Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Nakuomba ujiepushe na hii familia ya wauji
Hapana haifai hata kidogo kujaribu kuoana,kwa kuwa unatambua ukweli kuhusu kifo cha marehemu baba yako sio muhimu sana kumwambia,achana naye na pia huwezi tambua hasira ambayo iko kwenye nafsi ya ndugu zako na jamaa zako na hata siku ukiweka wazi kuhusu kuoana naye hawatakubaliana na wewe,kama alivotangulia kusema mdau huo sasa ni "uadui wa damu", kamwe huutasahalika katika kumbukumbu za maisha yenu wote.Pole sana,ukweli ni kuwa kutokana na maelezo yako na hata wewe pia kwa kulitambua hilo haiwezekani kuwa mkeo japo unampenda.Inauma kuondokewa na mzazi au ndg wa karibu na hapo hapo ukamtambua aliyehusika na kifo hicho,kisha baada ya muda utake kufanya mahusiano,haipo.Wadau salaam,
Ni kijana wa miaka 28 naishi Masaki D'salaam, nina shahada moja ya udaktari wa binadamu na stashahada ya sheria. Mchumba wangu ana shahada ya Biashara na Utawala.
Sijao ila nina mchumba wangu tangu tukiwa Advance, hadi leo tunaishi vizuri kwa kuheshimiana, kujaliana na kusikilizana, ananipenda nami nampenda sana tena sana.
Lakini kuna jambo linanisumbua sana moyoni na kunikereketa sana akilini, iko hivi wakuu, Baba yangu alikuwa ni wakili wa kujitegemea, kipindi nikiwa O level baba mdogo wake na mchumba wangu ambaye alikuwa ni mfanya biashara, alimpiga mtu barabarani na kumuumiza vibaya sana, wakati huo baba yangu alikuwa akitoka kazini jioni hivyo alishuhudia tukio zima akiwa kwenye gari yake.
Akaondoka zake kuelekea nyumbani, kesho yake baba ake mdogo na mchumba wake alikuja nyumbani kumwomba baba akamsaidie kusimamia kesi yake yakupiga na kujeruhi mtu aliyempiga jana yake baada ya yule mtu kwenda kumshataki polisi.
Baba alikataa na kusema yeye ni Wakili ambaye lengo lake ni kusaidia watu kwa haki, akamwambia yupo tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa aliyoyaona kama raia mwema na sio wakili.
Yule mzee aliitwa mahakamani, lakini akawa anakuja kumwomba mzee wangu kila siku ili akubali kwenda kumsaidia kesi yake, Baba alikuja kukubali akaenda mahakamani, kadiri siku zilivyozidi kwenda baba alikuwa akirudi nyumbani akiwa analalamika kuwa mteja wake hamlipi malipo yake, waliendelea hivyo lakini karibia kufikia mwisho wa kesi mzee wetu alirudi nyumbani na kukiri mazingira ya mtuhumiwa kutenda lile kosa hayampi mteja wake ahaueni ya kushinda kesi zaidi ya kushindwa.
Basi mtuhumiwa pia naye alishaanza kunusa harufu ya kushindwa kesi, hivyo alichokifanya, alimwita baba yangu nyumbani kwake, wakala chakula, mzee akarudi nyumbani alivyopewa chakula aliomba asile na badala yake wapewe watoto maana yeye ameshiba kwani alisema alikula kwa huyo mzee mwenye kesi.
Mzee wangu kesho yake alifajiri aliamka akiwa anaumwa sana, hakuweza kuongea, ila alikuwa akigalagala kwa maumivu, na hatimae kufariki.
Nilisikia familia yetu (baadhi) wakihusanisha kifo cha baba yangu na mipango miovu ya mteja wake. Kwani baada tu ya kifo cha baba yangu yule mzee kesho yake alitorokea mjini Arusha, na wala hata baada ya kurudi hakuja nyumbani kutoa pole, licha ya kwamba alikuwa ni jirani yetu wa mtaa moja.
Turudi kwa Mchumba wangu, Mchumba wangu hili jambo hakuwahi kulifahamu kwani hata habari za kifo cha baba yangu nilimjuza mimi majuzi tuu, hajui chochote kuhusu kesi ya babaake mdogo na baba yangu, ingawa mimi nafahamu.
