new level
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 268
- 587
Wewe jichanganye
Acha kwanza niitwe baba mwenzio liwalo na liwe [emoji1431][emoji23]
Wewe jichanganye
Wewe jichanganye
Kuna wadau watafanya jamaa aidha asuse na kuukimbia uzi ama lah furaha yake ikabatilishwa.
Wadau wameshikilia bango utungwaji mimba.
Wanaume wengi wana hili la kutojua mimba inatungwa wakati gani(mwanamke akiwa siku gani kwenye mzunguko wake).
Kuna dogo ni mwanachuo hakua hata anajua nini maana ya menstruation cycle, dem wake kumwambia yupo kweny siku zake dogo akaona ni kitu cha ajabu mno. Anabwabwaja asijue kina maana gani, kwa ubwabwajaji wa dogo alikua ilikua akicheza rafu kwa dem yeyote hawezi chomoa akibambikiwa kibendi.
Hivi vitu si vya wanawake pekee, tujifunze jama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu niacheni kidogo jana ndio nimeombwa lazima tukaanze clinic wote mana ndio anataka aanze hilo sio tatizo kabisaa mimi kwenda ila nikienda tatizo ni ....[emoji23][emoji23][emoji23]nadhani mshajua sasa kupokea majibu nahisi kuharisha hata nikutwe fresh nakuwa hoi bin taaban
Hongera sna nduguAsante mungu baba mwezi huu wa 5 tayri tumebahatika kupata mtoto wa kike.
Hakika ni mrembo haswa mama na mtoto wanaendelea vzr.Mungu tusaidie mrembo wetu awe na afya njema kwa miaka yote.
Asante.Hongera sna ndugu
Ushajifungua??August nakua na 1St born angu!!!
Inshaaallah!! [emoji120][emoji120][emoji120]
Mama kija ktk ubora wangu, [emoji8][emoji8]
August tayar?Ushajifungua??
Itaendelea...Mungu ni mwema mtoto wangu anaendelea vzr. Sema vitu bei
View attachment 2691917
View attachment 2691918
Pole sana Mungu atakupa wengineBahati mbaya sana watoto wangu walipoteza maisha ilikuwa mapacha njiti
Dah it was so pain...13/6..walizaliwa wakiwa na miezi 6 na week 3..ndo maana ikawa ngumu kusurvive..wa kiume 1 kg akafariki kesho yake wa kike 900 gm ye kapigania maisha week nzimaPole sana Mungu atakupa wengine
Doh pole mnoDah it was so pain...13/6..walizaliwa wakiwa na miezi 6 na week 3..ndo maana ikawa ngumu kusurvive..wa kiume 1 kg akafariki kesho yake wa kike 900 gm ye kapigania maisha week nzima
Dah it was so pain...13/6..walizaliwa wakiwa na miezi 6 na week 3..ndo maana ikawa ngumu kusurvive..wa kiume 1 kg akafariki kesho yake wa kike 900 gm ye kapigania maisha week nzima
Asante mkuu nishapoa nilipata nafasi kuingia NICU dodoma General kumuona wa kike dah aisee sijui hata nimuelezee vp..njiti wana fight sana...anyway mambo Ya Mungu hatuna comment hapoPole kwa changamoto kiongozi
Furaha yote ile japokuwa sikuwahi kutangaza jf kama ninatarajia mapacha ila mitaani huku nilishajipata nilipagawa nilifurahi sanaPole kwa changamoto kiongozi
Aisee pole sana mkuu.Bahati mbaya sana watoto wangu walipoteza maisha ilikuwa mapacha njiti