okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,236
- 3,492
Mkuu hawa Chadema ili kumpata Mkuu Saa8 ni vizuri waombe ushauri kwa Halima Mdee.
Nguvu ya Umma Haijawahi shindwa.
Kawashauri Simba wako wanajianda kuufanyia kazi ushauri
Nguvu ya Umma Haijawahi shindwa.
Kawashauri Simba wako wanajianda kuufanyia kazi ushauri
Unataka kujua ilichukua hatua gani kama nani? Nimeleta habari bado unasema uzito wa mzazi ni mdogo ulitaka familia ichome moto vituo vya polisi ujue kuwa mzazi wa Ben ana hasira?