Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Kijacho si mpaka ndoaKwa hiyo sisi ambao ndo kwanza bado hatujaoa tunacomment wapi mkuu ama tukae kando kidogo?
Kijacho si mpaka ndoaKwa hiyo sisi ambao ndo kwanza bado hatujaoa tunacomment wapi mkuu ama tukae kando kidogo?
Asante mungu baba mwezi huu wa 5 tayri tumebahatika kupata mtoto wa kike.
Hakika ni mrembo haswa mama na mtoto wanaendelea vzr.Mungu tusaidie mrembo wetu awe na afya njema kwa miaka yote.
Jamani[emoji24][emoji24]Bahati mbaya sana watoto wangu walipoteza maisha ilikuwa mapacha njiti
Unapewa unyumba kweli .maana team.jan hyo mimba bado miezi sanaKwa cc tunaotegemea kuitwa baba mwanzo mwa mwakani 2024 tuombeaneni jmn
Mkuu watoto wanakua haraka sana usinunue vitu vya gharama wanaviacha.pale mwenge nguo first class mtumba tena mpyaa elfu 3 hadi 5.kuwa low usiwe wa budget kubwa maana safari ya kulea ndo mbichi kila siku utatoa helaHili nalo neno WiFi yako pia kasema ngoja nijiongeze tu.pande izo. Jamani mungu ni mwema katoto kangu karembo mpk unatamani kasikue kawe ivyo ivyo tu.Mungu msimamie mwanangu amen [emoji120]
Aisee hongera sna mkuu.daah kacute hataree uwiiimashallah Kingsmann View attachment 2693486
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Kazuri nakapa maua yake[emoji257][emoji257][emoji257]mashallah Kingsmann View attachment 2693486
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Pole mkuuBahati mbaya sana watoto wangu walipoteza maisha ilikuwa mapacha njiti
Matunda ya Jf. Hongereni sanamashallah Kingsmann View attachment 2693486
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Pambana na hali yako mkuu .sio kila mtu anaishi kihuniUkumbuke kuandaa pesa ya kufanya DNA test pia..[emoji36]
Sawaa ila ni ushauri tu mkuu...Pambana na hali yako mkuu .sio kila mtu anaishi kihuni
Eti huna baya we mdada?kaka nayahisi maumivu yako,nakosa hata neno lakusema ila iko siku kwa uwezo wa mungu utaitwa baba
[emoji16]nikwel sina baya mieEti huna baya we mdada?
Yote mazuri?[emoji16]nikwel sina baya mie
Nakubaliana nawe mke wangu[emoji8][emoji16]nikwel sina baya mie
Hizo dish ndio zile zina mazaga zaga kibao hadi sabuni mafuta, baby shawl na kadhalika.Dishi zipo zinauzwa 3000mtoto anakaa vizuri tu