Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Kumbe hii famila CDM iliibeba na madhaifu yao!! Haki ya nani!! Kumbe Mwampamba hana lolote!! Aje hapa asome!! Kama alishindwa hata kukaa na mama yake amfundishe a, b. ch. de sasa CDM ataiweza? Na nyie Nyinyiem mliamlua kumtumia mkifikiri ana uwezo kumbe bogus tu!!! Sasa imekula kwa baba. mtoto, bado kwa mama akshindwa kusoma kitabu cha darasa la kwanza!!! Kudadeki!
 
ukistajabu ya musa .... haya tumuachie Mungu ajueye nini kilicho nyuma ya hii move
 
Now this is funny, baba, mama, mtoto chamani... Na vyeo juu na umaamuma juu

cdm must clear these mess before 2014, otherwise ile dhana ya chama cha familia itakua na mashiko

Mbaya zaidi Mwampamba anaeneza fitna za ukanda, udini kuwa zimejaa CHADEMA wakati yeye ufamilia ulikuwa CHADEMA. Kweli nyani haoni kundule. Ninavyowafahamu watu wa Mbozi wakishakwambia ''Yepa mwidala'' huwa hawageuki nyuma tena kuangalia nini kimetokea. Mzee ndio kamwagwa jumla, nashauri akae na mwanae wajaribu kugawana hizo kura 32,000 alizopata 2010
 
Mtela Mwampamba Kwa mara ya kwanza niishutumu CHADEMA kwa kuruhusu watu wasiojua kusoma na kuandika kuteuliwa kuwa madiwani.

Sidhani kama CHADEMA ina uhaba wa watu kiasi hiki.Ninaomba huyu mama afukuzwe mara moja na nafasi yake apewe mtu mwenye vigezo.

Hata hivyo nipongeze uongozi wa Jimbo kwa kufuatilia hawa waasi na kuwafukuzilia mbali.

Maandiko matakatifu yanasema nitawapatiliza uovu hata kizazi cha nne cha wanichukiao.
 
Last edited by a moderator:
Akili finyu, tamaa mbele wana nchi badae ndio haya yana jizihirisha sasa, wengine wana fight kwa ajili ya matumbo yao, ndio hao uki wawajibisha wanaanza kulopoka, wangepewa je? Wangelopoka
 
Hapa ndipo napoipendea CHADEMA yani mkileta usaliti mnafukuzwa ata UKOO MZIMA ni bora tuchukiwe na familia ya kisaliti kuliko kuliko kurudishwa nyuma kwenye harakati za kumkomboa MTANZANIA.

Na hilo ni onyo kali kwa Waasi wote.
 
prof maji marefu kiboko ya wachawi yupo chadema kumbe teheteheeee

Kwa hiyo mnaiga wanachofanya wenzenu kwa kuweka akina profesa maji mafupi? Hebu angalia:

1) Sugu - sekondari - Mbunge

2) Mbowe - sekondari - M/kiti

3) Arfi - Msingi - Mm/kiti

Niendeleee??? Kwa hiyo elimu sio kigezo kwa CHADEMA kuwa kiongozi.

Kama hizo engine za chama wana elimu hizo na ni presidential materials, unategemea nini kwa kiongozi wa kata au diwani wa kuteuliwa?
 
Kigezo cha usomi CHADEMA sio muhimu ila ni peoplez power tu.

Ukishakuwa na watu wanakupenda jimboni hata kama ni mganga wa kienyeji CHADEMA unapata post.

Hapo unamzungumzia profesa maji marefu sio?? tena ametangaza hadharani kuwa alimchanja chale nyingi sana mr.prezzoo!! sikumbuki mbunge yeyote wa CHADEMA ambaye ni mganga wa kienyeji, au wewe unamfahamu?
 
Swali kwa Mwampamba: Unaapa 2015 lazima utakuwa mbunge. Je unahuakika gani kama utafika huo mwaka? Wewe ni mungu?

Ushauri wangu kwako...jitahidi kuzuia hasira zako kwa kukaa kimya! Amini nakuambia hutaweza kushindana na nguvu ya
umma na hawezi kushindana na viongozi wa CDM ambao wako makini kwenye chama makini.

Maneno ni PESA ukimya ni DHAHABU....huu ni ushauri wangu kwako. Utaki unaacha.
Halafu huyu MTOTO kawadharau sana watani zangu wanyiha. Hajui kuwa alitembelea nyota ya Dr Slaa hapo 2010 na kupata hizo kura 32,000. Nje ya CDM huwezi kuambulia kura hata 5000. Kajifunze Igunga Mwampamba kuna jamaa wa CUF ALIKULA MTAJI wa kura alizopata 2010, chezea CDM weye. Tupa kule, kamata msaliti mwingine...
 
Hapo unamzungumzia profesa maji marefu sio?? tena ametangaza hadharani kuwa alimchanja chale nyingi sana mr.prezzoo!! sikumbuki mbunge yeyote wa Chadema ambaye ni mganga wa kienyeji, au wewe unamfahamu?

