Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

Kama story yako itakuwa ya kweli, basi utakuwa miongoni mwa watu wapambavu na mizigo sana kwa familia na jamii kwa ujumla, 42 ulipaswa umsaidie baba yako, sio uchukue tena mali zake
 
Mtanzania mwenzetu naona unataka utendea haki ule usemi wa Life begin at 40

Yani unataka anza maisha kwa pesa kupewa na baba ila chonde chonde usije mtenda mzee kama yule binti wa Moshi akimuua mama ili arithi Mali so usifanye hivyo

MY TAKE.
Ni aibu na unajidharirisha kwa umri wako na elimu yako kuja kusema baba ataki akupe pesa zake , Miaka 42 huo ni umri ambao mzee alitakiwa kuja kuka kwako kula na kulala bure akisubilia siku zake za kuishi hapa duniani zifike.

Unajua kwanini mzee ataki kukupa pesa zake kakudharau kauona huna akili na ujitambui kakusomesha nk ila huna akili bado unataka chake tu ungekuwa na akili siku anauza nyumba hiyo pesa ungeshika wewe kwakua huna akili kama baba yako basi pambana na hali yako
 
Umenikosea sana hata tu kuuliza swali la aina hii Balqior humu asilimia kubwa tunaishia kwa utani, anyways, ahsante pia.!
Sikua na nia ya kukukosea, hapa jF pia ni sehemu ya kurekebishana, je wajua Ukifanya mapenzi na mwanaume kwasababu ya pesa, ilhali hujavutiwa naye kimapenzi, huko ni kujiuza, Unakua ni kama wale wadada wanaojiuza barabarani, wao wanaangalia pesa tu, hawana hisia za kimapenzi kwa wateja wao Carleen
 
Sikua na nia ya kukukosea, hapa jF pia ni sehemu ya kurekebishana, je wajua Ukifanya mapenzi na mwanaume kwasababu ya pesa, ilhali hujavutiwa naye kimapenzi, huko ni kujiuza, Unakua ni kama wale wadada wanaojiuza barabarani, wao wanaangalia pesa tu, hawana hisia za kimapenzi kwa wateja wao Carleen
Kama ulisoma kile nilichoandika ukaelewa usingekuja na haya maelezo marefu tena..!!
Kuwa na Jpili njema mpendwa, sitakujibu zaidi ya hapa tena..!
 
Mkuu WEWE SIO MTOTO ni MZEE wa miaka 42.
Hela ya baba yako ni yake nawe huna haki HATA KIDOGO.
Katafute maisha na utafute hela yako, ujenge halafu ukiuza na wewe mtoto wako akupeleke mahakamani kwa kuuza jasho lako!!
Mtoto hakui mbele ya baba yake, maadamu baba yako yu hai basi wewe ni mtoto tu.
 
kuna siku nlikuwa napita mitaa ya FULANI mujini, kuna dingi alikuwa tungi..ameketi kibarazani.....namnukuu " huyu mtoto kuna siku ntamf.......a", nilisikitika sana kwa hiyo kauli.......but now najaribu kumuelewa.....watoto kama wewe MLETA MADA...... kwanza babako anahuruma sara....angepaswa akufanye wewe MCHEPUKO wake....pumbafu sana......unajua babako alipataje mali....amekusomesha......42yrs kweli ...na unajitapa umesoma.......utakuwa umesoma GAZETI wewe.....sio chuo kikuu......
 
Hahahaha yaani leo ndo nimejuta hii story ya uongo ulikua unaenda vizuri Sana Ila hapo kwenye hiyo barua ndo nimegundua kua ni story ya kutunga.
 
Back
Top Bottom