Hao wote unaowataja michangoi yao kwa ujenzi wa Taifa hili ni mara 100 zaidi ya maprofesa waliojazana ccm.
soma thread uielewe huyu mama hakugombea ni wa viti maalumu!Nadhani Wakati ule hakukuwa namna maana raia walikuwa bado waonga hawataki kuonyesha dhahiri wanaipenda CDM na CDM walikuwa wanahitaji kusimamisha mgombea...hivyo haya lizima yangejitokeza. Lakini kwa sasa na M4C hii jambo hili likijirudia 2014/2015 hatuwaelewi !
miongoni mwa vitu vinavyonikera ni mtu kufanya jambo lisilo sahihi kwa kuwa mwenzake kafanya au mtu kumlaumu mwenzake kwa kitu ambacho hata yeye anafanya.
Kundi lako haramu la PM7 linazidi kusambaratishwa.
Ahsante kwa kunikumbusha lakini nadhani pointi inabaki palepale...kwamba CDM wasingeweza kumpa raia uongozi wakati mwenyewe hataki kujionyesha wazi kuipenda CDM kwa kusaidia harakati za chama. Hivyo yawezekana mama alionyesha nia ndiyo maana akapata cheo hicho.soma thread uielewe huyu mama hakugombea ni wa viti maalumu!
hata Mr.Sugu hajui king'eng'e ndiyo maana alishindwa madili ya campaign ya malaria,Vicent Nyerere na Wenje sawa na huyu mamaBAADA ya mwanae kufukuzwa ktk chama Baba Mzazi wa Mtera Mwampamba aitwaye ALLAM MWAMPAMBA alianzisha haraki za kutaka mwachama wa CHADEMA wilayani mbozi waanze maandamano ya kupinga maamuzi ya Baraza kuu la BAVICHA. Alianza kwa kusambaza sms na baadae akaandika barua akisambaza kwny kata mbalimbali.
Vijana wote na wanachama wa CHADEMA wakagoma, ndipo alipoitwa kwny kikao akakiri kosa. Lakini baadae aliendelea kutoa matusi na maneno ya KEJELI ndipo kikao cha pili kichofanyika jana akagoma kuhudhuria na ndipo wajumbe wakapiga kura ya kumvua uanachama.
Ikumbukwe kuwa mama yake Mwampamba ni Diwani wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA japo hajui kusoma na kuandika kwani tangu alipoapishwa hajawahi KUULIZA swali wala kuchangia kwny vikao vya Council. Hivyo Basi viongozi wachama wamumpa tahadhali kama naye atajiunga na kundi la MMEWE na MWANAYE kukichafua CHAMA basi naye atafukuzwa UANACHAMA na kukosa UDIWANI vilevile ameambiwa ajifunze kusoma ili aweze kuwa na mchango katika HALMASHAURI.
SOURCE MIMI NILIKUWEPO
You see! Umerudi mule mule umepewa moja ukaliwa tatu! Maranya bana. Sasa cha ajabu ni kipi kwa huyo mama kutokujua kusoma ikiwa mchango wake unafanana na hao wenye michango mara 100?
Kigezo cha usomi kwa CDM sio tija alimradi uwe unakubalika na wananchi na unaweza porojo.
Ningekuwa kwenye hilo kundi, Mbowe angekuwa ameshapinduka siku nyingi kwa sababu chama chenyewe kimejaa mamluki kibao tena ngazi zote! Kazi yangu ingekuwa rahisi mno.
Lakini sivyo hivyo, its Freshthinking endelea kutupa mawe gizani!
wee, hayo majembe uliyotaja ni balaa,kama ni kizungu jk haoni ndani. Fanya simple research utanikubali.hata Mr.Sugu hajui king'eng'e ndiyo maana alishindwa madili ya campaign ya malaria,Vicent Nyerere na Wenje sawa na huyu mama
Mkuu yaani baada ya miaka mitatu ndio mnagundua kwamba huyu mama hajui kusoma wala kuandika?
ni kweli mkuu,kama ni siasa kweli kijana kazipiga,eti chama cha kikanda wakati yeye na ukoo wake kajaza ndani ya cdm,na kupewa vyeo! Hapo ndo ninapowachoka wanasiasa!Haya ni matusi makubwa kwa wapiga kura wa Mbozi, Nashukuru mimi si miongoni mwao. kwahiyo hata mwaka 2010 nia haikuwa Ubunge ila ilikuwa ni kufanya biashara na Nzambi?
Poleni sana wana Mbozi kama mnaweza kudharauliwa kiasi hiki na mtu mpuuzi kama huyu, basi Taifa letu lina safari ndefu.
Baba,Mama, Mtoto wote mnakula na kunya Chadema then wewe huyu huyu unaudanganya umma kwamba Chadema kina ukanda ila wewe umesahau Ufamilia? ila mimi nimekusamehe rasmi kuanzia leo kwani nimeshapata jibu kwa huu ni ujinga wa kurithi kutoka kwa Baba yako na wewe ni victim tu. Like Father like Son.
Huna lolote wewe kundi lako haramu limeshasambratishwa, wanachofanya sasa ni sawa na kuku anayetapatapa baada ya kukatwa shingo. Hiyo kazi uliyotumwa imeshakushinda na hata ukijipanga upya hutaambulia chochote zaidi ya ngumi za uso tu.
we kweli ni imbechili... mimi kamwe ni msema kweli na mpinga ccm, ila la baba, mama na mtoto... tena mabwege kupewa chama lilikua kosa kubwa... ni wakati muafaka sasa cdm kuangalia kila kitongoji chama kinaendaje. na hilo ni jukumu kubwa sana
BTW, ukimkuta mgeni wa mama kafunga taulo kiunoni usikurupuke kumuita baba, wengine waganga wa kienyeji
Pamoja na kwamba mimi si mshabiki wa siasa za majitaka anazofanya mtela mwampamba lakini bado sitaki kuamini kwamba mama yake hajui kusoma wala kuandika.
Lakini nikirudi kwenye hoja yako, wananchi wanataka mtu mwenye elimu ya kwenye makaratasi au mtu anayedeliver?? kwangu mimi nitasema awe na elimu lakini pia awe na uwezo wa kudeliver. Lakini nikikuuliza swali, mtu mwenye elimu kwa mtazamo wako(ufahamu wako) ni yule aliyesoma kwa kiwango gani??