Huyu binti nampenda sana, mara kadhaa tumekuwa tukijadili kuhusu kuvalishana pete ya uchumba lakini moyo wangu unakosa utayari. Mwaka mmoja na nusu niliwahi kumwacha kwa siri baada yakuwa na msongo wa mawazo kuhusiana na mambo ya baba yake mdogo na kifo cha mzee wangu, ila aliendelea kuwa karibu sana na mimi hadi mwaka juzi tukarudiana tena japo sikumwambia sababu za kumwacha, zaidi ya kumwambia "sikukuacha ni ukali wa maisha na ubusy wa masomo" kwani wakati yeye akiwa chuo kikuu cha D'salaam mimi nilikuwa masomoni nchini Finland.
Hivyo wadau naombeni ushauri, je huyu binti niachane naye kimya kimya au nimpe mkanda mzima wa kifo cha mzee wangu na jinsi baba yake mdogo alivyohusika?
Au niendelee naye tu kisha tuoane? Je familia yangu haitajiskia vibaya? (Japo hakuna uhasama wowote wa wazi kati ya hizo familia mbili)
Nifanyaje wadau wangu, naombeni mawazo yenu.
hii issue yako ya kutunga. eti wakili wa kujitegemea amemkuta mtu mwenye pesa ahitaji kuwakilishwa mahakamani halafu akatae eti yeye yuko tayari kutoa hata ushahidi?hahaha, mimi mwenyewe ni wakili mkuu, jambo kama hilo ni dhambi kwa mwanasheria. hakuna mwanasheria huwa anakataa pesa kirahisi hivyo, na zaidi sana, kumwakilisha mtu hata kama ana kosa ndio sifa ya mwanasheria. once engaged mkuu huwezi kukataa kuwa wewe ni mtu wa haki ati huwezi kumchukua huyo mteja, huyo hawezi kuwa mwanasheria wa dunia hii. acha mbwembwe.Wadau salaam,
Ni kijana wa miaka 28 naishi Masaki D'salaam, nina shahada moja ya udaktari wa binadamu na stashahada ya sheria. Mchumba wangu ana shahada ya Biashara na Utawala.
Sijao ila nina mchumba wangu tangu tukiwa Advance, hadi leo tunaishi vizuri kwa kuheshimiana, kujaliana na kusikilizana, ananipenda nami nampenda sana tena sana.
Lakini kuna jambo linanisumbua sana moyoni na kunikereketa sana akilini, iko hivi wakuu, Baba yangu alikuwa ni wakili wa kujitegemea, kipindi nikiwa O level baba mdogo wake na mchumba wangu ambaye alikuwa ni mfanya biashara, alimpiga mtu barabarani na kumuumiza vibaya sana, wakati huo baba yangu alikuwa akitoka kazini jioni hivyo alishuhudia tukio zima akiwa kwenye gari yake.
Akaondoka zake kuelekea nyumbani, kesho yake baba ake mdogo na mchumba wake alikuja nyumbani kumwomba baba akamsaidie kusimamia kesi yake yakupiga na kujeruhi mtu aliyempiga jana yake baada ya yule mtu kwenda kumshataki polisi.
Baba alikataa na kusema yeye ni Wakili ambaye lengo lake ni kusaidia watu kwa haki, akamwambia yupo tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa aliyoyaona kama raia mwema na sio wakili.
Yule mzee aliitwa mahakamani, lakini akawa anakuja kumwomba mzee wangu kila siku ili akubali kwenda kumsaidia kesi yake, Baba alikuja kukubali akaenda mahakamani, kadiri siku zilivyozidi kwenda baba alikuwa akirudi nyumbani akiwa analalamika kuwa mteja wake hamlipi malipo yake, waliendelea hivyo lakini karibia kufikia mwisho wa kesi mzee wetu alirudi nyumbani na kukiri mazingira ya mtuhumiwa kutenda lile kosa hayampi mteja wake ahaueni ya kushinda kesi zaidi ya kushindwa.
Basi mtuhumiwa pia naye alishaanza kunusa harufu ya kushindwa kesi, hivyo alichokifanya, alimwita baba yangu nyumbani kwake, wakala chakula, mzee akarudi nyumbani alivyopewa chakula aliomba asile na badala yake wapewe watoto maana yeye ameshiba kwani alisema alikula kwa huyo mzee mwenye kesi.
Mzee wangu kesho yake alifajiri aliamka akiwa anaumwa sana, hakuweza kuongea, ila alikuwa akigalagala kwa maumivu, na hatimae kufariki.
Nilisikia familia yetu (baadhi) wakihusanisha kifo cha baba yangu na mipango miovu ya mteja wake. Kwani baada tu ya kifo cha baba yangu yule mzee kesho yake alitorokea mjini Arusha, na wala hata baada ya kurudi hakuja nyumbani kutoa pole, licha ya kwamba alikuwa ni jirani yetu wa mtaa moja.
