Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
Hizi ni salamu zake kwenu.
My people kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuwa nimepelekwa selo baada ya kukwaruzana na mtu kule siasani, nafanya utaratibu wa kuwasiliana na mods wani release, Inshallah wakinikubalia tutakuwa pamoja, in my absence habari zote za mahusiano na ndoa ziwasilishwe kwa makamu na makaimu wangu gfsonwin na watu8, otherwise tuko pamoja.
Copy: ummu kulthum ; Kwa sababu maalum
Kha , life what..!?? unbelievable
kafanyaje this tym?
id mpya zinajaza serverr humuhizi ni salamu zake kwenu.
My people kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuwa nimepelekwa selo baada ya kukwaruzana na mtu kule siasani, nafanya utaratibu wa kuwasiliana na mods wani release, inshallah wakinikubalia tutakuwa pamoja, in my absence habari zote za mahusiano na ndoa ziwasilishwe kwa makamu na makaimu wangu gfsonwin na watu8, otherwise tuko pamoja.
Copy: ummu kulthum ; kwa sababu maalum
mpe hii mkeotisubiri taarifa zake kutoka kwa dr
id mpya zinajaza serverr humu
mods kuleni kichwa hapa
baba v huyu
teh teh
Andamana!
id mpya zinajaza serverr humu
mods kuleni kichwa hapa
baba v huyu
teh teh
aaa wap..
Ukiona hivyo ujue kaharibu siasani
Unaiona mpya hii..!!? teh teh teh, afu nimekupenda ghafla
hujambo dear? Mis upole yake
hujambo dear? Mis u
uhuhu! Umempenda ili iweje?
ivi kule kwani lazima kufika?
Kwanini hutaki jamani