Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Mtu hajui kusoma hata kuandika aliupataje udiwani.
mulize prof maji marefu anasifa hizo sasa mbunge
Mtu hajui kusoma hata kuandika aliupataje udiwani.
kumbe kwa cdm hilo linawezekana? kama ndiyo ndo maana viti maalum wengi ni walewale kina lisu na kina ndesamburo dah ndo nimeanza kuelewa.
1. Sheria ya nchi inakataza mtu asiyejua kusoma na kuandika kugombea uongozi, hivyo basi kama CHADEMA inajua kuwa huyu mama hajui kusoma na kuandika na imemruhusu kugombea, itakuwa imeshirikiana na tume ya uchaguzi kuvunja sheria ya nchi.
2. Iwapo ushahidi wako wa kutokujua kusoma na kuandika ni kwa vile hajauliza maswala na kuchangia hoja basi kwanza inabidi tukutilie shaka wewe mwenyewe, kwa sababu hakuna uhusiano kati ya kuuliza maswali na kujua kosoma na kuandika.
3. Hapa mzee Mwampamba amefukuzwa uanachama kwa kuwa na mawazo tofauti, kwahiyo inathibitisha kuwa CHADEMA kuwa na mawazo tofauti ni kosa la kinai. Iwapo uongozi wa CHADEMA unaona kuitisha maandamano ni kosa kwanini kila kukicha viongozi hao wa CHADEMA wako mstari wa mbele kuitisha maandamanosehemu mbalimbali nchini? hapa inadhihirisha hawana malengo mazuri na hayo maandamano, ndio maana yanapoitwa agaist wao wanakuwa wakali. Na hii pia inaonyesha kuwa CHADEMA wakipewa nchi basi maandamano MARUFUKU nchini...
rudi kamfundishe mama yako kusoma na kwandika we si mwalimu
Ume bugii meen,Kigezo cha usomi CHADEMA sio muhimu ila ni peoplez power tu.
Ukishakuwa na watu wanakupenda jimboni hata kama ni mganga wa kienyeji CHADEMA unapata post.
jakaya kikwete ccm chair, liz1 kikwete uvccm bagamoyo, salma kikwete uwtccm lindi, khalfan kikwete chipukiziccm taifa, said kikwete ccm bagamoyo,. Utakua umelewa vizuri apo
Inaonekana mWanae alimsaidia kumpitisha na pengine alitaka huyu awe Mbuge wa Kitu maalum.
Mkuu, CHADEMA kilikuwa kinahitaji kuungwa mkono na watanzania, walihitaji wale wenye uwezo na wanaowanga mkono wajitokeze kugombea nafasi mbalimbali.
Wewe na mimi hatukujitokeza, tuliamua kuwa wanaharakati katika nafasi zetu bila kijitoa mbele ili angalau sisi tunaojua a.e.i.o.u tuweze kupata nafasi ya kuongoza hata ngazi ya mtaa.
Ngumbaru kuchaguliwa kuwa kiongozi inaweza kuwa kielelezo cha ushiriki wake wa hali na mali katika harakati na uzembe wa wasomi katika harakati.
Issue ya msingi hapa ni, WHERE DO WE WANT TO GO now that mamluki, waganga njaa, na mangumbaru wanajulikana??
Tuwachekee kama wenzetu wa mtaa wa pili? Tufunike kombe mwanaharamu apite?
Mwampamba ni mpuuzi sana tena sana, anaongea kuhusu ukanda na ufamilia wakati yeye na baba na mama yake wanamekuwa wakiishi kwa mgongo wa chama lakini leo anajifanya kinara wa uchafuzi.
Wonders shall never end.
Big.
Ulikuwa unakusudia kumjibu nani kaka? Mwampamba au??? Ni hoja tu sio matusi na kebehi.
BAADA ya mwanae kufukuzwa ktk chama Baba Mzazi wa Mtera Mwampamba aitwaye ALLAM MWAMPAMBA alianzisha haraki za kutaka mwachama wa CHADEMA wilayani mbozi waanze maandamano ya kupinga maamuzi ya Baraza kuu la BAVICHA. Alianza kwa kusambaza sms na baadae akaandika barua akisambaza kwny kata mbalimbali.
Vijana wote na wanachama wa CHADEMA wakagoma, ndipo alipoitwa kwny kikao akakiri kosa. Lakini baadae aliendelea kutoa matusi na maneno ya KEJELI ndipo kikao cha pili kichofanyika jana akagoma kuhudhuria na ndipo wajumbe wakapiga kura ya kumvua uanachama.
Ikumbukwe kuwa mama yake Mwampamba ni Diwani wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA japo hajui kusoma na kuandika kwani tangu alipoapishwa hajawahi KUULIZA swali wala kuchangia kwny vikao vya Council. Hivyo Basi viongozi wachama wamumpa tahadhali kama naye atajiunga na kundi la MMEWE na MWANAYE kukichafua CHAMA basi naye atafukuzwa UANACHAMA na kukosa UDIWANI vilevile ameambiwa ajifunze kusoma ili aweze kuwa na mchango katika HALMASHAURI.
SOURCE MIMI NILIKUWEPO
id ta mwisho wa mwezi wa dec 2012 ko nlikua nakujibu wewe mpambe wa au kama sio mwenyewe mwampamba
1. Sheria ya nchi inakataza mtu asiyejua kusoma na kuandika kugombea uongozi, hivyo basi kama CHADEMA inajua kuwa huyu mama hajui kusoma na kuandika na imemruhusu kugombea, itakuwa imeshirikiana na tume ya uchaguzi kuvunja sheria ya nchi.
2. Iwapo ushahidi wako wa kutokujua kusoma na kuandika ni kwa vile hajauliza maswala na kuchangia hoja basi kwanza inabidi tukutilie shaka wewe mwenyewe, kwa sababu hakuna uhusiano kati ya kuuliza maswali na kujua kosoma na kuandika.
3. Hapa mzee Mwampamba amefukuzwa uanachama kwa kuwa na mawazo tofauti, kwahiyo inathibitisha kuwa CHADEMA kuwa na mawazo tofauti ni kosa la kinai. Iwapo uongozi wa CHADEMA unaona kuitisha maandamano ni kosa kwanini kila kukicha viongozi hao wa CHADEMA wako mstari wa mbele kuitisha maandamanosehemu mbalimbali nchini? hapa inadhihirisha hawana malengo mazuri na hayo maandamano, ndio maana yanapoitwa agaist wao wanakuwa wakali. Na hii pia inaonyesha kuwa CHADEMA wakipewa nchi basi maandamano MARUFUKU nchini...
Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo