Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

Ulitaka usaidiwe hela ya kuoa na mzee wako🤣🤣🤣

Mpenzi wako amemaliza kidato cha 4 mwaka jana??

Au ndiyo hao wanaoenda na watoto shule. Haiwezekani mtu akatae kuolewa kisa baba yako hakupi hela ya mirathi
 
anaona akiendelea kukufuga kwenye nyumba yake, unaweza kumuua uridhi mali. ameshaona wewe ni threat. hujui alitoaje jasho kujenga hiyo nyumba, tafuta vya kwako, hakuna mahakama yeyote utaenda kutaka kurithishwa mali za wazazi hai.
 
anaona akiendelea kukufuga kwenye nyumba yake, unaweza kumuua uridhi mali. ameshaona wewe ni threat. hujui alitoaje jasho kujenga hiyo nyumba, tafuta vya kwako, hakuna mahakama yeyote utaenda kutaka kurithishwa mali za wazazi hai.
Huna haya tafuta zako kijana
 
Thread za kijinga yani Mahakamani umeenda hata mwezi haijaisha kesi imeisha hiyo mahakama ya wapi? Unatuona sisi wakuja sana, Fala wewe.
 
Thread za kijinga yani Mahakamani umeenda hata mwezi haijaisha kesi imeisha hiyo mahakama ya wapi? Unatuona sisi wakuja sana, Fala wewe.
na hakuna mahakama itampa haki ya kudai mali ya aina hiyo kwa babake, hiyo ni mali binafsi ya babake sio ya kwake kabisa, hana haki nayo, babake akitaka kumpa ni ampe zawadi tu kama anavyoweza kumpa mtu mwingine yeyote. watoto wetu hawa wakizaliwa kwenye nyumba tulizojenga huwa wanaamini ile nyumba ni ya kwao, kama mzazi ni mzima (hajafa) mtoto hana haki kumiliki chochote pale, atoke akatafute kingine. babake ameona jamaa ni threat anaweza kumtoa roho arithi mali, na ni sahihi kumfukuza. anawez akumuua, na kwenye ulimwengu huu ambao watoto wanaua wazazi wao.
 
Hua tunataja idadi kwa ukali au kwa sauti ili wengine wasikie ili mlengwa adhalilike. Kwenye karatasi zaidi ya msomaji hakuna atakayejua mpaka aonyeshwe.

Hivyo uongo wake katika hii scenario kwangu mimi ni huo
 
ni kesi ya madai mkuu
Hakuna kesi inaisha ndani ya mwezi unless ilikuwa na PO ambayo ilimaliza kesi. Acha kutuona wajinga. Ukitunga story uwe unauliza ili iendane na ukweli.

Kwanza story ya kijinga sana miaka 42 unavizia mali ya mzazi aliye hai hizo ni Mali yake utaishia kuua wazazi wako na usote jela wakukule Tigo, kama vipi heri uanze kuuza Tigo mtaani utapata madanga sio jela italiwa bure kavukavu.

Haujachelewa, juhudi yako tu.
 
...Tumekuchoka! Miaka 42 ondoka hapo kwa yako! Huna HAKI yoyote anapouza Nyumba take eti Una Hali akugaie! Huna Hali yoyote! Ondoka halo kwa baba yako na umpe nafasi. Achia Chumba hicho!
 
Jamaa anawajaza upepo na kuna watu wanajaa kweli dah
 
Kama hiki ni kweli , basi wewe ni fal.a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…