Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Mkuu mi hiyo namba 2 jinsi ya kuhesabu nisije nikapigwa nisaidie anasema mimba iliingia siku ya 9 baada ya P afu hyo folic acid ni vidonge au?
Folic acid ni vidonge vya kuongeza madini pia hurahisiha kwa wenye homoni zisizo balance kupata ujauzito.
Tena na huweza pata mapacha.

Na kuhusu hiyo siku ya 9 yawezekana lakini ningependa kujua tarehe ya kizungu na mwezi ambayo mlikutana
 
Mkuu mimi naamini tatizo sio ambao hawakupangiliwa kuzaliwa.

Chanzo cha matatizo huwa ni ambao hawakupanga. Na tatizo sio kutokupanga kwenyewe. Tatizo ni kukabiliana na malezi na majukumu na changamoto za maisha
Unajua kama hujapanga kitu au kama huna mpango na kitu chochote lazima utetereke. Unapotaka kufanya kitu lazima ujipange na upange mipango juu ya hilo jambo, ili changamoto inapojitokeza unakuta tayari ulikishajua jinsi na namna yakukabiliana nayo.

Siwalaumu watoto, kwasababu wao ni angel walioletwa na wazazi kwa visingizio tofauti. Sasa inapokuja swala laku survive for the fittest ndio hapo jamii inapopata changamoto
 
Hataki kabisa mkuu ata ukiforce anakuwa mkavu hila anapenda Kula Kula huyo balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye Eti anasema mimba ya mapacha tumbo linakuwa Kwa kasi naishia kucheka
Kamfanyie ultrasound ujue Unaambiwaje tu sasa akizaa mmoja si ndo wahudumu wasingiziwe wameiba pacha buree
 
Mtoto wa kwanza kumpata huwa ni raha sana, asikwambie mtu. Mda wote utatamani umuone, umbebe na hata matembezi ya kawaida unatamani uambatane nae.

Hongereni sana kwa mnaopata watoto wenu ikiwa ndo mara ya kwanza. Ila kikubwa kuwepo na maandalizi ya fedha maana wakati wa kujifungua chochote kinaweza kujitokeza.
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.

Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;

1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.

2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.

3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.

Kama kuna la kuongozea niongezee.
Seat zote zimejaa.
Naomba niletewe kiti nikae.
 
Unajua kama hujapanga kitu au kama huna mpango na kitu chochote lazima utetereke. Unapotaka kufanya kitu lazima ujipange na upange mipango juu ya hilo jambo, ili changamoto inapojitokeza unakuta tayari ulikishajua jinsi na namna yakukabiliana nayo.

Siwalaumu watoto, kwasababu wao ni angel walioletwa na wazazi kwa visingizio tofauti. Sasa inapokuja swala laku survive for the fittest ndio hapo jamii inapopata changamoto

100%
 
Wakuu, namshukuru Mungu tumepata mtoto wa kike.

Kipengele kipo kwenye tumbo la mtoto. Mtoto anaumwa sana tumbo na halali kabisa usiku. Navyosema halali ni hafungi jicho kabisa, analia tu usiku kucha. Halafu anaharisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida hamna dawa eti

Mwenye anaefahamu dawa anisaidie.. mtoto ana one week tu.
 
Anasumbuliwa na gesi tumboni. Mama ajitahidi mtoto anyonye weusi sio chuchu tuu. Akimaliza kunyonya mama yake awe anamweka begani ili acheue.

Pia awe anamlaza kwa mgongo anamfanyia massage ya tumbo au anamkunja miguu kuja tumboni amfanye kama anaendesha baiskeli hapo katajamba na gesi itatoka.
Kwakuwa bado mdogo mama yake au baba mlaze mwanao na tumbo kifuani kwako inasaidia kutoa gesi pia.
 
Kucheua anacheua na anajamba pia. Shida ipo kwenye kutokulala kabisa usiku analia hadi sauti inakauka.

Na anaharisha kamba kamba kama makamasi ndo vinatupa wasiwasi
 
Wakuu, namshukuru Mungu tumepata mtoto wa kike.

Kipengele kipo kwenye tumbo la mtoto. Mtoto anaumwa sana tumbo na halali kabisa usiku. Navyosema halali ni hafungi jicho kabisa, analia tu usiku kucha. Halafu anaharisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida hamna dawa eti

Mwenye anaefahamu dawa anisaidie.. mtoto ana one week tu.
Hiyo inaitwa chango inatibiwa sana na dawa za kienyeji
 
Back
Top Bottom