Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Now this is funny, baba, mama, mtoto chamani... Na vyeo juu na umaamuma juu

cdm must clear these mess before 2014, otherwise ile dhana ya chama cha familia itakua na mashiko

Magamba walishasema baba mwanajeshi na mtoto mwanajeshi hakuna cha ajabu hapo, tatizo ni hilo la familia nzima kuwa wasaliti
 
Mtela Mwampamba Huna lolote unawasema wenzako wanaubaguzi wa kikanda kumbe unaubaguzi wa kifamilia, uligeuza chadema kua geto lako na baba yako na mama yako asiejua kusoma wala kwandika
 
Last edited by a moderator:
Mtela Mwampamba Pole sana kaka japo napata shaka na hicho unachokiita mtandao wa kufukuzana...
Je unaamini mzazi wako kafukuzwa bila makosa?
 
Last edited by a moderator:
na BADO...tunaendelea kuwasaka wasaliti wa chama popote walipo hata kama ni uvunguni mwa kitanda! tutachimbua walioko katika mahandaki! jeuri yao wakafanyie hukohuko magamba!
 
kazi kweli kweli, sasa huyu anawasema wenzie wakabila sijui wakanda, mbona yeye familia yake wote viongozi! Kweli siasa ni mchezo mchafu! Kumbe nyani haoni kundule!
 
kazi kweli kweli, sasa huyu anawasema wenzie wakabila sijui wakanda, mbona yeye familia yake wote viongozi! Kweli siasa ni mchezo mchafu! Kumbe nyani haoni kundule!

hicko kitu hawezi jibu make hajitambui, yani familia imejibinefsishia chama kabisa wengine hawajui kusoma wala kwandika
 
Swali kwa Mwampamba: Unaapa 2015 lazima utakuwa mbunge. Je unahuakika gani kama utafika huo mwaka? Wewe ni mungu?

Ushauri wangu kwako...jitahidi kuzuia hasira zako kwa kukaa kimya! Amini nakuambia hutaweza kushindana na nguvu ya
umma na hawezi kushindana na viongozi wa CDM ambao wako makini kwenye chama makini.

Maneno ni PESA ukimya ni DHAHABU....huu ni ushauri wangu kwako. Utaki unaacha.
 
Now this is funny, baba, mama, mtoto chamani... Na vyeo juu na umaamuma juu

cdm must clear these mess before 2014, otherwise ile dhana ya chama cha familia itakua na mashiko
and still wanasema chama cha kikanda, ila hao wapo Mbeya, ndipo hoja ya mwampamba inapokosa mashiko.
 
we kweli ni imbechili... mimi kamwe ni msema kweli na mpinga ccm, ila la baba, mama na mtoto... tena mabwege kupewa chama lilikua kosa kubwa... ni wakati muafaka sasa cdm kuangalia kila kitongoji chama kinaendaje. na hilo ni jukumu kubwa sana

BTW, ukimkuta mgeni wa mama kafunga taulo kiunoni usikurupuke kumuita baba, wengine waganga wa kienyeji
bado watu hawajaelewa hilo limesababishwa na nini, wakati harakati hizi zinafika vijijini ni majasiri wachache sana wasioogopa ndo waliojiunga, unategemea nani wangempa uongozi kama hakuna hata aliyegombea?
BTW mwampamba ndo alitumia fitna mama yake apewe udiwani....
 
................narudia 2015 nitakuwa mbunge hata kwa chama kinachoitwa kitunguu swaumu,Nia si ubunge,Nia nikuonesha ni namna gani naweza siasa zozote zile ndani ya jimbo la mbozi.
...................:
aisee CCM wamekudanganya mbaya, loh! pole sana.
 
