Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

Ningekuwa mpelelezi ningemkamata Mbowe anisaidie
Ningemuuliza ifuatayvyo
1.Ile safari aliompangia kwenda south africa ilifanikiwa?na alipangiwa kwenda kufanya nini
2.Ni lini aligundua Ben hayupo kazini na alichukua hatua gani
3.Watu 50 waliopelekwa porini bagamoyo walienda kufanya nini
4.vyeti alivyokuwa anagawa mashinji porini ni vya mafunzo ya kufuga kuku au ugaidi?
5.Kwa nini mashinji ametoa waraka kuwakataza Red brigade wasizungumzie wala kuulizia kupotea kwa Ben
 
Siasa hizi....!!!

Jamaa angekuwa anajihusisha na shughuli nyingine tofauti na siasa huenda haya yote yasingetokea.

Na bora wangekuwa wanafanya siasa za kutumia akili pia yasinge mkuta....mtu anashindwa anzisha mada juu ya kiongozi wake mbowe anataka kujua cv ya magufuri ili iwe nini,waende wamwulize Mbowe si ndo bosi wake.....watanzania wajinga sana sisi.
 
Kama yu hai Mungu ampe ulinzi kama amefariki Mungu atafunua juu ya kifo chake.
 
Lakini kuna chama kimoja kiliwahi kunasa MAWASILIANO YA ZITTO KABWE,
Tukakisifia sana kuwa Kipo vizuri kuliko Usalama wa Taifa,....
Je ni chama Kile Kile kilichoweza kunasa wakati ule kimeshindwa sasa????
 
Ningekuwa mpelelezi ningemkamata Mbowe anisaidie
Ningemuuliza ifuatayvyo
1.Ile safari aliompangia kwenda south africa ilifanikiwa?na alipangiwa kwenda kufanya nini
2.Ni lini aligundua Ben hayupo kazini na alichukua hatua gani
3.Watu 50 waliopelekwa porini bagamoyo walienda kufanya nini
4.vyeti alivyokuwa anagawa mashinji porini ni vya mafunzo ya kufuga kuku au ugaidi?
5.Kwa nini mashinji ametoa waraka kuwakataza Red brigade wasizungumzie wala kuulizia kupotea kwa Ben
[HASHTAG]#tunamtakabenakiwahai[/HASHTAG]
 
mh...hi movie sio mchezo. Ufipa pagumu sana.
 
Maswali mazuri sana mkuu..
-Yanajenga hoja nzuri, tuwaachie wahusika wayafanyie kazi maswali yako.
 
Daah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
Una uhakika gani kama nimchaga?au kwasababu baba yake aneongea akiwa moshi!!! Kama ni hivyo! Watu wote walio Dar ni wazaramo!!??nenda kaoshe akili yakho inejaa matope.
 
Siasa sio uwadui hasa ukiijua vizuri,katika siasa lazma ukubali kukosolewa,usiwe na chuki kwa wale unaowaongoza,lazma uwe na busara katika maamuzi kinyume na hapo lazma utakuwa mtu wa ajabu kuona kama dunia yote ni yako unakuwa mtemi,kutaka kusujudiwa,unachoamua ndio hicho hicho hatakama kinamathara wakati cheo zamana Leo unacho kesho huna
Uongozi ni kipaji.kama huna kipahi cha uongozi huwezi kuwa na busara.Matokeo yake unakuwa mbabe, haushauriki huo ni uongozi wa kulazimisha..
 
Daah nilikuwa sijui kumbe Ben nae ni mchaga?? Sasa pale Ufipa ni nani mwenye kabila tofauti?
Hivi mkuu huu ukabila wako utakusaidia nini?
Kulikuwa na haja/faida gani kutaja hilo kabila...?
Ndio maana akili za watu kama nyie zinadumazwa tu kila kukicha, uwezo wa kufikiri kwa watu kama wewe ni mdogo sana. Poor you...
 
Back
Top Bottom