Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

Sitaki kuamini eti miaka sita bila bila, unataka tukuone msafi au???
Hilo halinihusu ila namuonea huruma huyo binti ambaye hutaki kumwambia ukweli miaka yote hiyo, we unaujua ukweli halafu unakaa kimya huku ukijua kuwa malengo yenu hayafiki mbali.
Mpaka sasa hamna uhakika na kifo na baba yenu ndo maana hamkufungua kesi miaka hiyo, ni ya kufikirika tu halafu moja kwa moja unambebesha lawama mtoto wa watu.
Kama kweli unampenda sikiliza moyo wako, hayo mambo ya ukoo madhabahu huwa yanavujwa kwa damu ya Yesu, ardhi yenye laana huwa inabomolewa kwa damu ya Yesu na ardhi inatakasika. Ni imani yako tuu na sala
Ndugu mm sijamtwisha lawama mchumba wangu, itoshe tu kusema nampenda sana na nina mjali, siwezi kumbebesha huo mzigo na natamani sana siku moja awe mke wangu, ndio maana nikaomba ushauri, pia ieleweke tuu mm nina uchungu na kumpoteza babaangu, sina kinyongo wala uhasama na huyo mzee, hata nikikutana nae njiani namsalimia km ninavyosalimia watu wengine walionizidi umri
 
Huu ushauri sio, hivi binti hapa anahusikaje. na kumbuka anayetuhumiwa kuua ni baba mdogo na sio baba mzazi wa huyo binti. Tuache kuwatwisha watu mizigo isiyo yao.
Sasa mkuu unanishaurije mimi?
 
Vipi mpaka sasa hujapata ushauri wa kukufanya uchukue maamuzi ya 'kibabe' na sahihi Vella ..?

Naona unazidi kujaza server tu mkuu wangu na ushauri mwingi sana umetolewa au unnarefresh mawazo
Kila ushauri kwangu ni muhimu, sina wakupuuza, nahitaji mawazo ya kila mmoja wetu hapa, nimekwama sana kifikra mkuu
 
I once read this story somewhere year(s) ago.
Mkuu usidhani ni stori yakutunga, laah nimeandika mm mwenyewe kwa mkono wangu, na nimejiunga hapa jamii forum siku sio nyingi kwaajili ya hili jambo
 
Hahaha wabongo kwa kujiona wa masaki mnatabu sana.

Kwani TBC kwenye DSTV hamna (The leading media company worldwide)

Unaangaliaga channel gan if i may ask ??
Mkuu nisieleweke vibaya sina makuu kiasi hicho na siwez kujivunia kuzaliwa na kukulia masaki kwakuwa sikuchagua mimi, siangalii TBC sio kwasababu haipo kwenye channels no, sina mapenzi nayo, nyumbani tuna DSTV na Azam ila mie naangalia channel nyingine sio TBC
 
Nooo sio hivyo mkuu nahitaji ushauri
Pole sana mkuu,nafahamu maumivu ya kufiwa tena na mzazi(baba). Lakini kitu cha msingi naomba ujifunze kusamehe na kusahau maana sisi sote ni binadamu na hakuna aliye mkamilifu tuna mapungufu. Kumbuka hayo yote mpenzi wako haku husika kwa lolote lile hivyo haina haja ya kumpa hukumu hiyo.cha kufanya pata mda tulia punguza mawazo ya hizo kumbukumbu kisha mrudie tu.
 
hapo hakuna ndoa ndugu yangu utaishi vipi na mtu ambae familia yake inahusika na kifo cha mzee wako?
 
kuna vitu vingine haviitaji hata ushauri wa watu tafuta mke mwingine bwana acha ujinga
 
Achana nae,muelezee hiyo story, habari za kuachana kimya kimya haisaidiiiii,..and ts not her fault,
 
Kikwetu hairuhusiwi kabisa hata kusalimiana......sijui kwenu?
 
Ni siri yangu ila itoshe tu kusema nimelelewa katika malezi na makuzi ya kiroho, niliona sio wakati wake, ingawa nikimuona huyo bibie ni nyege zinanilengalenga sana tu ila navumilia kuikwepa dhambi
nna hofu na urijali wako......
 
Back
Top Bottom