Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

Ningekuwa mpelelezi ningemkamata Mbowe anisaidie
Ningemuuliza ifuatayvyo
1.Ile safari aliompangia kwenda south africa ilifanikiwa?na alipangiwa kwenda kufanya nini
2.Ni lini aligundua Ben hayupo kazini na alichukua hatua gani
3.Watu 50 waliopelekwa porini bagamoyo walienda kufanya nini
4.vyeti alivyokuwa anagawa mashinji porini ni vya mafunzo ya kufuga kuku au ugaidi?
5.Kwa nini mashinji ametoa waraka kuwakataza Red brigade wasizungumzie wala kuulizia kupotea kwa Ben
We ni muhuni wa kawaida tu.

Hoja ulizoziandika hapo wala hazihusiani na kutoweka kwa Ben saanane.

Baba mzazi anamtafuta mwanawe halafu wewe unaleta porojo zako hapa?
 
We ni muhuni wa kawaida tu.

Hoja ulizoziandika hapo wala hazihusiani na kutoweka kwa Ben saanane.

Baba mzazi anamtafuta mwanawe halafu wewe unaleta porojo zako hapa?
halafu ben ni katika wale waliomtusi lowassa eeeh?maana red brigade mmetangaza kila aliemtukana lowassa,atatapata misukosuko kama sio kifo,tumeona kwa lema
 
halafu ben ni katika wale waliomtusi lowassa eeeh?maana red brigade mmetangaza kila aliemtukana lowassa,atatapata misukosuko kama sio kifo,tumeona kwa lema
Policcm ndio hao Redbrigade siku hizi?
 
Kwahiyo nyie na hizi siasa zenu za majitaka mnapigania kitu gani maana hamueleweki.


Only cowards fears death, real men fears nothing.

Kama akina mtemi mkwawa, mirambo, isike, sina, Bwana heri, kimweri, makunganya, Songea wasingeazisha harakati za ukombozi na kufa wakitetea uhuru wa nchi hii, leo tungekuwa wapi?
 
Pole sana baba poleni familia maumivu mliyo nayo ni makubwa sana, tuombe Mungu Benn arejee akiwa hai.
 
Hii serikali kijana wake mwenyewe hakuwahi kuiamini..sasa imsaidie kwa lipi?? Labda kama anaiambia serikali ya mbowe na lowasa ambayo Ben mwenyewe alikuwa akiiamini.
 
Una uhakika gani kama nimchaga?au kwasababu baba yake aneongea akiwa moshi!!! Kama ni hivyo! Watu wote walio Dar ni wazaramo!!??nenda kaoshe akili yakho inejaa matope.
Unajua vizuri kusoma na kuandika? Niandikie jina la baba yake Ben ndiyo nitaamini.
 
Siasa sio uwadui hasa ukiijua vizuri,katika siasa lazma ukubali kukosolewa,usiwe na chuki kwa wale unaowaongoza,lazma uwe na busara katika maamuzi kinyume na hapo lazma utakuwa mtu wa ajabu kuona kama dunia yote ni yako unakuwa mtemi,kutaka kusujudiwa,unachoamua ndio hicho hicho hatakama kinamathara wakati cheo zamana Leo unacho kesho huna
Nyoosha maelezo,acha uoga.
 
Wewe jamaa hizi nyuzi zako zinakera kuliko wanawake wauza miili wanavyokereka zinapowadia siku zao.

Kama hujawahi kukutwa na tukio kama hilo nyamaza acha kuongea na mdomo wa chini unaopitisha (chakula taka)


Unaonaje ukizipotezea tu kama wafanyavyo wengi tu humu!
 
Mbowe alisema wakiongea hao waliomteka watammaliza kabisa...
 
Back
Top Bottom