Mimi sijafurahishwa na jinsi ulivyo post mada inayolaumu familia ambayo imepata pigo kama lile.Sijakuelewa unaweza kufafanua kama ukipenda, isitoshe hili ni jukwaa huru!
Swala kama lile halina uchama ...sote ni binadamu mkuuSijakuelewa unaweza kufafanua kama ukipenda, isitoshe hili ni jukwaa huru!
Tujadili siasa nk mambo ya familia tuwaachie familia.Hujaitendea haki familia ya Ben Saanane.Sio sawa ulichofanyaHata wewe pia haujanitendea haki, kwa nini mnapenda kujitangaza sasa kama mnajua hampendi kujadiliwa? Basi futeni na msiweke habari za B.Saanane hapa JF!
Namfaham vizur sana. Elewa tu anahoja ya msingi ambayo hata mwenyewe huwa nashindwa kuelewaHujapata kufuatilia mada zake zilopita.
Uwe unafuatilia habari sio kukaa kwenye majukwaa ya akina dada kuuliza bei ya Vipodozi.Namfaham vizur sana. Elewa tu anahoja ya msingi ambayo hata mwenyewe huwa nashindwa kuelewa
Some people you still alive because is ilegal to shoot you mazafaka.Ni wapi nimeleta kejeli? Hivi ni kwa nini huwa mnajitangaza kama hampendi kujadiliwa? Au mnataka msikie tu kile kinachowapendeza? Kama hamtaki tuongee acheni basi kutuletea habari zenu humu.
Na ndo maana nashangaa, mimi kama ningekuwa na mtoto tena ambaye ni maarufu halafu akapotea nisingekaa kimya, hapo ndipo panaponishangaza, lkn watu tuko tofauti hata hivyo
Lete hiyo habar hapa mkuuUwe unafuatilia habari sio kukaa kwenye majukwaa ya akina dada kuuliza bei ya Vipodozi.
Familia ya saa8 imewahi kuzungumza juu ya suala la mtoto wao.
Pendeni kuhoji mambo sio kukarrshwa ujingaSiasa zisikufanye uwe na roho ya kikatili namna hiii.. End of the day wote ni watanzania, tunapingana itikadi tu, ubinadamu unabaki palepale..
Umenitibua kweli kweli, ni mtanzania kweli wewe?
Wahutu na watusi ni wengi Tanzania, Watanzania wenyewe tunajuwana hatujawahi kitenganishwa ubinadamu wetu na siasa, ndio sababu hata Jiwe letu naamini si Mtanzania pia, roho ile si ya Kitanzania.Siasa zisikufanye uwe na roho ya kikatili namna hiii.. End of the day wote ni watanzania, tunapingana itikadi tu, ubinadamu unabaki palepale..
Umenitibua kweli kweli, ni mtanzania kweli wewe?
SAKATA la kupotea ghafla kwa aliyekuwa msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bernard Saanane, limechukua sura mpya, baada ya familia yake kumjia juu mwajiri wake, Chadema, kwa kile inachodai chama hicho kimeshindwa kuonyesha dhamira ya dhati ya kumtafuta.Lete hiyo habar hapa mkuu
Baada ya hapo nini kinaendelea?Hata huo uzito wa mzazi ni mdogo sana na tokea hapo hatujawah kujua family ilichukua hatua gani.SAKATA la kupotea ghafla kwa aliyekuwa msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bernard Saanane, limechukua sura mpya, baada ya familia yake kumjia juu mwajiri wake, Chadema, kwa kile inachodai chama hicho kimeshindwa kuonyesha dhamira ya dhati ya kumtafuta.
Akizungumza na MTANZANIA jana, baba mzazi wa Saanane, Focus Saanane, alisema anashangazwa na hatua ya Chadema kushindwa kujitokeza hadharani kumtafuta mwanae ambaye amepotea katika mazingira ya kutatanisha.
“Tangu mwanangu Ben amepotea, hatujawahi kumuona (Freeman) Mbowe ambaye ndiye mwajiri wake kama amechukua hatua yoyote ya kukutana na familia yangu, tukashauriana namna ya kumtafuta. Ukimya huu umenistajabisha mno.
“Nilitegemea angekuwa mtu wa kwanza kuja kwangu, tuone njia gani ambayo tunaweza kutumia kumpata Ben. Naumia mno ndugu yangu,” alisema Focus.
