Au nimfungulie mashataka? Maana haki ndio iliyonisukuma kusomea Sheria?
Mashtaka gani? Kama una ushahidi kuwa baba yake mdogo ndiye aliyemua baba yako basi peleka malalamiko na ushahidi wako kwa vyombo husika. Kama huna ushahidi then, there is nothing you can do hata kama roho yako inakutuma kuwa baba yake mdogo ndiyo muuaji. I am sorry to say this, lakini ndiyo sheria ilivyo. The one who alleges, must prove. Na kwenye kesi za jinai kama hii, lazima kuwe na proof beyond reasonable doubt.
Kuhusiana na huyo msichana maelezo yako yanachanganya kidogo. Umeandika ni "mchumba" wako tangu mkiwa advanced. Then, ukaandika tena mara kadhaa mmekuwa mkijadili kuhusu kuvalishana pete ya uchumba. Ni mchumba au ni girlfriend.
Nimesoma baadhi ya maoni ya wachangiaji. Wengi wameshauri umwache huyo dada. Wengine wanasema umwache kwa kumwambia ukweli, lakini wengine wanashauri umwache kimya kimya. Sababu kuu ni kuwa anatoka familia ya wauaji wa baba yako.
Kwa maana nyingine, baadhi ya wachangiaji wanamhukumu huyo dada kwa allegations za mauaji yaliyofanywa na baba yake mdogo. Wengine wameweka mpaka vifungu vya bibilia. Lakini muhimu zaidi huyo dada hajui chochote kuhusiana na nani alimwua baba yako. In fact, hata wewe umemweliza hivi karibuni tuu kifo cha baba yako. Sidhani kama vitabu vya dini vinasema kuwa tumhukumu mtu kwa makosa ya watu wengine.
Wewe kama wewe, do you think she deserves to know what you're thinking? Imagine it was the other way round, halafu yeye afanye kama wengi wanavyoshauri ufanye ungejisikiaje? Kwa nini tuhukumu this innocent girl ambaye hajui hata kilichotokea?
Naanzaje sasa eeh Mungu maana ataniona msaliti mm na mm sitaki kuyaona machozi yake?
It is a tricky situation to be in, but you gonna have to be a man here. It is probably going to be one of the toughest decision you have to make, but you have to make and prepare to face the consequences.
Option 1. Kaa kimya na mwache bila kumwambia chochote. Lakini itatokea siku atajua ni kwa nini ulimwacha. This is easy than done but you will have to face the consequences atakapojua. Pili you will never feel happy kuwa hukumwambia why you dumped her.
Option 2. Mwache lakini face her and tell her about the whole thing, how you feel about it and how you think it might affect mahusiano yenu now and then. Tough option, but worth thinking about.
Tatizo huna ushahidi wa allegations kuwa baba yake mdogo ndiye alihusika na kifo cha baba yako. Hapo kwa kweli kama ukimwambia, then you have to approach the matter very careful maana inaweza ika-backfire na kutonesha madonda. Pia atakulaumu kwani nini hukumwambia tokea mwanzo and you will have to explain why.
Option 3. Taking into account muda ambao mmekuwa pamoja na mapenzi yenu ya dhati mkae chini mjadiliane na mfikie makubaliano/compromise on the way forward. Don't tell her you leaving her. Just let her to think about it na asema mwenyewe anajisikaje kuendelea kuwa na wewe in those circumstances. Ukimwambia ukweli wa hisia zako na kama ni dada mwelewa atakushukuru na hata kama mikifikia compromise ya kuachana hatakusahau for the rest of her life.
The botton line: Hata kama unamwacha don't punish her for things she didn't do or was not aware of. Remember what goes around comes around. It is tough but jifunze kusamehe. Let it go.