fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Je yupo hai mpaka sasa?Alikuruka kulinda ndoa yake, ungekuwa umemfuata kazini mchana, angekupokea ila asingekupeleka kwa mkewe, mngemalizana kiume na nduguzo ungewajua, lakini bado una nafasi. Mfuate tena ila pitia kwa rafiki yake wa karibu, usiende direct.