Turudi kwa Mchumba wangu, Mchumba wangu hili jambo hakuwahi kulifahamu kwani hata habari za kifo cha baba yangu nilimjuza mimi majuzi tuu, hajui chochote kuhusu kesi ya babaake mdogo na baba yangu, ingawa mimi nafahamu.
Huyu binti nampenda sana, mara kadhaa tumekuwa tukijadili kuhusu kuvalishana pete ya uchumba lakini moyo wangu unakosa utayari. Mwaka mmoja na nusu niliwahi kumwacha kwa siri baada yakuwa na msongo wa mawazo kuhusiana na mambo ya baba yake mdogo na kifo cha mzee wangu, ila aliendelea kuwa karibu sana na mimi hadi mwaka juzi tukarudiana tena japo sikumwambia sababu za kumwacha, zaidi ya kumwambia "sikukuacha ni ukali wa maisha na ubusy wa masomo" kwani wakati yeye akiwa chuo kikuu cha D'salaam mimi nilikuwa masomoni nchini Finland.
Hivyo wadau naombeni ushauri, je huyu binti niachane naye kimya kimya au nimpe mkanda mzima wa kifo cha mzee wangu na jinsi baba yake mdogo alivyohusika?
Au niendelee naye tu kisha tuoane? Je familia yangu haitajiskia vibaya? (Japo hakuna uhasama wowote wa wazi kati ya hizo familia mbili)
Nifanyaje wadau wangu, naombeni mawazo yenu.
Heshima kwako mkuu, kumbe upo!sikubaliani na wanaosema mchumba wako hana kosa. mikono imwagayo damu laana yake hupatiliza.
mie sikushauri wala hata umwambie just tell her siwez kukuoa basi.
jiulize hivii.................hivi siku ya harusi unaambiwa uwashike wakwe mkono utaanzaje kumshika buyo baba bila kutokwa na chozi?
afu pata picha baba yako huko aliko anakuona na anaona umejiunga urafiki na wale waliomuua na pengine anasema 'mwanangu huyu aliniua' utamjibuje?
hao wanalaana ya kuua na usishange hata wewe wakataka jambo la kinyume na taratibu zako ukawagomea wakakuua.
Alimuua baba yako tena unalifahamu kabisa, halafu unataka kuoa,
hapana, kimila wanasema ni mwiko;
na endapo utadharau yatakayokukuta utajuta;
Mwache kabisa, huyo ni adui yako wa damu.
Mkuu mm nimeomba ushauri, character ya marehemu baba yangu iache kama ilivyo, hata mm siwezi kujua kwann alikataa awali alafu baadae akaja kukubali, pengine alikuwa na sababu binafsi tofauti na alizokuwa amempa, but hiyo sio concern yangu, mm nahitaji ushauri wakohii issue yako ya kutunga. eti wakili wa kujitegemea amemkuta mtu mwenye pesa ahitaji kuwakilishwa mahakamani halafu akatae eti yeye yuko tayari kutoa hata ushahidi?hahaha, mimi mwenyewe ni wakili mkuu, jambo kama hilo ni dhambi kwa mwanasheria. hakuna mwanasheria huwa anakataa pesa kirahisi hivyo, na zaidi sana, kumwakilisha mtu hata kama ana kosa ndio sifa ya mwanasheria. once engaged mkuu huwezi kukataa kuwa wewe ni mtu wa haki ati huwezi kumchukua huyo mteja, huyo hawezi kuwa mwanasheria wa dunia hii. acha mbwembwe.
Hapana mkuu matambiko ni dhambiKafanye matamboko na kuomba kumuoa kulingana na mila za kwenu, ukikamilisha mule tu hutapata tatizo lolote.
Labda tuwashirikishe watumishi wa MunguFanyeni taratibu za kumaliza na kuondoa uhasama na laana ya kumwagika kwa damu ya Mzee wako. then muoane
Lipa kisasi sasa its time..Wadau salaam,
Ni kijana wa miaka 28 naishi Masaki D'salaam, nina shahada moja ya udaktari wa binadamu na stashahada ya sheria. Mchumba wangu ana shahada ya Biashara na Utawala.
Sijao ila nina mchumba wangu tangu tukiwa Advance, hadi leo tunaishi vizuri kwa kuheshimiana, kujaliana na kusikilizana, ananipenda nami nampenda sana tena sana.
Lakini kuna jambo linanisumbua sana moyoni na kunikereketa sana akilini, iko hivi wakuu, Baba yangu alikuwa ni wakili wa kujitegemea, kipindi nikiwa O level baba mdogo wake na mchumba wangu ambaye alikuwa ni mfanya biashara, alimpiga mtu barabarani na kumuumiza vibaya sana, wakati huo baba yangu alikuwa akitoka kazini jioni hivyo alishuhudia tukio zima akiwa kwenye gari yake.
