Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Baba vijacho na mama vijacho 2023 tukutane hapa

Mimi natamani kupata mimba mwaka huu...sina bwana sina mpenzi..God will provide
[emoji3526][emoji3526] nije PM tuongee kitu ata mm sina mpenzi sina nini hila nataka kama ww [emoji3526][emoji3526]
 
Wakuu, namshukuru Mungu tumepata mtoto wa kike.

Kipengele kipo kwenye tumbo la mtoto. Mtoto anaumwa sana tumbo na halali kabisa usiku. Navyosema halali ni hafungi jicho kabisa, analia tu usiku kucha. Halafu anaharisha kamba kamba kama makamasi. Hospital wanasema ni kawaida hamna dawa eti

Mwenye anaefahamu dawa anisaidie.. mtoto ana one week tu.
Kwanza nenda hosptal
Pili itakuwa gesi the way mama anavonyonyesha mbeulishe pia mmasage tumbo
 
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.

Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji nilishaanza mawazo je akizaliwa kabisa.kwanza nilitaka kuikataa maana me nilikuwa najua kwamba danger days ni siku 7 baada ya kumaliza period yake kumbe sivyo hata zile 7 za mwanzo before hajaanza kutoka damu ukitia mimba sekunde tu..ukiwa rijali upige kimoja au vitano jua bao la kwanza tu speed vitu vinaenda mimba inaundwa.

Sasa nilichoaswa na watu wazima ambacho ndo lengo la uzi;

1. Mimba changa mwanamke ananoga unalipata joto lake original hivyo kupindi hiki kizuri kwa ajili ya kutotolesha ukae na mama kijacho mpeane mapenzi japo ni kipindi cha mabadiliko kutapika kwingi utaamua wewe akae kwa ndugu zake wawe karibu akihitaji msaada au ukae nae wewe.

2. Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.

3. Tunza hela hiki ndo kipindi cha kuacha utoto sasa majukumu yanaanza tu za hela za matunzo ya ujauzito na mtoto akizaliwa.

Kama kuna la kuongozea niongezee.
Sio tu kutaka mkutane,jipange kwani hayo majukumu🤔
 
Mwezi wa 10 na tarajia kumpokea first born wangu i can't wait asee naona siku haziendi [emoji28][emoji28][emoji91]
 
Ati?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️kimetki wakuu mwezi mmoja na wiki 2
 
Yan nimekuja kugundua kumbe zile kauli mbiu za humu za kataa ndoa kumbe ni kutuzuga tu wengine apa Sasa natangaza ndoa mwezi wa saba na mwakani inshallah naitwa BABA rasmi .

Mama mkwe samahani kwa kuto kukupokelea sim juzi kale ka mishe nakutumia leo jioni mi mkwilima wako alie tukuka [emoji1431]
 
Ati?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️[emoji736]️kimetki wakuu mwezi mmoja na wiki 2
Hongera sana
Inaitwa week 6
 
Yan nimekuja kugundua kumbe zile kauli mbiu za humu za kataa ndoa kumbe ni kutuzuga tu wengine apa Sasa natangaza ndoa mwezi wa saba na mwakani inshallah naitwa BABA rasmi .

Mama mkwe samahani kwa kuto kukupokelea sim juzi kale ka mishe nakutumia leo jioni mi mkwilima wako alie tukuka [emoji1431]
Wewe jichanganye
 
Asante mungu baba mwezi huu wa 5 tayri tumebahatika kupata mtoto wa kike.
Hakika ni mrembo haswa mama na mtoto wanaendelea vzr.Mungu tusaidie mrembo wetu awe na afya njema kwa miaka yote.
 
Back
Top Bottom