Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Nakumbuka niliwahi kuwa katika chombo cha usafiri kuna mada kama hizi za uzazi zikawa zinazungumzwa kuna mtu wa makamo tu akaropoka mi sioni faida ya watoto.

Nikamwambia acha kutupunga wewe ungekuwa huna sahizi yawezekana ungekuwa unaloga tu huko upate akapanic sana raia wote wakamvaa ilikuwa kimya safari nzima.

Hongereni vijacho...
Asante mkuu .nawe karibu
 
Pole sana kaka,Mungu atakusaidia utapata wengine,inauma sana

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Dah we Acha mkuu kwa kuwa me wa kiume na niliruhusiwa mara moja tu kuwaona NICU ila navaa viatu vya mke wangu ambaye alikuwa akienda kumnyonyesha aliyebaki cc 3 za maziwa mpaka zikafika cc 10 kwa siku..katoto hukaangalii mara mbili lazima usali asee
 
Daah pole sana mkuu
Nishapoa mkuu ilikuwa ni tukio la kusikitisha sana nilitamani niliweke hapa jukwaani walau nipewe faraja ila nikajikaza kwa status niliyonayo sasa hv sio vzr kuanika mambo private ila wana jf nawashukuru sana nakua na nyie daima money talk nakuacknowledge toka miaka mitatu ama minne nyuma (nakufaham) Huna baya
 
mungu wetu ni mwema kaka inshaallha utapata mwengine
 
Nishapoa mkuu ilikuwa ni tukio la kusikitisha sana nilitamani niliweke hapa jukwaani walau nipewe faraja ila nikajikaza kwa status niliyonayo sasa hv sio vzr kuanika mambo private ila wana jf nawashukuru sana nakua na nyie daima money talk nakuacknowledge toka miaka mitatu ama minne nyuma (nakufaham) Huna baya
kaka nayahisi maumivu yako,nakosa hata neno lakusema ila iko siku kwa uwezo wa mungu utaitwa baba
 
Dah we Acha mkuu kwa kuwa me wa kiume na niliruhusiwa mara moja tu kuwaona NICU ila navaa viatu vya mke wangu ambaye alikuwa akienda kumnyonyesha aliyebaki cc 3 za maziwa mpaka zikafika cc 10 kwa siku..katoto hukaangalii mara mbili lazima usali asee
Mungu awatie nguvu,kwakweli

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana .mbona karume na tandika nguo zinaanzia mia.mbili hamsini? Nguo hyo hyo sinza moja 35 elfu .ni wewe tu mkuu
Hili nalo neno WiFi yako pia kasema ngoja nijiongeze tu.pande izo. Jamani mungu ni mwema katoto kangu karembo mpk unatamani kasikue kawe ivyo ivyo tu.Mungu msimamie mwanangu amen [emoji120]
 
Niko NICU uku nampa brother Hii nawasikia vichanga vinalia mpaka naogopa hapa
 
Back
Top Bottom