Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,356
Tatizo lilianzia hapo nyanda za juu kusini hakufaii hukoMnyakyusa kutoka mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilianzia hapo nyanda za juu kusini hakufaii hukoMnyakyusa kutoka mbeya
Nadhani ina maana sawa na neno "Kawaida".Hivi mtambuka maana yake nini eti?
Have respect for others kama uko na maisha bora kuliko wengine... Nani kasema mimba ya bahati mbaya... Soma bandiko langu mwanzo kabisa nilisema kuwa ni mchumba wangu na nilishamtolea kishika uchumba... Who are you to say mimba ya bahati mbaya?Mimba za bahati mbaya sio!!
Pole kua mpole. Wana hasira tuu vile unahamu ya kuitwa baba wakati ujajipanga huna hata pesa ya mahari.
Una dharau sana wewe, hivi ni kwa nini ?.Mimba za bahati mbaya sio!!
Pole kua mpole. Wana hasira tuu vile unahamu ya kuitwa baba wakati ujajipanga huna hata pesa ya mahari.
Sina dharau najua wazazi wako na hali gani kwa uzembe wa binti yao, mbaya zaidi bado yuko nyumban huwez kumchukua wanaona aibu nani fedheha.Una dharau sana wewe, hivi ni kwa nini ?.
Mkuu, umesoma vizuri bandiko la mleta mada..!!??Mzee Yuko sahihi vijana wa siku hizimnapenda mteremko huyo binti hata mahari hujamtolea unataka kuwa na maamuzi naye chukua wazee wako nenda ukweni kajitambulishe vinginevyo wewe no mhuni tu
Asante Kila Mbongo nimeelewa sana
Cross cutting issues
Haya madam.
Jana ile mbinu yetu imenisaidia.
Am glad manake nilivyoona matokeo the first person that came to my mind was you
Japo honestly nimefurahi sana
Waambie kwasababu haujagoma kulipa mahari basi wasitishe ilo zoezi la ubatizaji na wakupe mda ufanye kile wanachotaka {kulipa mahari) kama wakigoma basi nawewe ukaoa uyo binti basi kazi utakua nayo mbeleni, mpigie binti simu mwambie awaambie wazazi wake upo tayari kulipa mahari so wasifanye icho wanachotaka kufanya na kama wakikataa wakalazimisha basi hauoni haja na kuendelea nae(apa unatingisha kiberiti uone watareact vipi)
Wakuu za mida hii.
Nina mchumba wangu ambaye nilimtolea kishika uchumba, tulibahatika kupata mtoto wa kiume, alijifungulia nyumbani kwetu(Kazi zangu nafanya sehemu ambayo haikumruhusu kujifungulia kwangu) mtoto nikampa jina(la baba yangu mzazi), basi baada ya mwezi mmoja alikwenda kusalimia kwao.
Alipo kaa week mbili mchumba akapiga simu kwangu akasema baba yake anasema anahitaji kumbatiza mtoto siku ya pasaka, kwa jina lake(yaani jina la baba mkwe) na hiyo siku inabidi niwepo kanisani kwao, je ninasemaje? nikamwambia hapana mtoto anatakiwa afate mahali ninakosali mimi hivyo aache tu mtoto atakuja kuwekewa wakfu atakaporudi, maana tutarudi kumchukua binti na kumtolea mahari ili arudi kuendelea na malezi nyumbani kwetu, maana utaratibu wa dini yangu sio ya kule kwao binti akasema sawa.
Jioni ya leo hii baba mkwe kapiga simu kwa mama yangu akisema kwamba anambatiza mtoto pasaka hii, nilipigiwa simu na mama kuniuliza kama hicho kitu nimeambiwa, nikamwambia hapana, nilikataa na nilimueleza kuwa asifanye hivyo.
Nikamrudia binti kumuukiza imekuwaje maagizo niliyoyatoa yamepuuziwa, akaniambia kuwa baba yake amekataa amesema kuwa hawezi kukubali kwa sababu sijamtolea chochote binti yaani mahari, kwa hiyo maamuzi hayo ndio ya mwisho na nyumbani amepiga tu kutoa taarifa.
kwa sasa bado sijafanikisha kutoa mahari, bado naitafuta na nyumbani kwao niliwaeleza kuwa ninajipanga ili nimtolee binti chochote aje kwangu, hivyo nadhani hapo ndio weakness yangu ilipo.
Wakuu hii kitu imekaaje.
Mbona kama nachanganywa,
Ushauri wenu ni wa muhimu.
Sawa bossKama kisingizio ni mahari, basi jitahidi utoe hata kidogo.Vinginevyo, mwambie huyo mke mtarajiwa aje nyumbani na mtoto ili mpangilie mambo ya ubatizo, akifika tu, unampiga stop ya kurudi kwao mpaka ukamilishe mambo ya mahari
Wahasibu wana prudent concept, huwa ndiyo naitumia mara nyingi, though there are some slips, but it always helps.
What is the prudence concept?
Under the prudence concept, do not overestimate the amount of revenues recognized or underestimate the amount of expenses. You should also be conservative in recording the amount of assets, and not underestimate liabilities. The result should be conservatively-stated financial statements.