Baba wa Obama sio yule Obama mkenya

Baba wa Obama sio yule Obama mkenya

Aseee! Ubishi mwingine ni wa asili tu, ila huyo jamaa inafanana na Obama kwa kiwango kikubwa kuliko huyo mkenya. Duu! wake zetu wanasiri kubwa
 
Aseee! Ubishi mwingine ni wa asili tu, ila huyo jamaa inafanana na Obama kwa kiwango kikubwa kuliko huyo mkenya. Duu! wake zetu wanasiri kubw....!!
 
Kumbe ilikuwa kipindi cha campaign. Political propaganda
 
Masikini Wakenya, Kila wakiweka Tonge Kabambe Mdomoni wananyang'anywa, Walisema Mlima Kilimanjaro wao wakakoromewa, Wakasema Serengeti wakaambiwa No no no! Wakasema Olduvai Gorge wanaletewa Noma sana, Mkataba wa Kutengeneza Bomba la Mafuta kutoka Uganda, Magu Kanyang'anyilia mbali, Sasa na Obama wao kumbe na Ukweli Huu Unayoyoma na Obama pengine anajua siri hii ndio Maana Akawaumia Njaru Muda wote, Msilikize "Kaka mtu"

 
Huyo sijui mnamwita field Marshall sijui nani ilishakula kwake jamaa keshajitambulisha ni Mkenya kwisha habari yake!
 
Hebu jaribu hii uone kama ni rahisi, uone kama kumfanyia mwenzio ni sahihi. Vuta hisia mama yako alifanya na jamaa fulani halafu wewe umeambiwa baba yako ni mtu mwingine naye alikuwa anafanya na mama yako au aliwahi kufanya na mama yako. Umefanana na huyo jamaa ambaye si baba yako mambo mawili matatu. Fumba macho fikiri, huyo jamaa mwingine ndiye anayeweza kuwa baba yako halali? Muda mwingine tukiwa tunajadili mambo fulani ya watu pia tujiulize mambo kama hayo yakiwa yanajadiliwa kuhusu wewe utajisikiaje.
 
ae6c2708b05f4e469f9273931f748bdf.jpg
 
Kwa kabila letu mwanamke ambaye ni mgumba anaweza kuoa na huyo mwanamke atatafuta mwanaume atampa mimba na kupata watoto. Sasa hao watoto ni mali ya yule mama mgumba atakaeitwa bibi na watoto hao, back to the point ni kwamba hata ukisingiziwa baba haina nguvu sana sababu wengi wanaridhi watoto wasio wao
 
Hili Halina Uzito Tena Kwa Maana Moja Tu
Hata Ikiwa Alisingiziwa Ama Laa !!
Kwakuwa Mwenyewe Kasema Baba Yake Mkenya Safi Tu
Uko sawa hapo, Lakini Kama ni Kweli, basi dunia hadaa!
 
Kunani tena mpaka zinaibuka hizi habari muda huu tena au zina impact kwenye coming election ya USA.
 
Duhh! Kuna jambo limejificha sana katika maisha ya Barak Obama. Lakini ipo siku ukweli utadhihiri.
 
Hizi conspiracy theories ziko very common in the USA

its really crappy

HUkawii kuambiwa Hilary Clinton ni pacha wa Trump
 
Cheti chake cha kuzaliwa ni namba 61 10641 na alizaliwa 04 Agosti, 1961 huko Honolulu, HawaiI. Just Google ' photo of Obama birth certificate' halafu acheni kuamini umbea.
 
Hizi conspiracy theories ziko very common in the USA

its really crappy

HUkawii kuambiwa Hilary Clinton ni pacha wa Trump

Ni Kweli hizi Conspiracy ni nyingi na za Ovyo Lakini Nyingine zina Ukweli, Ila Main streem Media wakishapangua habari hatakama inaukweli ukiizungumzia Unapuuzwa. Iwapo Mwanamke akimdanganyia Mtu mtoto tangu akiwa Mimba hata cheti kitasema Uwongo. Mimi siamini Conspiracy ila Kuwa Jamaa aliishi nao, Anafanana na Mtoto Kupindukia, Alimpiga Mama yake Obama Picha za Utupu enzi hizo huku akiwa ni Baba wa kambo wa binti huyo, Kaka yake Obama Mwenyewe anaonekana Kuamini. Imenifanya Nishangae.
 
Ni Kweli hizi Conspiracy ni nyingi na za Ovyo Lakini Nyingine zina Ukweli, Ila Main streem Media wakishapangua habari hatakama inaukweli ukiizungumzia Unapuuzwa. Iwapo Mwanamke akimdanganyia Mtu mtoto tangu akiwa Mimba hata cheti kitasema Uwongo. Mimi siamini Conspiracy ila Kuwa Jamaa aliishi nao, Anafanana na Mtoto Kupindukia, Alimpiga Mama yake Obama Picha za Utupu enzi hizo huku akiwa ni Baba wa kambo wa binti huyo, Kaka yake Obama Mwenyewe anaonekana Kuamini. Imenifanya Nishangae.

Ni kweli kaka yake Obama ni kama anaonekana kuwa na mashaka na biological father wa Obama, lakini I'm pretty sure kama Obama angekuwa karibu na wana ndugu walioko Kenya na kuwafanyia vitu vya kueleweka, usingemsikia huyo Malik akiwa na mashaka juu ya Baba wa Obama zaidi ya kumsifia kwa hali ya juu. Huu ni unafiki tu wa kiafrika kwamba kama ndugu anacho basi kiwe chetu sote. Hatupendi kuweka jitihada zetu wenyewe!
 
Kuna kipindi nikasikia watu wanasema Yule mke wa Obama ni mwanaume sio mwanamke.

Mara nikasikia Osama yupo anaishi visiwa vya Comoro
Na watu wakaleta hadi ushahidi wa picha ukiangalia kwa haraka unaweza kuhisi ni kweli. Lakini
Moyoni nikasema ni kweli watu duniani wanajua kutengeneza propaganda.

Haya mambo ni ya kuyaangalia sana kwasababu kabla haijatokea hivyo kwa Obama inamaana tayari walisha mzushia Obama kwamba Yule mwanamke anaye ishi naye sio mwanamke.
Kwa namna yoyote ile hapo lazima kutakuwa Na mlolongo flani.

Labda Na wewe siku moja ukiwa maarufu inaweza ikaja ikatokea hivyo.
 
Back
Top Bottom