Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

Ushauri wangu utakuwa mbaya kdg,,, nahisi kama ibilisi anataka kukupeleka kusiko.......kwanza kabisa ilikuwaje ukampenda then leo uje hapa kuomba ushauri??mshafanya uasherati mpaka shetani anawashangaa.....pili unakubali mwenyewe kuwa na msukumo wa kuachana nae, coz of those bad memories ulizo nazo....ukamuacha then umemrudia....shetani anazidi kukuzogeza karibu na mauaji usiyotegemea.....tatu familia yako inajua nini kilichopo kati ya familia zenu, na mafarakano yataibuka upya utakapomtambulisha kwenu......nne najilazimisha kuamini kuwa unaweza kujikuta ktkt hali ya kulipiza kisasi bila kutegemea....damu ya baba yako inakulilia na itakulilia wewe........jichunge hata usimjaze mimba......na achana nae.....shetani atakuheshimu kwani umemshinda mbinu zake......
Tumekaa miaka sita bila bila kuivunja ya sita ila twapendana sana sie na kuhusu kumpenda ilitokea tuu mm hata sijui ilikuwaje, na mwanzoni hisia za kifo cha baba yangu hazikuwa kubwa kama siku za hivi karibuni
 
Vella, baba yako na huyo mfanyabiashara walikuwa au waliwahi kuwa na uhusiano wowote kabla ya kesi??
 
Tumekaa miaka sita bila bila kuivunja ya sita ila twapendana sana sie na kuhusu kumpenda ilitokea tuu mm hata sijui ilikuwaje, na mwanzoni hisia za kifo cha baba yangu hazikuwa kubwa kama siku za hivi karibuni
basi achana nae........miaka sita hivi hivi tuuuu.......ina maana hujawahi gonga,,,hata nje ya huyo !!
 
Bazigar
Sharuh khan & Kajol


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
basi achana nae........miaka sita hivi hivi tuuuu.......ina maana hujawahi gonga,,,hata nje ya huyo !!
Ni siri yangu ila itoshe tu kusema nimelelewa katika malezi na makuzi ya kiroho, niliona sio wakati wake, ingawa nikimuona huyo bibie ni nyege zinanilengalenga sana tu ila navumilia kuikwepa dhambi
 
Vipi mpaka sasa hujapata ushauri wa kukufanya uchukue maamuzi ya 'kibabe' na sahihi Vella ..?

Naona unazidi kujaza server tu mkuu wangu na ushauri mwingi sana umetolewa au unnarefresh mawazo
 
Alimuua baba yako tena unalifahamu kabisa, halafu unataka kuoa,
hapana, kimila wanasema ni mwiko;
na endapo utadharau yatakayokukuta utajuta;

Mwache kabisa, huyo ni adui yako wa damu.
Huu ushauri sio, hivi binti hapa anahusikaje. na kumbuka anayetuhumiwa kuua ni baba mdogo na sio baba mzazi wa huyo binti. Tuache kuwatwisha watu mizigo isiyo yao.
 
Sitaki kuamini eti miaka sita bila bila, unataka tukuone msafi au???
Hilo halinihusu ila namuonea huruma huyo binti ambaye hutaki kumwambia ukweli miaka yote hiyo, we unaujua ukweli halafu unakaa kimya huku ukijua kuwa malengo yenu hayafiki mbali.
Mpaka sasa hamna uhakika na kifo na baba yenu ndo maana hamkufungua kesi miaka hiyo, ni ya kufikirika tu halafu moja kwa moja unambebesha lawama mtoto wa watu.
Kama kweli unampenda sikiliza moyo wako, hayo mambo ya ukoo madhabahu huwa yanavujwa kwa damu ya Yesu, ardhi yenye laana huwa inabomolewa kwa damu ya Yesu na ardhi inatakasika. Ni imani yako tuu na sala
 
kinyongo! kinyongo! kinyongo!!!! kinyongo ni kibaya sana....hata umwoe hautadumu nae.hilo elewa
 
Sijawahi kuangalia TBC zaidi yakuona kwenye list ya king'amuzi changu, nina zaidi ya miaka 5 sijathubutu kuangalia TBC, na hiyo movie mie siijui, km imefanana am sorry but that's how it is
Hahaha wabongo kwa kujiona wa masaki mnatabu sana.

Kwani TBC kwenye DSTV hamna (The leading media company worldwide)

Unaangaliaga channel gan if i may ask ??
 
Hahaha wabongo kwa kujiona wa masaki mnatabu sana.

Kwani TBC kwenye DSTV hamna (The leading media company worldwide)

Unaangaliaga channel gan if i may ask ??
Clouds [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
dhambi y baba hawezi kuichukua mwana bint hana kosa maamuz n yk isameheee hy familia den muanze mishe nyngne
 
Back
Top Bottom