Baba wa Obama sio yule Obama mkenya

Baba wa Obama sio yule Obama mkenya

Ni kweli kaka yake Obama ni kama anaonekana kuwa na mashaka na biological father wa Obama, lakini I'm pretty sure kama Obama angekuwa karibu na wana ndugu walioko Kenya na kuwafanyia vitu vya kueleweka, usingemsikia huyo Malik akiwa na mashaka juu ya Baba wa Obama zaidi ya kumsifia kwa hali ya juu. Huu ni unafiki tu wa kiafrika kwamba kama ndugu anacho basi kiwe chetu sote. Hatupendi kuweka jitihada zetu wenyewe!
Naamimi Kumsaidia Mvivu Ni Ujinga, Ila utamaduni wa magharibi ni mchafu, hasa Marekani. Nina rafiki mmoja ambaye anaishi maisha ya taabu, lakini mwanaye wa kumzaa ni kocha wa mpira analipwa 2.5 mil kwa mwaka na hamsaidii lolote baba yake Upuuzi kani huu kutomtunza baba yako aliyekulea huku ukiogelea katika utajiri. Faida yake nini? Umesikia Obama alipoambiwa gharama za Mazishi za "shangazi" ni $ 12,000 akauma njaru.

Hebu Ona huyu Kijana anayesemekana ni Mdogo wake Kweli hii sio Aibu, Jamani.

Mimi Nafikiri Utamaduni wetu wa Kuinuana kimaisha ni wa Kimungu!
 
Ni Kweli hizi Conspiracy ni nyingi na za Ovyo Lakini Nyingine zina Ukweli, Ila Main streem Media wakishapangua habari hatakama inaukweli ukiizungumzia Unapuuzwa. Iwapo Mwanamke akimdanganyia Mtu mtoto tangu akiwa Mimba hata cheti kitasema Uwongo. Mimi siamini Conspiracy ila Kuwa Jamaa aliishi nao, Anafanana na Mtoto Kupindukia, Alimpiga Mama yake Obama Picha za Utupu enzi hizo huku akiwa ni Baba wa kambo wa binti huyo, Kaka yake Obama Mwenyewe anaonekana Kuamini. Imenifanya Nishangae.
Mkuu kwa wamarekani hii kitu ingeshakua agenda

remember Obama ni NEGRO
 
Obama aliingizwa Madarakani na Watu wenye Nguvu sana Wakiwepo akina Warren Buffet(Wakishakaa Gizania wakaamua Kijana Ni huyu, anakuwa) Na wanampa Positions ABCD kuhusu Domestic Policy na International Policy. Alitekeleza Kwa Dhati, Mahali alipokwama Kidogo Ni Pale Urusi Ilipoingilia Mipango hii ya (Shadowy forces) ambazo zina Mikonga Duniani Kote. Wewe hujiulizi Nguvu na courage inayohitajika ati Kuiwekea Urusi vikwazo vya Uchumi. Anyway hawa Shadowy forces ndio wamiliki wa Midia, Mabenki mjumo ya fedha NK. Wakimtaka mtu fulani huwezi mchafua. Si Unaona Juhudi za Kumchafua Hilary Clinton Zilivyo kali, Wameshaamua yeye Ndiye wanamtaka Trump na Kelele zake atasahaulika!
 
Kwahiyo umehamisha mada kutoka kwa Obama kuwa mtoto wa Obama ?? Kama ndivyo basi nadhani hiyo ina threads zake

It is true kwamba siasa na inteligence ya USA iko hivyo na ndivyo pia ilivyo ya nchi zote, ukiwa mteule utapandishwa tu, Jakaya hakua na sifa za kuwa rais lakini system ilimbeba... so kwenye hilo nadhani tuwe na thread yake
 
Kuna kipindi nikasikia watu wanasema Yule mke wa Obama ni mwanaume sio mwanamke.

Mara nikasikia Osama yupo anaishi visiwa vya Comoro
Na watu wakaleta hadi ushahidi wa picha ukiangalia kwa haraka unaweza kuhisi ni kweli. Lakini
Moyoni nikasema ni kweli watu duniani wanajua kutengeneza propaganda.

Haya mambo ni ya kuyaangalia sana kwasababu kabla haijatokea hivyo kwa Obama inamaana tayari walisha mzushia Obama kwamba Yule mwanamke anaye ishi naye sio mwanamke.
Kwa namna yoyote ile hapo lazima kutakuwa Na mlolongo flani.

Labda Na wewe siku moja ukiwa maarufu inaweza ikaja ikatokea hivyo.

Unasema Kweli hapo, sikatai
 
mtoa mada ingekua busara kama ungedeal na uhalisia juu ya baba ulienae kama ni baba ako kweli badala ya kudeal na baba wa wenzio.
Mimi sijatoa Mada Nimeikuta Mahali Nikaishirikisha, Mbona Noma tena Kwangu!
 
Weka Picha Tulinganishe, Anayefanana Naye Ni yule aliye, Nafikiri Asia na Ni kwa Kuwa Mama Ni Mmoja.
...Nakuwekea picha ya Mark, akiwa na Barack ili ulinganishe, kwasababu ina maana yake.

...Nadhani, itakuwa vizuri kulinganisha na hii ya George. These guys are of the same man, Barack Hussein Obama. Hint: Angalia pua za wote watatu.

...Kitu cha muhimu, ambacho unapaswa ufahamu. Cha kwanza, Ann Dunham hakuzaa watoto wawili na Obama Sr., bali mmoja. Cha pili, Ruth Ndesandjo ambaye ni mama yake Mark, ni myahudi. Hivyo Barack na Mark ni wototo wa mama tofauti.

...Kama unakubali kuwa Barack na Mark ni mtu na kakaye, ina maana baba yao ni Obama Sr. na si vinginevyo.

...Ukipitia hizo link mbili, the "myth" will be busted.
 
picha....?
 
Waweza Kuwa sahihi Nakubali.
 
Back
Top Bottom