MWITA hiyo ni lugha ya picha! Role models wa CHADEMA ni hawa hapa:

Kwa hiyo mnaiga wanachofanya wenzenu kwa kuweka akina profesa maji mafupi? Hebu angalia:

1) Sugu - sekondari - Mbunge

2) Mbowe - sekondari - M/kiti

3) Arfi - Msingi - Mm/kiti

Niendeleee??? Kwa hiyo elimu sio kigezo kwa CHADEMA kuwa kiongozi.

Kama hizo engine za chama wana elimu hizo na ni presidential materials, unategemea nini kwa kiongozi wa kata au diwani wa kuteuliwa?
 
Kwa hiyo mnaiga wanachofanya wenzenu kwa kuweka akina profesa maji mafupi? Hebu angalia:

1) Sugu - sekondari - Mbunge

2) Mbowe - sekondari - M/kiti

3) Arfi - Msingi - Mm/kiti

Niendeleee??? Kwa hiyo elimu sio kigezo kwa CHADEMA kuwa kiongozi.

Kama hizo engine za chama wana elimu hizo na ni presidential materials, unategemea nini kwa kiongozi wa kata au diwani wa kuteuliwa?

Najua kufukuzwa uanachama kwa mzee mwampamba ni muendelezon wa kipigo dhidi ya kundi lako haramu la PM7. Lazima utaharuki kiasi kikubwa kama unavyotokwa na povu hapa.
Hao wote unaowataja michangoi yao kwa ujenzi wa Taifa hili ni mara 100 zaidi ya maprofesa waliojazana ccm.
 
Hili suala la mama yake Mwapamba kutojua KUSOMA NA KUANDIKA siliamini kabisa. Sifa ya mtu kugombea au kuteuliwa kuwa mbunge au diwani ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA. Hii sifa imeainishwa waziwazi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Kama kweli hajui kusoma na kuandika I believe CCM wasigemuacha mda wote huo, wangekwisha mchomea siku nyingi na kuvuliwa huo UDIWANI. Hili ndugu yangu nafikiri umeongeza chumvi.
Madiwani wasiojua kusoma na kuandika wako wengi tena kupitia vyama vyote. Watu wa kijijini hawaangalii wewe una elimu gani, wanaangalia ushawishi wa mgombea bhaas. Mihutasari ya vikao wanasomewa na wenzao kwisha. Nyie mnaojua kusoma na kuandika na mnapenda kuwa wana siasa ingieni ulingoni sio kulaumu
 
MWITA hiyo ni lugha ya picha! Role models wa CHADEMA ni hawa hapa:

Kwa hiyo mnaiga wanachofanya wenzenu kwa kuweka akina profesa maji mafupi? Hebu angalia:

1) Sugu - sekondari - Mbunge

2) Mbowe - sekondari - M/kiti

3) Arfi - Msingi - Mm/kiti

Niendeleee??? Kwa hiyo elimu sio kigezo kwa CHADEMA kuwa kiongozi.

Kama hizo engine za chama wana elimu hizo na ni presidential materials, unategemea nini kwa kiongozi wa kata au diwani wa kuteuliwa?

Kundi lako haramu la PM7 linazidi kusambaratishwa.
 
Akili finyu, tamaa mbele wana nchi badae ndio haya yana jizihirisha sasa, wengine wana fight kwa ajili ya matumbo yao, ndio hao uki wawajibisha wanaanza kulopoka, wangepewa je? Wangelopoka

Wao wanaropoka Chadema inajibu kwa kufukuza mpaka vitukuu vyao..

Kwi...kwi....kwi...kwiiiii...!
 
Duu kumbe cdm ni zaidi ya ukanda, yaani mpaka ukoo,mama diwani, mtoto mgombea ubunge na baba campaign manager,duu, hiyo kali.
 
Sometimes hata mimi nafika mahali na kuhoji umakini wa chama changu kwenye maamuzi muhimu kama haya(kama ni kweli)
Nadhani Wakati ule hakukuwa namna maana raia walikuwa bado waonga hawataki kuonyesha dhahiri wanaipenda CDM na CDM walikuwa wanahitaji kusimamisha mgombea...hivyo haya lizima yangejitokeza. Lakini kwa sasa na M4C hii jambo hili likijirudia 2014/2015 hatuwaelewi !
 
Kwa mara ya kwanza niishutumu Chadema kwa kuruhusu watu wasiojua kusoma na kuandika kuteuliwa kuwa madiwani.

Sidhani kama Chadema ina uhaba wa watu kiasi hiki.Ninaomba huyu mama afukuzwe mara moja na nafasi yake apewe mtu mwenye vigezo.

Hata hivyo nipongeze uongozi wa Jimbo kwa kufuatilia hawa waasi na kuwafukuzilia mbali.

Maandiko matakatifu yanasema nitawapatiliza uovu hata kizazi cha nne cha wanichukiao.

mkuu siyo kweli kuwa mama yake mzazi hajui kusoma.mama anajua kusoma ni Mwalim kama Mutela alivyo sema hapo juu.baba yake pia ana elimu nzuri tu na ameshawahi kuwa na nyazifa mbalimbali katika idara ya elimu isipokuwa nidham kwa viongozi kazini ilikuwa 0+0.ila mleta uzi ameamuwa kusema hivyo kwa ajili ya kumfundisha Mtela kuwa longolongo zake anazozileta na wengine wanaziweza.
 
Back
Top Bottom