Inaonyesha mtoto kafuata malezi ya baba yake
 
Ni kweli ilikuwa lazimaCDM kiaanzie mahali fulani kisha kiendelee kujitathmini na Kujisafisha! Mimi silaumu kwa kuwa Wataalam hatuko tayari kujitosa, we are Risk Avoiders! Hawa Ngumbalu they have nothing to loose wanajitosa na wakapata kupitia upepo wa Slaa! Nadhani Chama kimesema kinataka kuwatambua Wagombea Mapema! Shime Twendeni hata kwenye UDIWANI tena Sheria inaruhusu UTUMISHI na UDIWANI at Per Ndiyo Maana Mst. Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda ni Mtumishi wa TRA. Haitoshi wasomi kulaumu mbumbumbu huku wasomi tukiwa Kando!
Nimekupata mkuu na nakubali kabisa ila kwa mujibu wa mleta mada huyu ni diwani wa viti maalumu so ina maana kwenye nomination hakuna anayejua hata kusoma kweli?(kama ni kweli)
 
Mwampamba!
Unapaswa kudharauliwa na mtu yoyote makini aliyekuwa anasoma shutma zako kwenye FB wall yako na maelezo uliyo kuwa unayatoa hapa JF.

1. Ulikuwa una sema chadema ni chama cha kikanda na ukabila wakati kumbe Baba, mama yako na wewe mwenyewe mlikuwa na nafasi ndani ya chadema! Hiyo dhana na mantiki ya ukanda na ukabila inakuje?

2. Ulikuwa una mporomoshea matusi na dhihaka Dr Slaa kumbe na wewe una wazazi walioko chadema tena mama diwani! Vipi ulikuwa una watukana kama ulivyo kuwa unamtusi na kumtolea maneno ya hovyo Dr Slaa?! Kama jibu SIO wewe ni kijana mwenye tabia gani za kuigwa?!

Umeongea mengi kutafuta huruma lakini kama elimu yako imekusaidia hukutakiwa kuandika hiki "2015 nitakuwa mbunge hata kwa chama kinachoitwa kitunguu swaumu,Nia si ubunge,Nia nikuonesha ni namna gani naweza siasa zozote zile ndani ya jimbo la mbozi"

Kwa wabobezi wa mantiki watakuhumu kwa ombwe la kimantiki ndani yako lakini kwa uroho na ujinga wa kuwaona watu wa Mbozi wanaweza kukuchagua wewe tu na si mtu mwingine.

Kila jema na lenye kheri mbunge wa chama cha vitunguu swaum unaye jikaanga na mafuta yako tayari kwa kuliwa.
 
Last edited by a moderator:
Hii inatia mashaka sana mkuu, halafu Baba, Mama na Mtoto wote walikuwa katika ngazi za ushawishi huko kwenye kata! Hii nayo haijatulia. CDM must come up and clear all this mess if they want to rule this Nation!

Manyi: kumbuka chadema haikuwa na options nyingine zaidi ya kuchukua watu kama hao na wenye ushawishi mkubwa katika maeneo yao,ukizingatia wasomi hawakutaka kabisa kujihusisha na siasa but now since wameelewa kuwa hata msomi anaweza gombea ndo wameanza kujitokeza sasa,Magugumaji yatajitenga tu ndo kama akina Matata
 
Kigezo cha usomi CHADEMA sio muhimu ila ni peoplez power tu.

Ukishakuwa na watu wanakupenda jimboni hata kama ni mganga wa kienyeji CHADEMA unapata post.
 
kilicho fanyika mwaka 2010 ni mwanachama yoyote akioba kugombea na akakosa mpinza ndani ya chama basi ndiyo huyo atasimamishwa..

Lakini kwa mujibu wa mleta thread huyu alikuwa sio wa kugombea ni wa viti maalumu
 
Now this is funny, baba, mama, mtoto chamani... Na vyeo juu na umaamuma juu

cdm must clear these mess before 2014, otherwise ile dhana ya chama cha familia itakua na mashiko

Huwa nashangaa watu wanaohubiri hiki kitu cha ufamilia kwenye chama. Kama wanafamilia wamekubali itikadi za chama na kujiunga kuna tatizo gani? Je tuweke ukomo wa wanafamilia katika vyama? Tatizo ni nini? Nadhani tujikite katika itikadi, misingi na sera za vyama.Tukifika huko ufamilia si tatizo hata kidogo unless kama unatumiwa kipuuzi na katika kubebana.
 
Back
Top Bottom