Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

Hivu unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale?

Uchungu wa mwana uko wapi hapo?

Ingependeza ungehoji ndugu wa wale wengine Lugola anaosema wametekwa hawajapatikana kwanini familia zao wasiitishe press conference. Wazazi wa Ben Saa nane wanakaa huko vijjijini ambako hakuna hayo mapress conference, wao press zao ni jumba za ibada wakimwambia Mungu. Hawa akina Dewji wana hela zisizo na kazi mpaka wanatangaza dau la 1b.Wazazi wa Ben Saa 8 hata wakienda bank kukopa nina shaka kama wanaweza kupata hata 1m.
 
Hivu unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale?

Uchungu wa mwana uko wapi hapo?
Acha kuisanifu familia kwa sababu siyo wewe wala wazazi wako yaliyowakuta wazazi na watoto wa Ben ndio maana unakuja na maneno ya kunya kama haya, pumbavu.
 
Hivu unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale?

Uchungu wa mwana uko wapi hapo?
Mkuu uwe na heshima na familia za watu...hasa kwa magumu waliyopitia sidhani kama ni jambo la kheri kwa hichi ulicho andika

Muda mwingine ni vyema kuuliza kwanza kwa aliye karibu yako kabla ya kupost na moderator,sio vizuri kuruhusu nyuzi kama hizi zinazo dhihaki familia za watu
 
Mkuu wangu

Laana unayojitafutia hapa

Sidhan kama utanusurika

Hivi mnafikiria. Nn
 
Na ndo maana nashangaa, mimi kama ningekuwa na mtoto tena ambaye ni maarufu halafu akapotea nisingekaa kimya, hapo ndipo panaponishangaza, lkn watu tuko tofauti hata hivyo
 
Mkuu wangu

Laana unayojitafutia hapa

Sidhan kama utanusurika

Hivi mnafikiria. Nn

Kosa langu lipi hadi unipe laana? Kwani B.Saanane siyo mtu maarufu kwamba haturuhusiwi kuhoji? Kwa nini sasa mlileta habari za kupotea kwake na kuzitangaza?
 
Wewe jamaa hizi nyuzi zako zinakera kuliko wanawake wauza miili wanavyokereka zinapowadia siku zao.

Kama hujawahi kukutwa na tukio kama hilo nyamaza acha kuongea na mdomo wa chini unaopitisha (chakula taka)
Hoja yake ni ya msingi sana.huwez potelewa na mtoto then wanaokuwa wanapiga kelele ni majirani na wewe upoupo tu.Huoni bavicha wa jf ndio wanauchungu sana kuliko baba ake au ndugu zake?Huoni kila mtu anataarifa tofaut kuliko saanane?
 
Na ndo maana nashangaa, mimi kama ningekuwa na mtoto tena ambaye ni maarufu halafu akapotea nisingekaa kimya, hapo ndipo panaponishangaza, lkn watu tuko tofauti hata hivyo
Mimi nasema hivi na wewe unajibu vile...poa hamna shida ila najui umeelewa sana
 
Hoja yake ni ya msingi sana.huwez potelewa na mtoto then wanaokuwa wanapiga kelele ni majirani na wewe upoupo tu.Huoni bavicha wa jf ndio wanauchungu sana kuliko baba ake au ndugu zake?Huoni kila mtu anataarifa tofaut kuliko saanane?
Hujapata kufuatilia mada zake zilopita.
 
Kosa langu lipi hadi unipe laana? Kwani B.Saanane siyo mtu maarufu kwamba haturuhusiwi kuhoji? Kwa nini sasa mlileta habari za kupotea kwake na kuzitangaza?
Yani hawa jamaa aliyewaroga analaana sana.Wao wamekarrshwa ni serikali na hairuhusiwi kuhoji nje ya hapo
 
Mleta mada hujaitendea haki familia ya Ben Saanane.Hayakuhusu

Hata wewe pia haujanitendea haki, kwa nini mnapenda kujitangaza sasa kama mnajua hampendi kujadiliwa? Basi futeni na msiweke habari za B.Saanane hapa JF!
 
Hivi unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale?

Uchungu wa mwana uko wapi hapo?
Huyo wamempeleka kusoma vijijini huko urusi wanazuga kapotea.
 
Back
Top Bottom