Akaondoka zake kuelekea nyumbani, kesho yake baba ake mdogo na mchumba wake alikuja nyumbani kumwomba baba akamsaidie kusimamia kesi yake yakupiga na kujeruhi mtu aliyempiga jana yake baada ya yule mtu kwenda kumshataki polisi.
Baba alikataa na kusema yeye ni Wakili ambaye lengo lake ni kusaidia watu kwa haki, akamwambia yupo tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa aliyoyaona kama raia mwema na sio wakili.
Yule mzee aliitwa mahakamani, lakini akawa anakuja kumwomba mzee wangu kila siku ili akubali kwenda kumsaidia kesi yake, Baba alikuja kukubali akaenda mahakamani, kadiri siku zilivyozidi kwenda baba alikuwa akirudi nyumbani akiwa analalamika kuwa mteja wake hamlipi malipo yake, waliendelea hivyo lakini karibia kufikia mwisho wa kesi mzee wetu alirudi nyumbani na kukiri mazingira ya mtuhumiwa kutenda lile kosa hayampi mteja wake ahaueni ya kushinda kesi zaidi ya kushindwa.
Basi mtuhumiwa pia naye alishaanza kunusa harufu ya kushindwa kesi, hivyo alichokifanya, alimwita baba yangu nyumbani kwake, wakala chakula, mzee akarudi nyumbani alivyopewa chakula aliomba asile na badala yake wapewe watoto maana yeye ameshiba kwani alisema alikula kwa huyo mzee mwenye kesi.
Mzee wangu kesho yake alifajiri aliamka akiwa anaumwa sana, hakuweza kuongea, ila alikuwa akigalagala kwa maumivu, na hatimae kufariki.
Nilisikia familia yetu (baadhi) wakihusanisha kifo cha baba yangu na mipango miovu ya mteja wake. Kwani baada tu ya kifo cha baba yangu yule mzee kesho yake alitorokea mjini Arusha, na wala hata baada ya kurudi hakuja nyumbani kutoa pole, licha ya kwamba alikuwa ni jirani yetu wa mtaa moja.
Turudi kwa Mchumba wangu, Mchumba wangu hili jambo hakuwahi kulifahamu kwani hata habari za kifo cha baba yangu nilimjuza mimi majuzi tuu, hajui chochote kuhusu kesi ya babaake mdogo na baba yangu, ingawa mimi nafahamu.
Huyu binti nampenda sana, mara kadhaa tumekuwa tukijadili kuhusu kuvalishana pete ya uchumba lakini moyo wangu unakosa utayari. Mwaka mmoja na nusu niliwahi kumwacha kwa siri baada yakuwa na msongo wa mawazo kuhusiana na mambo ya baba yake mdogo na kifo cha mzee wangu, ila aliendelea kuwa karibu sana na mimi hadi mwaka juzi tukarudiana tena japo sikumwambia sababu za kumwacha, zaidi ya kumwambia "sikukuacha ni ukali wa maisha na ubusy wa masomo" kwani wakati yeye akiwa chuo kikuu cha D'salaam mimi nilikuwa masomoni nchini Finland.
Hivyo wadau naombeni ushauri, je huyu binti niachane naye kimya kimya au nimpe mkanda mzima wa kifo cha mzee wangu na jinsi baba yake mdogo alivyohusika?
Au niendelee naye tu kisha tuoane? Je familia yangu haitajiskia vibaya? (Japo hakuna uhasama wowote wa wazi kati ya hizo familia mbili)
Nifanyaje wadau wangu, naombeni mawazo yenu.
Kisasi ni cha Bwana MunguLipa kisasi sasa its time..
Usiwe na hofu mkuu nina panda vizuri kabisa ila natambua kipindi cha uchumba ni kipindi cha matazamio, ni kipindi cha kujifunzana mienendo, ni kipindi ambacho hatupaswi kugusana kimwili, sex tutafanya tukishaona na kwasababu tutakuwa na uhalali basi tutafanya hata kila siku, asubuhi, mchana na jioni kama dose ya malarianna hofu na urijali wako......
Mueleze ukweli mtupuuuu ili ajue na wewe jaribu kushirikisha ndugu zako wa karibu juu ya mahusiano yenu kama njia ya kupata ushauri. Ila kwa mtazamo wangu naona kumuowa huyo binti itakuwa ngumu japo binti wa watu hana hatia yoyote.Wadau salaam,
Ni kijana wa miaka 28 naishi Masaki D'salaam, nina shahada moja ya udaktari wa binadamu na stashahada ya sheria. Mchumba wangu ana shahada ya Biashara na Utawala.
