Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #81
Hiroaki Akahoshi umesema??...alaf na mm unaniambiaje vile?
ha ha haaaa mshua ana majanga huyo so goja nimshikie ki mtindo si unajua tena jamaa kwa babuuuuu anahudhuria kwa sana.
mimisa mie mapenzi yangu si ya kugawanyika, nina mapenzi ya dhati ninaomba unipe nafasi
mh mh! Brother shikamo.. mie mzima smile ndio nani vile?
Naona unampa hi brother vicent na kati ya chit chat...
Hutaki???????
umetumwa au umejituma!
Nataka, tena sana.