Kinachokuwasha ni nini?Daah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
Kwa hiyo kwa kuwa Ben ni mchagga ndio mmeamua kumshughulikia ... ?Daah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
Kwanini uje ujiulize leo ,kama siku zote ulifahamu ni mchaga?unaona unajichanganya?Inafahamika kuwa ni mchaga labda wewe utuambie kabila lake jingine.
Kavunja sheria gani?Siasa hizi....!!!
Jamaa angekuwa anajihusisha na shughuli nyingine tofauti na siasa huenda haya yote yasingetokea.
Kwanini uje ujiulize leo ,kama siku zote ulifahamu ni mchaga?unaona unajichanganya?
WeweDaah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
unasali wapi?Hili swala la Saanane tutajuaje labda CHADOMO ndio wamempoteza wenyewe halafu wanasingizia Sirikali.
Sina imani kabisa na uongozi wa DJ pale CHADOMO.
Wewe bado Junior ukikua utajuaNani kasema amevunja sheria?
Chumbani kwangu! Imeandikwa; "Tena msalipo msiwe kama wanafiki kwa maana wao hupenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia ili waonekane na watu. Bali wewe usalipo ingia katika chumba chako cha ndani na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za BABA yako aliye sirini, na BABA yako aonaye sirini atakujazi". Soma MATHAYO 6:5 - 6.unasali wapi?
hapo sawa maana nackia wengne wanasali palepale lumumbaChumbani kwangu! Imeandikwa; "Tena msalipo msiwe kama wanafiki kwa maana wao hupenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia ili waonekane na watu. Bali wewe usalipo ingia katika chumba chako cha ndani na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za BABA yako aliye sirini, na BABA yako aonaye sirini atakujazi". Soma MATHAYO 6:5 - 6.
Sawa brazaWewe bado Junior ukikua utajua
Moshi. Focus Saanane, baba mzazi wa Ben Saanane ambaye ametoweka kwa mwezi mzima sasa, ameiangukia Serikali akiisihi imtafute na kumrejesha mwanae akiwa hai.
Ben ambaye ni msaidizi wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inasadikiwa ametoweka tangu mwanzoni mwa Novemba.
Hiyo itakuwa mara ya pili kwa familia hiyo kuomba msaada huo. Wiki tatu baada ya Ben kutoonekana, mzazi huyo alitoa ombi hilo kwa niaba ya familia katika mitandao ya kijamii, akieleza kupotea kwa kijana wao na kuomba msaada kwa Mtanzania yeyote mwenye taarifa za mahali alipo.
Juzi, akizungumza na gazeti hili, mzazi huyo alisema familia haina chombo cha uchunguzi wala mamlaka ya kufanya uchunguzi, hivyo wajibu huo unapaswa kufanywa na Serikali kwa kutumia vyombo vyake kama Jeshi la Polisi.
“Hatuna la kufanya zaidi ya kumuomba Mungu,” alisema mzazi huyo.
Only cowards fears death, real men fears nothing.Siasa hizi....!!!
Jamaa angekuwa anajihusisha na shughuli nyingine tofauti na siasa huenda haya yote yasingetokea.
Labda baba mkwe wako.Daah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
Cv ya mbowe anaifahamu na ndio maana alitaka kuijua ya magufuli.Na bora wangekuwa wanafanya siasa za kutumia akili pia yasinge mkuta....mtu anashindwa anzisha mada juu ya kiongozi wake mbowe anataka kujua cv ya magufuri ili iwe nini,waende wamwulize Mbowe si ndo bosi wake.....watanzania wajinga sana sisi.