Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Baba niko busy, nikipata nafasi nitakuja

Bado mna mawasiliano mazuri kweli na rafikiyo, kwa huo ushauri na matokeo yake?

Hana jinsi hali yake ni tete, pamoja na kunilaumu lakini anajua nilikuwa na nia njema na pia sasa hivi inabidi tuwe karibu kwakua hakuna tena change kutoka kwa baba watoto.
 
Asije chelewa sana akakuta kwake kuna mwanamke mwingine.
 
Vip kuhusu matumizi alikuwa akitoa?
 
Tangu amekwenda nyumbani ashawahi mtumia matumizi
 
Safi. Kwani mwanaume ana liability yoyote kwa huyo dada?? Kamuoa, hapana!! Ana mpango wa kumuoa, hapana. Atulie
Hapo mwanaume pengine kapata mwanamke wa kuoa.
Sipati picha namna huyo dada anavyoumia, but hiyo ndiyo tunayoiita "the price of her ignorance"
 
Vip kuhusu matumizi alikuwa akitoa?

Vizuri tu, na kuna house girl na pia dereva/houseboy. Watoto pia wanasoma shule nzuri. Matatizo ni kuwa mapenzi hakuna.
 
Vizuri tu, na kuna house girl na pia dereva/houseboy. Watoto pia wanasoma shule nzuri. Matatizo ni kuwa mapenzi hakuna.

Kama jamaa alikuwa akimtunza kama unavosema. Arudi alee watoto wake na kama kuna kitu kinakuja kimkute kwake
 
Kibaya zaidi shost ananilaumu kwa aidea yangu ya kuondoka, ananiambia ni aibu sasa akirudi itaonyesha kabisa yeye ndie mwenye shida ni kheri asingeondoka.
Na wewe kisa cha kuingilia unyumba wa watu ni nini?
 
Kama jamaa alikuwa akimtunza kama unavosema. Arudi alee watoto wake na kama kuna kitu kinakuja kimkute kwake
Wewe piga picha unakaa na mwanaume ukimpigia simu amechelewa kurudi anakuuliza kuna tatizo gani? Mtoto anaumwa unamwambia hapa, ok lala salama ana kata. Mbona ni adhabu.
 
Na wewe kisa cha kuingilia unyumba wa watu ni nini?
Hahahahah, bora umeona hawa watu huwa sio wazuri, mi nikigundua demu wangu ana kichwa mgando cha kusaidiwa akili na wakina shoga zake aandike maumivu
 
Kama hawajagombana yeye kilimkimbiza nini sasa, yaani uache watoto eti unalazimisha ndoa, yaani Sie wanawake kuna muda akili zinahama jamani. Hilo ni suala la yeye na mzazi mwenzie kuelewana tu, kama ndoa ipo tu hata uwe na watoto sita na anaweza kuwa na hiyo ndoa wala asiifurahie wangapi wapo kwenye ndoa na wanaishi kama maadui bwana aaaaah, tena amshukuru Mungu analishwa, watoto wanasoma na usafiri wa kwenda sokoni anao. Mwambie arudi haraka akawalee watoto ni upepo tu umepita hapo mumewe mtarajiwa atarudi kwenye hali yake ya kawaida.
Ushauri mzuri sana, ila tusimlaumu sana kwa hatua ya kwenda kwao, may be alisema acha tupeane distance labda tutamisiana, hii ni tiba ya kisaikolojia kwenye mahusiano yenye mgogoro baridi kama hayo ya bidada, ninachomlaumu mimi ni kuboronga darasani kwa ajili ya mapenzi, na kukimbilia kuishi na mwanaume bila taratibu za kindoa, hilo litamgarimu na atajutia maisha yake yote. She had lost the pearl while busy collecting stones.
 
Wewe piga picha unakaa na mwanaume ukimpigia simu amechelewa kurudi anakuuliza kuna tatizo gani? Mtoto anaumwa unamwambia hapa, ok lala salama ana kata. Mbona ni adhabu.
Iko hivi, kuna tatizo either kwa huyo mwanamke au huyo mwanamme.

Wanamme wengi hawapendi wanawake wanaowasumbua akili.

Yawezekana huyo mwanamme aliwahi kumfuma huyo mke wake ana cheat katika mahusiano yao.

Mara nyingi ni wanamme wachache sana wanaoweza kubadiri akili zao na kaziweka sawa kama awali.

Mimi naamini, jamaa anampenda sana mke wake, tatizo lipo kwa mke. Na usikute Baba Mkwe amekuwa ni mtetezi mkubwa wa maovu ya mtoto wake.

Hivyo jamaa hana msaada wowote na kaamua kuwa hivyo.

Pia, nina amini , kama UKWELI utatumika na uwazi ukawepo baina yao ( hata kama utauma vipi) basi ndoa yao itarejea Upya.
 
Mwambie arudi tu hapo alee wanae . mambo ya ndoa kama yapo yatakuja tu polepole aiskazimishe... Wanaume wenyewe ukiwaonyesha unashida ya ndoa watakunyanyasa mpaka ukome .. Muhimu muonyeshe unashida na pesa zake basi ajiongeze si kujpa stress za ndoa.. Halafu kuzalishwa haina maana lazima uolewe jamani .. Hawa viumbe hawa waonage wakiwa wamevaa nguo tu basi
Tunakula pilau lako lini? Muda unaenda....
 
Ushauri mzuri sana, ila tusimlaumu sana kwa hatua ya kwenda kwao, may be alisema acha tupeane distance labda tutamisiana, hii ni tiba ya kisaikolojia kwenye mahusiano yenye mgogoro baridi kama hayo ya bidada, ninachomlaumu mimi ni kuboronga darasani kwa ajili ya mapenzi, na kukimbilia kuishi na mwanaume bila taratibu za kindoa, hilo litamgarimu na atajutia maisha yake yote. She had lost the pearl while busy collecting stones.
Word mkuu. Hii nitawaambia wapwa na wanangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom