Baba Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Uganda asema mwanaye alipewa SUMU iliyosababisha kifo chake

Nianze na ombi Mode naomba Uzi huu usiuunganishe na ule wa Job maana huu una masipika wawili mmoja wa Uganda inasemekana amefariki baada ya kulishwa SUMU!

Pamoja na Sipika wa Tanzania aliyejiudhuru.

Tuanze kwa huyo wa Uganda,ukipitis kwenye mitandao utakutana na kauli hii ya spika wa Uganda alikuwa kwa kulishwa SUMU, na aliyetoa taarifa hiii ni Baba ake Mzazi namnukuu" siwezi kuomboleza kiundani,aliyelala hapa ni mwanangu na amefariki kwa kulishwa SUMU na anongezea yakuwa Marehemu mwanae alimjulisha baba yake,yakuwa amelishwa sumu,na ilimuhathili sana hata serikali ilipokuwa ikimpeleka hospitali za nje tayari Alisha athilika sana na hasingeweza kupona." Mwisho wa nukuu.

Je Kwa Nini walimsha sumu?najua jf hapa ni pahala sahihi Sanaa najua naweza pata. Majibu ya ilu swali.

Je Yu wapi Job Ndungah I?nimejiwa n wasiwasi maana sipika wa Uganda sikuwai sikia akiwa na mgogoro na mtawal a,ila Huyu wetu alikuwa na mgogoro na utawala je uko aliko kupo Salama kiasi gani huko?.
Mbona una wasiwasi..
Kwani bado kuna utekaji awamu hii?!
 
Mchango wa Ndugai kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli hata akifanyiwa uhayawani ni sawa tu, ili ajue malipo ni hapa hapa.

ukipigwa shavu la kushoto unapaswa kugeuza na kulia, pia tunaambiwa tusamehe saba mara sabini..
 
Mchango wa Ndugai kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli hata akifanyiwa uhayawani ni sawa tu, ili ajue malipo ni hapa hapa.
Siku zote hua nafikiri wewe ni muumini wa haki kumbe hua nakosea, uko kama wale ila uko upande mwingine wa mto
 
Yote tisa
Kwenye msiba huo leo tent limeezuliwa na upepo likabaki jeneza tu pale
Mapambo yote rushwa pembeni
Ss sijui inamaanisha nini
 
Nianze na ombi Mode naomba Uzi huu usiuunganishe na ule wa Job maana huu una maspika wawili mmoja wa Uganda inasemekana amefariki baada ya kulishwa SUMU!

Pamoja na Spika wa Tanzania aliyejiuzulu.

Tuanze kwa huyo wa Uganda, ukipitia kwenye mitandao utakutana na kauli hii ya spika wa Uganda alilishwa SUMU, na aliyetoa taarifa hiii ni Baba ake Mzazi namnukuu: "Siwezi kuomboleza kiundani, aliyelala hapa ni mwanangu na amefariki kwa kulishwa SUMU."

Anaongezea kuwa marehemu mwanae alimjulisha kuwa amelishwa sumu, na ilimuumiza sana hata serikali ilipokuwa ikimpeleka hospitali za nje tayari alisha athirika sana na hasingeweza kupona.

Je, kwa nini walimlisha sumu? Najua JF hapa ni pahala sahihi sana najua naweza pata. Majibu ya hili swali.

Je, Yu wapi Job Ndungai? Nimejiwa na wasiwasi maana Spika wa Uganda sikuwahi sikia akiwa na mgogoro na mtawala ila huyu wetu alikuwa na mgogoro na utawala, je uko aliko kupo salama kiasi gani huko?
Wamekuunganisha tayari ha ha haaa
 
Back
Top Bottom