Sijao ila nina mchumba wangu tangu tukiwa Advance, hadi leo tunaishi vizuri kwa kuheshimiana, kujaliana na kusikilizana, ananipenda nami nampenda sana tena sana.
Lakini kuna jambo linanisumbua sana moyoni na kunikereketa sana akilini, iko hivi wakuu, Baba yangu alikuwa ni wakili wa kujitegemea, kipindi nikiwa O level baba mdogo wake na mchumba wangu ambaye alikuwa ni mfanya biashara, alimpiga mtu barabarani na kumuumiza vibaya sana, wakati huo baba yangu alikuwa akitoka kazini jioni hivyo alishuhudia tukio zima akiwa kwenye gari yake.
Akaondoka zake kuelekea nyumbani, kesho yake baba ake mdogo na mchumba wake alikuja nyumbani kumwomba baba akamsaidie kusimamia kesi yake yakupiga na kujeruhi mtu aliyempiga jana yake baada ya yule mtu kwenda kumshataki polisi.
Baba alikataa na kusema yeye ni Wakili ambaye lengo lake ni kusaidia watu kwa haki, akamwambia yupo tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa aliyoyaona kama raia mwema na sio wakili.
Yule mzee aliitwa mahakamani, lakini akawa anakuja kumwomba mzee wangu kila siku ili akubali kwenda kumsaidia kesi yake, Baba alikuja kukubali akaenda mahakamani, kadiri siku zilivyozidi kwenda baba alikuwa akirudi nyumbani akiwa analalamika kuwa mteja wake hamlipi malipo yake, waliendelea hivyo lakini karibia kufikia mwisho wa kesi mzee wetu alirudi nyumbani na kukiri mazingira ya mtuhumiwa kutenda lile kosa hayampi mteja wake ahaueni ya kushinda kesi zaidi ya kushindwa.
Basi mtuhumiwa pia naye alishaanza kunusa harufu ya kushindwa kesi, hivyo alichokifanya, alimwita baba yangu nyumbani kwake, wakala chakula, mzee akarudi nyumbani alivyopewa chakula aliomba asile na badala yake wapewe watoto maana yeye ameshiba kwani alisema alikula kwa huyo mzee mwenye kesi.
Mzee wangu kesho yake alifajiri aliamka akiwa anaumwa sana, hakuweza kuongea, ila alikuwa akigalagala kwa maumivu, na hatimae kufariki.
Nilisikia familia yetu (baadhi) wakihusanisha kifo cha baba yangu na mipango miovu ya mteja wake. Kwani baada tu ya kifo cha baba yangu yule mzee kesho yake alitorokea mjini Arusha, na wala hata baada ya kurudi hakuja nyumbani kutoa pole, licha ya kwamba alikuwa ni jirani yetu wa mtaa moja.
Turudi kwa Mchumba wangu, Mchumba wangu hili jambo hakuwahi kulifahamu kwani hata habari za kifo cha baba yangu nilimjuza mimi majuzi tuu, hajui chochote kuhusu kesi ya babaake mdogo na baba yangu, ingawa mimi nafahamu.
Huyu binti nampenda sana, mara kadhaa tumekuwa tukijadili kuhusu kuvalishana pete ya uchumba lakini moyo wangu unakosa utayari. Mwaka mmoja na nusu niliwahi kumwacha kwa siri baada yakuwa na msongo wa mawazo kuhusiana na mambo ya baba yake mdogo na kifo cha mzee wangu, ila aliendelea kuwa karibu sana na mimi hadi mwaka juzi tukarudiana tena japo sikumwambia sababu za kumwacha, zaidi ya kumwambia "sikukuacha ni ukali wa maisha na ubusy wa masomo" kwani wakati yeye akiwa chuo kikuu cha D'salaam mimi nilikuwa masomoni nchini Finland.
Hivyo wadau naombeni ushauri, je huyu binti niachane naye kimya kimya au nimpe mkanda mzima wa kifo cha mzee wangu na jinsi baba yake mdogo alivyohusika?
Au niendelee naye tu kisha tuoane? Je familia yangu haitajiskia vibaya? (Japo hakuna uhasama wowote wa wazi kati ya hizo familia mbili)
Nifanyaje wadau wangu, naombeni mawazo yenu.
Yap ndiyo na njia sahihi ya kumaliza hiyo na siyo kukimbia tatizoLabda tuwashirikishe watumishi wa Mungu