Baba wa Obama sio yule Obama mkenya

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Wanawake wengi na hasa wa Marekani wana tabia ya Kuwasingizia watu Watoto, Kuna habari zinadai kuwa ndilo lililotokea kwa Obama Sir. Alisingiziwa Mtoto. Mimi Ukweli siujui lakini Kuna Madai kuwa watu waliohoji swala hili walikandamizwa na Kubezwa, angalia na Ufanye tafsiri binafsi.

Binafsi Nimeshawishika Kiasi! Huyu Jamaa inadaiwa alikuwa na Mahusiano na Bibi yake Obama Miaka Hiyo, Lakini Pia Kwa siri akafanya upuuzi usiofaa na Mama yake Obama, "Binti wa Bibi yake Obama" Akampa mimba (Ya Obama) Mama yake Obama alikuwa na miaka 16, Ili pengine Kuficha siri Kwa Mama yake, Basi Wakamsingizia Mwanafunzi Mkenya, Obama Sir. ambaye alikuwa na uhusiano na Binti huyu Kuwa yeye ndiye anayeshusika na Mimba! Wanaodai hivi wanasema Ndio sababu hasa iliyomsababisha Obama akagoma sana Kutoa cheti cha Kuzaliwa.

Hii sio Habari Muhimu, Bali Katika Ulimwengu wa siasa Nimeona Kuwa Ni habari za Kushangaza sana Ndio Nikaona niishirikishe kwenu!

obamadavis.jpg

daddy.jpg
 
DNA test inasemaje? Maanake hata uzushi ni kazi pia japo haina mshahara.bora umekiri mwenyewe kuwa si habari muhimu
 
Km ni hivyo siri ingefichuka tu, hao ndugu na huyo jamaa anayesadikiwa kuwa ndo baba mzazi wa obama ni lazima wangefichua siri ili kujipatia maujiko
 
Akili ndogo. Udanganye Marekani? Hiyo ilikuwa kampeni walikuwa wanamchafua. Kamama kenyewe kanaongea kibaguzi.
 
Mimi Sipendi Uzushi, Ila Nimeshitushwa, Hata Picha ambazo huyu Jamaa, Franklin Marshall Davis, alizompiga Mama yake Obama akiwa kama, "Baba wa Kambo" wa Mama huyu ziliashiria walikuwa na Mchezo mbaya Na hata Shuhuda zake zilionyesha alikuwa akiwauza wasichana!

Natoa angalizo Kuwa Mimi siungi mkono wa maneno machafu yaliyoambatanishwa na Picha hii, Nachotaka ni kuonyesha uhusiano wa binti huyu uliokuwepo na Jamaa huyu.

obama-and-frank-marshall-davis.jpg

DNA Huwezi Kumlazimisha Mtu Kuifanya na Obama hatakubali, Swali kuwa huyu jamaa ni kweli aliishi na Bibi yake Obama na Mama yake Kabla hata Obama hajazaliwa halina ubishi, Kuwa Obama anafanana naye sana halina Ubishi, Kuwa Obama amemzungumzia sana huyu Jamaa kama mtu aliyemtunza na kumpa mtazamo wa Dunia. Sasa Sijui Kwanini Dunia Imejaa hadaa hivi. HAPA KUNA UKWELI!
 
Hili Halina Uzito Tena Kwa Maana Moja Tu
Hata Ikiwa Alisingiziwa Ama Laa !!
Kwakuwa Mwenyewe Kasema Baba Yake Mkenya Safi Tu
 
Km ni hivyo siri ingefichuka tu, hao ndugu na huyo jamaa anayesadikiwa kuwa ndo baba mzazi wa obama ni lazima wangefichua siri ili kujipatia maujiko

Wanafanya Hivyo, Lakini Kuna Makubwa ambayo wangesema Wangemharibia, Huyu Jamaa alikuwa Ni Mkomunist na wanasema alikuwa Mfuasi wa Urusi hivyo Obama angepata Vikwazo sana Kisiasa.

Angalizo, Video hii inataka Kumchafua Obama kuwa ni Mkomunisti, Hilo nalipuuza, Ila Kuwa Ukweli kuwa Baba yake alikuwa Mkomunist na Habari za Uhusiano na Mama yake ni Ukweli.

Mimi Sipendi Uzushi, Ila Nimeshitushwa, Hata Picha ambazo huyu Jamaa, Franklin Marshall Davis, alizompiga Mama yake Obama akiwa kama, "Baba wa Kambo" wa Mama huyu ziliashiria walikuwa na Mchezo mbaya Na hata Shuhuda zake zilionyesha alikuwa akiwauza wasichana!

Natoa angalizo Kuwa Mimi siungi mkono wa maneno machafu yaliyoambatanishwa na Picha hii, Nachotaka ni kuonyesha uhusiano wa binti huyu uliokuwepo na Jamaa huyu.

obama-and-frank-marshall-davis.jpg

DNA Huwezi Kumlazimisha Mtu Kuifanya na Obama hatakubali, Swali kuwa huyu jamaa ni kweli aliishi na Bibi yake Obama na Mama yake Kabla hata Obama hajazaliwa halina ubishi, Kuwa Obama anafanana naye sana halina Ubishi, Kuwa Obama amemzungumzia sana huyu Jamaa kama mtu aliyemtunza na kumpa mtazamo wa Dunia. Sasa Sijui Kwanini Dunia Imejaa hadaa hivi. HAPA KUNA UKWELI!

Naunga mkono Obama anafanana na huyo jamaa kweli ni dingi wake yule Obama Sr Kasingiziwa. Obama amerithi kuvuta sigara kwa baba yake huyu!!!
 
Akili ndogo. Udanganye Marekani? Hiyo ilikuwa kampeni walikuwa wanamchafua. Kamama kenyewe kanaongea kibaguzi.

Hivi Wamarekani waliambiwa sababu za Kwenda Iraq zilikuwa Nini?
Hivi waliambiwa No fly zone Libya ilikuwa na lengo la Kumuua Qadaffi?
Hivi waliambiwa ISI Ndio waliokuwa waasi Libya na sio Walibya?
Hivi waliambiwa Yule Balozi Steven aliyeuawa Bengazi alikuwa ni Mamluki aliyeletea Waasi na Magaidi silaha?

Wewe acha hiyo Ndugu yangu. Mimi Niko USA kwa Miaka 16 Najua siasa za USA ndani Nje, Wakubwa (Shadowy forces) Wakimleta Mtu wao Watafunika Kila Kitu. Na Ukipingana nao Utaumia bere. Hii Dunia Unaowaona wakitawala Wamewekwa Na Mfumo wa Ulio GIZANI
 
Back
Top Bottom