Alimtaka Mbowe ajitokeze na kuipa familia taarifa za mahali alipo Ben, kwani wao wametawaliwa na hofu kubwa kutokana na kijana wao kutoweka akiwa mikononi mwake.
“Ninamtaka Mbowe aniletee mwanangu Ben akiwa mzima, nashindwa kujua yupo wapi na nini kinaendelea mpaka sasa kati yake na Ben, haiwezekani mwajiri ashindwe kujua mfanyakazi wake alipo mpaka sasa… bado haliniingii akilini mwangu… suala hili halileti taswira nzuri kwa jamii kama anaendelea kukaa kimya na hazungumzi chochote, si haki,” alisema.
Akizungumza kwa jazba, Focus aliiomba Serikali na vyombo vyake vya dola isaidie kumtafuta Ben kwa nguvu zote kutokana na juhudi za familia kugonga mwamba.
Pia alikanusha vikali taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari, kuwa Ben amefariki dunia. Kwamba familia yake imeitwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwenda kutambua maiti moja iliyochomwa moto maeneo ya Uru Ongoma. Kata ya Uru Kaskazini wilayani Moshi.
CHADEMA
Akijibu malalamiko hayo, Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene, alisema si kweli kama Mbowe ameamua kukaa kimya, bali wao wameiachia Serikali kufanya uchunguzi wa kina na kutoa taarifa.
“Wakati jambo hili linatokea, mwenyekiti wetu (Mbowe) alikuwa nje ya nchi, naelewa presha aliyonayo mzazi wa Ben katika suala hili, tunaendelea kuhangaika nalo na kutaka vyombo vya dola vichukue hatua.
“Tunaitaka Serikali ifanyie kazi mambo matatu ambayo yako ndani ya uwezo wake, iseme wapi alipo Ben, mara ya mwisho aliongea kwa simu yake na nani na wapi na itumie kila aina ya uwezo wa kumleta kwa sababu si mtuhumiwa,” alisema Makene.
RPC
Naye Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa, aliwaambia waandishi wa habari ofisini kwake jana, kuwa uchunguzi uliofanywa na jeshi hilo kuhusu mwili uliookotwa eneo la Uru Ogoma, si wa Ben kama ambavyo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.
“Uchunguzi uliofanywa umebaini aliyefariki ni Steven Kimario (55), mkazi wa Sanya Juu wilayani Siha, ambaye aliuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira, baada ya kukutwa akifanya jaribio la kubaka mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka tisa.
Unataka kujua ilichukua hatua gani kama nani? Nimeleta habari bado unasema uzito wa mzazi ni mdogo ulitaka familia ichome moto vituo vya polisi ujue kuwa mzazi wa Ben ana hasira?Baada ya hapo nini kinaendelea?Hata huo uzito wa mzazi ni mdogo sana na tokea hapo hatujawah kujua family ilichukua hatua gani.
Wewe saanane alikua mtu maarufu sana sio kawaida kuishia kuhojiwa na mtanzania tena gazeti la propaganda na kuishia hewani. Hakuna juhudi zzt za mzaz kumtafuta. Nachojua Wazaz wake wanajua Saanane yuko wapi na ndo maana hawana pressureUnataka kujua ilichukua hatua gani kama nani? Nimeleta habari bado unasema uzito wa mzazi ni mdogo ulitaka familia ichome moto vituo vya polisi ujue kuwa mzazi wa Ben ana hasira?



Muda wote nakomaa na wewe sikujua naendesha mjadala na mtu wa aina gani.Wewe saanane alikua mtu maarufu sana sio kawaida kuishia kuhojiwa na mtanzania tena gazeti la propaganda na kuishia hewani. Hakuna juhudi zzt za mzaz kumtafuta. Nachojua Wazaz wake wanajua Saanane yuko wapi na ndo maana hawana pressure
Huyu dada anazingua huwa hafikirii kwanza kitu anachoandika watu watakipokeaje (She always write and comment what comes first in her mind)Some people you still alive because is ilegal to shoot you mazafaka.
Kama mwenyekiti wake ni kichaa unategemea anaowaongoza ni watu gani?Muda wote nakomaa na wewe sikujua naendesha mjadala na mtu wa aina gani.
ukisema wewe inatosha.Hivi unaweza kweli kupotelewa mtoto wa kuzaa kwa muda wote huo na usiseme chochote popote pale?
Uchungu wa mwana uko wapi hapo?