can't let me down. Tayari nabadili gia tu.

But si unajua tena hierarchy of needs...

Hahaha... Dats my gal.. sasa kama unavyojua mjini mashauzi yanahitaji pesa sasa omba mtaji wa $50,000 si unajua mabo ya vitega uchumi tena uwekeze au sio najua shem wangu #Mu-sir hatokulet down kwa huli pia au sio shem?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha... Dats my gal.. sasa kama unavyojua mjini mashauzi yanahitaji pesa sasa omba mtaji wa $50,000 si unajua mabo ya vitega uchumi tena uwekeze au sio najua shem wangu #Mu-sir hatokulet down kwa huli pia au sio shem?

I can not afford to let my sweet quen down. Hatokaa akose furaha akiwa na mimi
 
Hahaha... Dats my gal.. sasa kama unavyojua mjini mashauzi yanahitaji pesa sasa omba mtaji wa $50,000 si unajua mabo ya vitega uchumi tena uwekeze au sio najua shem wangu #Mu-sir hatokulet down kwa huli pia au sio shem?

My babe Mu-sir has already given me $60,000...am soooo sooooo lucky to have him.
 
Last edited by a moderator:
kwahyo bwana wako unampgaga mizinga

Sijawahi piga mzinga huwezi amini, mimi mgumu kuomba hata kama na shida gani.
Ila mwanaume mwenyewe alikuwa anajua nini nataka na kwa muda gani. Si ndio nashangaa mpaka mtu unaombwa? Nilikuwa siombi napewa, na ambavyo nilikiwa siombi ndivyo naye alikuwa akiumizwa kichwa kunitimizia kila kitu.
Hope umenielewa MstahikiMeya
 
Last edited by a moderator:
Wala wasichana wa kimarekani hawapo hivyo mkuu ni ushamba na kuiga.. Maisha ya kwenye tv ya akina kim.. Wakati wao wanaonesha ili wapate hela.. Wasichana wa kimarekani wanasoma na kufanya kazi kwa nguvu..ndo maana hata wakati mwingine ukizingua wanakuacha na wanalea watoto as single mom.. Hawaogopi maisha mkuu
 
Wa2 kama hao najifanyanya netwrok inakata coz ukiwaendekeza kamshahara kote kanaisha kabisaaaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…