Acha tu..kuna jamaangu kaishia madeni na umasikini kisa kuoa..kiukweli jamii imepandikiza kitu kibaya sana..kuoa imekua anasa.Ukweli sisi vijana tunateseka sana, wazazi nao wametia ngumu sana, hasa haka kamtindo ka kukomoana kuanzia millioni, niliwahi kujaribu nikiwa na kalaki 8 walidai ni pesa ya kununulia kiatu cha sikukuu, aisee niligive up, mpaka sasa siwezi kuwa na mahusiano tena, naona Dunia inaenda kasi sana
kiukweli hawana maajabu hawa watu kwa bed.Mkuu hiyo 280K mbona huku kwetu unapata mke kabisa. Wewe ndio umefanya ya kula ka sahani 1 ya wali maji ya kilimanjaro na kipapatio cha kuku! Duh..pole sana..waachie wenyewe kwa wenyewe.
By the way % kubwa ya mabinti zao hawana mpya 6X6!
Unaoa bikrahana bikra unalipa mahari ? kapimwe mkojo
Raha gani uzinzi tu mmewajaa..kila siku kuoana kama mbwa..wenye nyegezi.Raha ya Uislam ndio inaonekanaga kwenye matukio kama haya, kwa dini yangu mahar anapanga mwanamke, na ni yake sio ya wazazi, so unabonga na bibie kabisaa mnakubaliana so nataja unabeba chombo yako
We pakashume tulia wewe mkosa akilii, uzinzi na nyie mnaoa mkiwa na miaka 40 kwa ma complication yasio na maana. Kwanza nyie mnaoa ndoa mnaijua kwendraaaRaha gani uzinzi tu mmewajaa..kila siku kuoana kama mbwa..wenye nyegezi.
#MaendeleoHayanaChama
Wa hivi dawa ni moja tu, weka mimba then tulia. 7.2m kwa mtu ambaye watu walishajipigia wakachoka huko? Yaani nitoe 7.2m kweli kwa unsealed pussy?Ungepokea simu na kuwaambia huwezi kutoa pesa nyingi hivyo halafu unapiga kimya.
Chakufia niniView attachment 2002546
Wakae na binti yao.Ungepokea simu na kuwaambia huwezi kutoa pesa nyingi hivyo halafu unapiga kimya.
Chakufia niniView attachment 2002546
Ukibahatika wa kuzalisha basi huyo ndo anakuwa wako na amekurahisishia mkuuAcha tu..kuna jamaangu kaishia madeni na umasikini kisa kuoa..kiukweli jamii imepandikiza kitu kibaya sana..kuoa imekua anasa.
#MaendeleoHayanaChama
Ulilipa siku hiyohiyo ya bargaining?Pole sana mkuu.
Mimi nilitajiwa mahari 2.6m ila nilipiga "kiswahili" kwa muda wa dk 45 hadi nikaeleweka tukafikia 800k, nikalipa 500k, mpaka sasa bado nadaiwa 300k na maisha yanaendelea na watoto 4 tayari
2.5 ml kubwa bado yaani bado unakuja kuta analiwa na muhuni na kubambikizia mimbaMali huwa azimizwi to a 2.5 m inatosha
Mkuu mrejesho muhimu, Ilikuwaje baada ya Kufanya maamuzi ya kutorudi ukweni?? Miaka imepita sasa.Leo week ya pili nimeshindwa kabisa kupokea simu ya Baba mkwe na Mshenga wangu.
Iko hivi katika misoto yangu na kukulu kakala za maisha atimae nikajikuta nimedondokea kwa mtoto wa kichaga Kama ilivyo janga kwa wanaume wengi wa mjini.
Mipango ikapangwa na siku ya kufika ukweni kupeleka posa ikafika. Kidume nikajikoki na Mshenga wangu na wadada 3 wa kukodi tukazuka ukweni.
Mambo yalikua shwari hadi pale mjomba mtu akapewa fursa ya kutupangia package ya mahari ili mpango mzima ukamilike.... list ya makorokoro kibao, Mara mkaja wa mama, Bibi, mablanket ya Mama na mashangazi, mbege mapipa matatu, mbuzi 3 wa maziwa na....mwishoni akataja cash money 3 Mil.
Mimi kipindi anataja yale mazaga hata nilikua sifuatilia ,akili yote ilikua inasubiri point ya msingi Cash money.
Badae ikatolewa option ya ku convert the overall cost ika amount Kama 5 Mil. na ushee!
Jitihada za mshenga kupangua bei hazikuzaa matunda. Mbaya zaidi ile tumemaliza events shangazi anatuzuia hakuna kuondoka mpaka tumelipia gharama za maandalizi walioyotufanyia.
Kwa shingo upande nikausukuma mzigo wa M pesa tsh 280, 000 coz walidai laki 3.
Niliporudi lodge usiku mzima sikulala , series nzima ikawa inaji frash back repetitively.
Nika najiuliza kwani wananiuzia mke kisa ni afisa ustawi wa jamii?
Ana kipi Cha ziada ambacho wake wa ndg zangu wameolewa na jumla ya mahari tulizotoa na makokoro yote hata milioni haikufika?
Kwani ana kismat Cha mafanikio? Mbona tangu tuingie kwenye relationship mambo mengi tunakimbizana kwa had-hoc za kufa mtu?
Na mengine mengi ambayo si busara kuyaanika humu.
Alifajiri nikaamua kufanya maamuzi magumu ..."Katu sitorudi tena ukweni." Kwa maana kuwa sitoi tena mahari, mtoto wao nimeshamtia mimba ,wakimtaka waje wamchukue.
Ni hayo tu.....sirudi ukweni tena
Mashemeji zangu wachaga povu ruksa. Ila katu sirudi tena ukweni.
Ndio mkuu nililipa siku hiyo hiyo laki 5Ulilipa siku hiyohiyo ya bargaining?