Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Ccm, yupo livingstone lusinde a.k.a kibaji drs la 3, prof. Maji marefu drs la 7, jah people drs la 3 waionaje hiyo ya ccm?
 
Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo

Usisahau kuwa hekima inaweza kutoka kwa aliyesoma au vinginevyo. Kwa taarifa yako kutokujua kusoma kwa huyu diwani ni matokeo ya sera mbovu za elimu chini ya uongozi wa CCM kwa zaidi ya miaka hamsini!!! Katika mchakato wakuleta maendeleo halisi ni lazima kuwashirikisha watu wote ili kila mmoja aweze kutoa mchango wake. Kila mwenye akili timamu ana karama maalum kwa hiyo tusiwadharau wasiojua kusoma si kosa lao tunahitaji hekima zao. Kumbuka ni wengi mno. Wasiposhirikishwa kwenye vyombo vya maamuzi hasa katika ngazi kama za udiwani hawatatendewa haki ya kuchangia mawazo na uzoefu wao ili kuleta maendeleo kwa wote.
 
Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo

Mchawi Maji marefu anayejiita Proffesor yeye ndo kachaguliwa kuwa Mbunge kabisaaa
 
Mtela Mwampamba, ..kweli nyani haoni kundule!... Yaani wewe unaimba ukanda na ukabila kumbe wewe chama mmekifanya cha Baba, mama na mtoto (BMM)?
 
Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo
Cheo ni Dhamana, Early years Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of the province of KwaZulu-Natal).His father was a policeman who died when Zuma was young, and his mother a domestic worker.He received no formal schooling.As a child, Zuma constantly moved between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph.
 
Jakaya Kikwete CCM Chair, Ridhwani kikwete UVCCM Bagamoyo, Salma Kikwete UWT CCM Lindi, Khalfan Kikwete Chipukizi CCM Taifa, Said Kikwete CCM Bagamoyo,. Utakua umelewa vizuri apo
hahaha kwahiyo ngoma droooo hakuna tofauti kati yenu na wao.safari bado ndefu.
 
Unashangaa nini wakati Prof. Maji Marefu ni Mbunge wa CCM!!
we inaelekea hata shule ulifeli Hilo Ndio jibu?! Pro maji marefu nae hajui kusoma ..nazungumzia mambo ya kutokujua kusoma inamaana hata kuandika hajui iyo michango ya baraza la madiwani anachangia vipi akipewa asome?!
 
Cheo ni Dhamana, Early years Zuma was born in Nkandla, Zululand (now part of the province of KwaZulu-Natal).His father was a policeman who died when Zuma was young, and his mother a domestic worker.He received no formal schooling.As a child, Zuma constantly moved between Zululand and the suburbs of Durban in the area of Umkhumbane (near Chesterville). He has two brothers, Michael and Joseph.
nae zuma hajui kusoma au?!
 
Back
Top Bottom