aaah mimi ata sisemi..yaan siri yangu kumoyo tu..
ah ah ah! mwakani mbali nitapitwa na mengi bana
Hapana mi nakusaidia ili macho yasizidi kuharibika mapema sana sawa?afu sa hivi mi sina hela si juzi tu hapa nimekupa hela za twisheni yako kwa hiyo mi nimeishiwa sa hivi.
Tutaona kama huto nipenda na kua mke wangu..
jitie moyo tu...ila sikupend na unalijua hilo
Nimekumbuka nitaanza kula mchicha, karoti pamoja na mafuta ya mawese kwa wingi na kua najifungia kwenye chumba chenye giza Heee!
Sasa kwa mtindo huo usijiwahishe kusoma kwa sababu bado utayaumiza macho,umenisikia wewe?????/
Nitaanza kusoma kwa kusikiliza kupitia audio eheh!
Hapo umeongea na naahidi nitakununulia hata head phone ukitaka.
Kwa babu tena..!?? ya kweli haya??