Baba yangu hataki nimsaidie pesa mke wake

Baba yangu hataki nimsaidie pesa mke wake

Msikilize babaako sababu huyu mama anaweza kusaidiwa na wanae. Kwamba wanae wa kuwazaa hawapokei simu zake na wewe umemsaidia mara moja yameshamfikia dingi inaelekea mama hatunzi jambo kifuani na ndio maana ana friction na wanae wa kuzaa
 
Habari jamaa zangu, ipo hivi baba angu mzazi ana watoto watano(5) kati ya hao watano mimi nipo peke yangu kwa mama(marehemu) na hao wengine wanne mama yao ni mmoja.

Huyo mama ameshatengana nae, hapo juzi alikuwa na shida akanitafuta kwenye simu nikamsaidia pesa kiasi, sasa sijajua baba kajuaje kama nimempa pesa nashangaa siku nampigia baba kumsalimia ndo anaanza kunisomea risala ananiambia hataki kusikia nimemtumia pesa tena na kama akiwa na shida awaambie watoto wake wa kuwazaa.
Hapo ndio binadamu wengi tunapokosea,ugomvi wake na mke wake anauhamishia mpaka kwa watoto,yeye hajui kuwa wale wenzako 4 ni ndugu zako wa damu ila yule mwanamke kwake ni rafiki tu,hana wanachoshare in common......
 
Huyu mama nimekaa nae kwa mda mwezi mmoja tu kwenye maisha yangu mpaka sasa ila sasa nachojiuliza kwanini mzee anikataze

Nataka nimwambie bi mkubwa nilichoambiwa na mtalaka wake
Umeshawahi ishi nae kwa mwezi mmoja tu lakini unataka kuweka attachment na mazoea kiasi cha kutaka kumsaidia mara kwa mara??...

Kiufupi HUMJUI na zaidi mahusiano uliyonayo naye, anaeyajua vizuri ni baba yako. Si wewe

Kwa hiyo hapo huna sababu za kumtetea huyo mama kwa sababu hujui anakuchukuliaje ama kukufikiriaje. Na anaweza kukufanyia nini

Na wazazi wa kiume ni nadra kuweka roho mbaya kwa mtu aliye meena kwako. Amini mzee wako anakupenda na kukujali kuliko huyo mama.. Muulize, msikilize. Asipotaka kukuambia. Fuata alichokisema
 
Hapo ndio binadamu wengi tunapokosea,ugomvi wake na mke wake anauhamishia mpaka kwa watoto,yeye hajui kuwa wale wenzako 4 ni ndugu zako wa damu ila yule mwanamke kwake ni rafiki tu hana wanachoshare in common......
Mzee anaona huyu mtoto atamtomba huyu mwanamke sababu sio mama yake na hawana vinasaba vyovyote na ukizingatia labda umri haupishani sana hapo lazima Mzee awe kichwa kigumu..
 
Nataka nimwambie bi mkubwa nilichoambiwa na mtalaka wake
Baba yako anamaanisha huyo mwanamke huna vinasaba nae vyovyote ukijenga nae mazoea sana mwisho mtaishia kutombana ndio maana akakupiga marufuku mapema maana anajua nini kinachoenda kutokea ukimzoea sana huyo aliekua mke au hawala wa baba yako mwisho utamtomba tu niamini mimi maana mazoea yakizidi sana mwisho mtavuana nguo..
 
Vipi Kama wanawe hawana uwezo au roho mbaya?
Vipi Kama huyo mama alimlea vizuri Sana huyu mdau mfano wa mwanawe wa kumzaa?
Mimi nililelewa vizuri sana na mama wa kambo. Sikuona tofauti yangu na waliolelewa na mama zao wa kuwazaa.
Heshimu kauli ya baba , huwa awezi kusema kitu bila sababu ya msingi
 
Huyu mama nimekaa nae kwa mda mwezi mmoja tu kwenye maisha yangu mpaka sasa ila sasa nachojiuliza kwanini mzee anikataze kumsaidia
Kama mzee anaingilika ukipata muda mzuri wa kuongea nae face to face jaribu kumdadisi lakini kwa wakati huu ambao bado unajiuliza kulikoni, wewe fuata ulichoambiwa na mzee wako.
 
Back
Top Bottom