Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,705
Wazee wa dizaini hiyo wanakuwa watata sana, unatingisha kiberiti na bado wanagoma. Mm nina jamaa lilitokea jambo kama ilo la pande mbili kutoelewana kuhusu maamuzi fulani. Nakumbuka wazazi wa pande zote mbili pamoja na mshenga walijadili saana, ila hawafiki muafaka (dingi yake demu alikuwa mbishi sijawahi ona). Ilifika hatua mzee wake demu aliomba kuzipiga na mzee wake jamaa yangu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Waambie kwasababu haujagoma kulipa mahari basi wasitishe ilo zoezi la ubatizaji na wakupe mda ufanye kile wanachotaka {kulipa mahari) kama wakigoma basi nawewe ukaoa uyo binti basi kazi utakua nayo mbeleni, mpigie binti simu mwambie awaambie wazazi wake upo tayari kulipa mahari so wasifanye icho wanachotaka kufanya na kama wakikataa wakalazimisha basi hauoni haja na kuendelea nae(apa unatingisha kiberiti uone watareact vipi)
Sent using Jamii Forums mobile app