Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

Baba wa mchumba wangu alimuua baba yangu

Oops I feel like it may terrorize her mind for sure, uuuuh my God how can i dare to tell such malicious and misfortune of her dad??

Sometimes, it is not about how she will feel; it is about how you're feeling right now.

Nooooh i love that girl

Kama kweli unapenda, you won't hide your feelings from her.

i wont let her feel down!

Kama ni kum-let you have already let her down because you know something very important between two of your and you haven't tell her yet.

You gonna have to made bold decisions regardless of how they will upset other.

Don't let the "nice guy syndrome" in you. Be an alpha male capable of making tough decisions sir.
 
Huyo mchumba Hana kosa lkn je upo tayar kuwa Na baba mkwe muuaji vipi siku akikutembelea nyumban kwako utamtreat VIP hakili kichwan mwako
 
Mashtaka gani? Kama una ushahidi kuwa baba yake mdogo ndiye aliyemua baba yako basi peleka malalamiko na ushahidi wako kwa vyombo husika. Kama huna ushahidi then, there is nothing you can do hata kama roho yako inakutuma kuwa baba yake mdogo ndiyo muuaji. I am sorry to say this, lakini ndiyo sheria ilivyo. The one who alleges, must prove. Na kwenye kesi za jinai kama hii, lazima kuwe na proof beyond reasonable double.

Kuhusiana na huyo mschana maelezo yako yanachanganya kidogo. Umeandika ni "mchumba" wako tangu mkiwa advanced. Then, ukaandika tena mara kadhaa mmekuwa mkijadili kuhusu kuvalishana pete ya uchumba. Ni mchumba au ni girlfriend.

Nimesoma naadhi ya maoni ya wachangiaji. Wengi wameshauri umwache huyo dada. Wengine wanasema umwache kwa kumwambia ukweli, lakini wengine wanashauri umwache kimya kimya. Sababu kuu ni kuwa anatoka familia ya wauaji wa baba yako.

Kwa maana nyingine, baadhi ya wachangiaji wanamhukumu huyo dada kwa allegations za mauaji yaliyofanywa na baba yake mdogo. Wengine wameweka mpaka vifungu vya bibilia. Lakini muhimu zaidi huyo hajui chochote kuhusiana na nani alimwua baba yako. In fact, hata wewe umemweliza hivi karibuni tuu kifo cha baba yako. Sidhani kama vitabu vya dini vinasema kuwa tumhukumu mtu kwa makosa ya watu wengine.

Wewe kama wewe, do you think she deserves to know what you're thinking? Imagine it was the other way round, halafu yeye afanye kama wengi wanavyoshauri ufanye ungejisikiaje? Kwa nini tuhukumu this innocent girl ambaye hajui hata kilichotokea?



It is a tricky situation to be in, but you gonna have to be a man here. It is probably going to be one of the toughest decision you have made, but you have to make and prepare to face the consequences.

Option 1. Kaa kimya na na mwache bila kumwambia chochote. Lakini itatokea siku atajua ni kwa nini ulimwacha. This is easy than done but you will have to face the consequences atakapojua. Pili you will never feel happy kuwa hukumwambia why you dumped her.

Option 2. Mwache lakini face her and tell her about the whole thing, how you feel about it and how you think it might affect mahusiano yenu now and then. Tough option, but worth thinking about.

Tatizo huna ushahidi wa allegations kuwa baba yake mdogo ndiye alihusika na kifo cha baba yako. Hapo kwa kweli kama ukimwambia, then you have to approach the matter very careful maana inaweza ika-backfire na kutonesha madonda. Pia atakulaumu kwani nini hukumwambia tokea mwanzo, but you will have to explain why.

Option 3. Taking into account muda ambao mmekuwa pamoja na mapenzi yenu ya dhati mkae chini mjadiliane na mfikie makubaliano/compromise on the way forward. Don't tell her you leaving her. Just let her to think about it na asema mwenyewe anajisikaje kuendelea kuwa na wewe in those circumstances. Ukimwambia ukweli wa hisia zako na kama ni dada mwelewa atakushukuru na hata kama mikifikia compromise ya kuachana hatakusahau for the rest of her life.

The botton line: Hata kama unamwacha don't punish her for things she didn't do or was not aware of. Remember what goes around comes around. It is tough but jifunze kusamehe. Let it go.
Very helpful brethren, I've been in the difficult moment pondering about this piece of advice, its now my time to make a tough decision
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sometimes, it is not about how she will feel; it is about how you're feeling right now.



Kama kweli unapenda, you won't hide your feelings from her.



Kama ni kum-let you have already let her down because you know something very important between two of your and you haven't tell her yet.

You gonna have to made bold decisions regardless of how they will upset other.

Don't let the "nice guy syndrome" in you. Be an alpha male capable of making tough decisions sir.
Thanks, i'm going to read this book talking about Alpha male
 
Ukisikia elimu za kukariri formula za kemia ndio hizi. Eti una degree ya udakatari na ya sheria ? Serious? Imeshindwaje kukujibia unachouliza hapa? Kajitafakari upya.
 
Binti hana kosa lakn wewe una kinyongo bado ..........kuna makosa mengne unasamehe na kusahau lakn mengne unasamehe lakn huwez kusahau!!!!!!!!!!.....jifunze kumpenda mwingne inawezekana achana nae maana akija kukukosea kitu kingne unaweza ukashindwa kumsamehe na kumkumbuka babaako
 
Kwa nini usingebakia hukohuko Finland kutafuta maisha, na je huko Finland hukuwahi kua na mpenzi? Na je sasa una mishe gan kwenye nchi ya viwanda. Jibu kwanza mkuu
 
Dahhh!!!!Maisha haya ya ajabu sana,unamtanguliza mwenzio mahali ambapo na wewe soon utaenda.

Kama utakuwa unaujasiri wa kutosha mpe full mkanda huyo binti alafu kila mtu afanye mambo yake.

Kama uliweza kumkataa mwaka mzima,hata kuachana nae milele unaweza,lakini ukweli ni kwamba sumu ya kuuliwa mzee wako ni kali sana pindi mtapokuwa Pamoja na huyo mchumba wako.
 
Hata bible inasema adui wa baba yako ni adui yako. Ukikaidi usilaumu kwa yajayo.
 
Back
Top Bottom