HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,258
- 103,420
Ukijishughulisha utapata vitu vizuri kwa bei ndogo.Hizo dish ndio zile zina mazaga zaga kibao hadi sabuni mafuta, baby shawl na kadhalika.
Yale mabeseni hayaji na vile vitu
Ukijishughulisha utapata vitu vizuri kwa bei ndogo.Hizo dish ndio zile zina mazaga zaga kibao hadi sabuni mafuta, baby shawl na kadhalika.
Kuna tatizo lolote mkuu,Miaka 30 kijana hunaa hata kajunior kamojaaa[emoji27][emoji27]
Hakuna shida yoyote mkuu.Miaka 30 kijana hunaa hata kajunior kamojaaa[emoji27][emoji27]
Hizi ndoa hizi daaa.Ukifanya mapenzi na watu wengine huko hakikisha umeoga vizuri usifanye haraka kwenda kumlala mkeo ilihali kuna infections unaweza kumpa zikampa mtoto maradhi.
HongeraTayari nishapata first born ila kwa sasa mwezi uliopita.
Achana nayo nunua kitu kimoja kimoja mkuuHizo dish ndio zile zina mazaga zaga kibao hadi sabuni mafuta, baby shawl na kadhalika.
santeAisee hongera sna mkuu.daah kacute hataree uwiii
santeKazuri nakapa maua yake[emoji257][emoji257][emoji257]
swaadakta....asante mkuuMatunda ya Jf. Hongereni sana
love u baba PNakubaliana nawe mke wangu[emoji8]
unajua babeYote mazuri?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]love u baba P
Asante mkuuHongera
Hongera ndugu yanguHatimae 19/07 baby boy amezaliwa officially naitwa baba
View attachment 2695145
Mungu ni wa majiraAsante Sana mkuu, nilimsubiri kwa hamu sana
Siku 7 za mwanzo before hajaanza kupata damu mimba sekunde.. brooo hiyo mimba inapatikana wapi!?
Bahati mbaya sana watoto wangu walipoteza maisha ilikuwa mapacha njiti